Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

MELWOOD.

JE WAJUA ASILI YA JINA MELWOOD?

>>Melwood ni Muunganiko wa Majina Mawili.

>>Ulianza tumika Rasmi Miaka ya 1950s huko kama Uwanja Rasmi wa Mazoezi wa LFC.

>>Bill Shankly akianza utumia Miaka hiyo,akitambulisha style yake ya "Pass and Move,Keep it Simple"

Mwanazuoni.

MELWOOD ni Uwanja wa Mazoezi wa Klabu Kongwe na Nguli ya LIVERPOOL, Klabu yenye UTAJIRI MKUBWA WA HISTORIA na Matukio Pekee ya KUJIVUNIA na UTAMADUNI usio fanana na Vilabu Vingine kabisa....
Chukua hiyo.....maana nalo ni somo pana sana,Why LFC ina History na vitu visivyofanana na Vilabu vingine....hehehehe.

MELWOOD,Uwanja huu Mkongwe zaidi unapatikana ktk Kitongoji kimoja Kikongwe sana Kiitwacho West Derby kwa Kifupi,Kitongoji hiki kwa jina Kamili chaitwa WEST DERBYSHIRE ambacho kipo pembeni tu kidogo ya Jiji la Liverpool na ukiwa unaingia Kitongoji hicho utaona Bango kubwa likikitambulisha,lasomeka hivi...Welcome to CITY OF LIVERPOOL,West Derby.

Sasa basi turudi kwenye Jina YENYEWE lilipatikana vipi...hehehehe.

UWANJA huu zamani ulikua ni Mali ya Shule ya Kawaida kbs ktk Kitongoji hicho cha West Derbyshire,Shule hiyo iliitwa,St FRANCIS XAVIER na Uwanja huo ulitumika kwa Michezo ya shule hiyo na hasa Mpira wa Miguu,na Wachungaji/Makuhani au Ma Father Wawili MAARUFU hapo ndio waliokua wakihusika kila Mara kuwafundisha Vijana kucheza Mpira wa Miguu,kwani ndio Mchezo uliokua UKIPENDWA ZAIDI na Vifaa vyake vilikua Rahisi sana kupatikana.

Father Melling na Father Woodblock ndio waliwashawishi sana Vijana kujiunga na Mchezo huo na kujitolea muda wao Mwingi wakiwafundisha Vijana hao jinsi ya kucheza kwa Weledi Mchezo huo,na kufanikiwa na katika kuwa KUMBUKA na KUWAENZI Ma Father hao WAWILI yalifupishwa Majina yao kwa kuchukuliwa Herufi zao kadhaa za Mwanzo za MEL na WOOD na kuwekwa pamoja na kupatikana jina la MELWOOD....
hahaha hivyo ndivyo jina MELWOOD lilivyopatikana ambalo LIVERPOOL wametamba nalo kwa muda mrefu sana......lkn sasa MELWOOD inakaribia kuachwa na Liverpool inakaribia kukamilisha Uwanja wake wa Mazoezi mpya huko ktk Uwanja wa Academy wa KIRKBY na kua KIRKBY COMPLEX hapo baadae.

Bill Shankly Icon huyu,The LEGEND yy alianza utumia Uwanja huu Mwaka 1959 na kuuboresha kwa Vifaa Vya Kisasa kwa muda ule na ukiwa ndio Uwanja BORA kwa kipindi hicho, Bill Shankly ndio alikua Meneja(Kocha) kwa kipindi hicho,Akitambulisha Michezo ya watu Watano Watano kwa kila kiwanja alivyokua amevigawa na kuwapanga Wachezaji ndani yake,akitumia Filosofia yake ya "Pass and Move,Keep it Simple" kwa kuwataka wachezaji kupasiana sana na kupishana kwa HARAKA sana na kuufanya mchezo kua rahisi,Wachezaji walikua wana enjoy sana na alifanikiwa sana ktk Filosofia yake hii na kuanza jizolea MATAJI.

>>Mwanazuoni naishia hapo kukudadavulia maana halisi ya jina MELWOOD na lilipoanzia na sababu ya kuanza kwa jina hilo....tutaendelea tena siku nyingine na kitu Kingine.

@binslim3
 
Mchezo mzima ndiyo nn?
Tunahesabu matokeo sio pasi na chenga kaka
Zinduna kweli ndiyo wakusubiri hadi dakika ya 71?Yule Zinduna?Tena kwako?
Acha utani mkuu hauna team bado
Yule Anfield anapigwa 8-0,mechi inaisha dakika ya 20 tu
Nimekutoboa hapo Anfield 1-2 halafu huna hata mshipa wa aibu unasema unanipiga 8.? Hivi uko sawa kweli muheshimiwa diwani.??????? Kwan kufunga goli ni mpk dkk za mwanzo siyo.?

Sharp your mind..
 
Ha ha ha ha ha.

Usibishane na wanasiasa. Hawa ulongo ni jadi yao utatoka mishipa bure kubishana na Mh Diwani.....

Liver nguvu zimeshaisha. Alafu Sarafina bado ni majeruhi na amekua mwoga na ana ma stress kibao ya kiwango chake kua kibovu msimu huu
 
Nimekutoboa hapo Anfield 1-2 halafu huna hata mshipa wa aibu unasema unanipiga 8.? Hivi uko sawa kweli muheshimiwa diwani.??????? Kwan kufunga goli ni mpk dkk za mwanzo siyo.?

Sharp your mind..
Mbona ulishindwa kufunga kwako ktk mechi muhimu zaidi ya EPL?
Unamfunga Liverpool kwake kombe la Mbuzi golini Mignolet lkn unashindwa mfunga kwako mechi muhimu zaidi ya EPL golini Pweza?
Hii inakufundisha nn?
 
Man City kwangu hawezi nifunga
Wala siifikirii mechi hiyo
Hapa nafikiria wachezaji wangu mechi za kimataifa kama watarudi bila majeruhi
Sawa sawa hata Mimi nakuombea umfunge man city ila hucijipe 85% kumfunga jipe walau 65%
 
Mbona ulishindwa kufunga kwako ktk mechi muhimu zaidi ya EPL?
Unamfunga Liverpool kwake kombe la Mbuzi golini Mignolet lkn unashindwa mfunga kwako mechi muhimu zaidi ya EPL golini Pweza?
Hii inakufundisha nn?
Kwahiyo mlimuweka huyo Mig ili mkifungwa muje na sbbu km hizi? Hizi ni story za vijiweni kweli

Bwahahaha. Mh Diwani msalimie everlenk
 
Najitahidi kujua makombe ya mbuzi ni yapi hayo.? Kwa nini unashiriki ikiwa unajua ni kombe la mbuzi.? Jibu ninalopata ni kwamba ni baadhi ya mashabiki wanaamua kuyapa jina makonbe ambayo wanashindwa kuyabeba na hawaridhishwi na mwenendo wa timu yao kushindwa katika makombe wao walidhani ndio ingekua ponepone yao.

Hapo ndio inakuja ile kauli SIZITAKI MBICHI HIZI.

Sikushindwa kukufunga kwangu na wala sikusema kwamba nitakufunga, wewe ndio umesema utanifunga 8 Anfield na wakati nimekugaragaza hapohapo kwako.
Mbona ulishindwa kufunga kwako ktk mechi muhimu zaidi ya EPL?
Unamfunga Liverpool kwake kombe la Mbuzi golini Mignolet lkn unashindwa mfunga kwako mechi muhimu zaidi ya EPL golini Pweza?
Hii inakufundisha nn?
 
Najitahidi kujua makombe ya mbuzi ni yapi hayo.? Kwa nini unashiriki ikiwa unajua ni kombe la mbuzi.? Jibu ninalopata ni kwamba ni baadhi ya mashabiki wanaamua kuyapa jina makonbe ambayo wanashindwa kuyabeba na hawaridhishwi na mwenendo wa timu yao kushindwa katika makombe wao walidhani ndio ingekua ponepone yao.

Hapo ndio inakuja ile kauli SIZITAKI MBICHI HIZI.

Sikushindwa kukufunga kwangu na wala sikusema kwamba nitakufunga, wewe ndio umesema utanifunga 8 Anfield na wakati nimekugaragaza hapohapo kwako.
Mkuu hizi kombe za mbuzi wamebaki kuziangalia kwenye tv tu. Wanazitamani Ila Hawana namna ya kuzishinda
 
Haufuzu ata ufanyeje
Duuu, nyie .n
Najitahidi kujua makombe ya mbuzi ni yapi hayo.? Kwa nini unashiriki ikiwa unajua ni kombe la mbuzi.? Jibu ninalopata ni kwamba ni baadhi ya mashabiki wanaamua kuyapa jina makonbe ambayo wanashindwa kuyabeba na hawaridhishwi na mwenendo wa timu yao kushindwa katika makombe wao walidhani ndio ingekua ponepone yao.

Hapo ndio inakuja ile kauli SIZITAKI MBICHI HIZI.

Sikushindwa kukufunga kwangu na wala sikusema kwamba nitakufunga, wewe ndio umesema utanifunga 8 Anfield na wakati nimekugaragaza hapohapo kwako.
Ila wenzio wanavyosema tunafungwa na cty jumapili unachekelea utadhani wewe huyo cty hukutani nae,
 
Najitahidi kujua makombe ya mbuzi ni yapi hayo.? Kwa nini unashiriki ikiwa unajua ni kombe la mbuzi.? Jibu ninalopata ni kwamba ni baadhi ya mashabiki wanaamua kuyapa jina makonbe ambayo wanashindwa kuyabeba na hawaridhishwi na mwenendo wa timu yao kushindwa katika makombe wao walidhani ndio ingekua ponepone yao.

Hapo ndio inakuja ile kauli SIZITAKI MBICHI HIZI.

Sikushindwa kukufunga kwangu na wala sikusema kwamba nitakufunga, wewe ndio umesema utanifunga 8 Anfield na wakati nimekugaragaza hapohapo kwako.
Makombe ya mbuzi ni CARABAO NA FA,na yanaitwa hivo sio kwa sababu team zinashindwa kuyabeba bali ni makombe yanayoshirikisha team rahisi.Asnooo hawajawahi kuchukua uefa hata mwaka mmoja ushawahi kumsikia mtu wa asnoo analiita uefa kumbe la mbuzi??hawezi kuthubutu kuliita hivyo sababu anaijua thamani yake na sio kwa sababu hawezi kulibeba.mimi kma mashabiki wa liverpool ukinipa CARABAO 10 mfululizo na EPL 1 ndani ya miaka 10 nachukua EPL 1 hizo CARABAO nawaachia cheltako na asnoo.
 
Maranyingi Huwa Nina Kauli Yangu Ninayosimamia ambyo ninanesema "Washabiki Wa Chelsea Wameanza Kupenda Mpira Mwaka 2004 ambao Ndiyo mwaka iliyoanzishwa Chelsea " ....

Na post yako hii imeniprove right... Hongera Kwa kutoa ushahidi...

Ushahidi uliotoa Ni Huu hapa → "Jibu ninalopata ni kwamba ni baadhi ya mashabiki wanaamua kuyapa jina makonbe ambayo wanashindwa kuyabeba na hawaridhishwi na mwenendo wa timu yao kushindwa katika makombe wao walidhani ndio ingekua ponepone yao"

Mshabiki yeyote aliyependa Mpira Wa EPL kabla ya 2004 basi anajua Ni nani aliyeyapa Majina Ya Kombe la Mbuzi haya makombe ya Europa, FA, Ngao, Europa Super Cu na Carabao.
Lakini cha ajabu unasema eti Waliokuwa Hawana uwezo Wa Kuyabeba ndiyo Walioyapa majina ya Makombe ya Mbuzi!!!!!

Sasa labda Nikugusie tu Kwa ufupi!!

Mwaka 2001 Liverpool alibeba Europa League, Europa Super Cup, FA na Ngao...

Sasa Kwa Kipindi Hichi Man United akiwa Katika ubora wake anatamba hamalizi Msimu bila ya Kombe! Ndiyo Washabiki Wake Wakaanda Bango Kubwa Wakalidisplay Katika Moja Ya Mechi Zao Wakaliandika Liverpool Kabeba " MICKEY MOUSE CUP" ..... Wakimaanisha Kuwa Abebe Kombe Kubwa la EPL na sio makombe ya Mbuzi....

Na hapo ndiyo mpaka Leo Yakaishia Kuitwa Makombe ya Mbuzi....

Sasa aliyeyapa Jina la Makombe ya Mbuzi Ni Timu ambayo ilikuwa ikibeba Makombe Makubwa na si timu iliyokuwa haibebi.
 
MELWOOD.

JE WAJUA ASILI YA JINA MELWOOD?

>>Melwood ni Muunganiko wa Majina Mawili.

>>Ulianza tumika Rasmi Miaka ya 1950s huko kama Uwanja Rasmi wa Mazoezi wa LFC.

>>Bill Shankly akianza utumia Miaka hiyo,akitambulisha style yake ya "Pass and Move,Keep it Simple"

Mwanazuoni.

MELWOOD ni Uwanja wa Mazoezi wa Klabu Kongwe na Nguli ya LIVERPOOL, Klabu yenye UTAJIRI MKUBWA WA HISTORIA na Matukio Pekee ya KUJIVUNIA na UTAMADUNI usio fanana na Vilabu Vingine kabisa....
Chukua hiyo.....maana nalo ni somo pana sana,Why LFC ina History na vitu visivyofanana na Vilabu vingine....hehehehe.

MELWOOD,Uwanja huu Mkongwe zaidi unapatikana ktk Kitongoji kimoja Kikongwe sana Kiitwacho West Derby kwa Kifupi,Kitongoji hiki kwa jina Kamili chaitwa WEST DERBYSHIRE ambacho kipo pembeni tu kidogo ya Jiji la Liverpool na ukiwa unaingia Kitongoji hicho utaona Bango kubwa likikitambulisha,lasomeka hivi...Welcome to CITY OF LIVERPOOL,West Derby.

Sasa basi turudi kwenye Jina YENYEWE lilipatikana vipi...hehehehe.

UWANJA huu zamani ulikua ni Mali ya Shule ya Kawaida kbs ktk Kitongoji hicho cha West Derbyshire,Shule hiyo iliitwa,St FRANCIS XAVIER na Uwanja huo ulitumika kwa Michezo ya shule hiyo na hasa Mpira wa Miguu,na Wachungaji/Makuhani au Ma Father Wawili MAARUFU hapo ndio waliokua wakihusika kila Mara kuwafundisha Vijana kucheza Mpira wa Miguu,kwani ndio Mchezo uliokua UKIPENDWA ZAIDI na Vifaa vyake vilikua Rahisi sana kupatikana.

Father Melling na Father Woodblock ndio waliwashawishi sana Vijana kujiunga na Mchezo huo na kujitolea muda wao Mwingi wakiwafundisha Vijana hao jinsi ya kucheza kwa Weledi Mchezo huo,na kufanikiwa na katika kuwa KUMBUKA na KUWAENZI Ma Father hao WAWILI yalifupishwa Majina yao kwa kuchukuliwa Herufi zao kadhaa za Mwanzo za MEL na WOOD na kuwekwa pamoja na kupatikana jina la MELWOOD....
hahaha hivyo ndivyo jina MELWOOD lilivyopatikana ambalo LIVERPOOL wametamba nalo kwa muda mrefu sana......lkn sasa MELWOOD inakaribia kuachwa na Liverpool inakaribia kukamilisha Uwanja wake wa Mazoezi mpya huko ktk Uwanja wa Academy wa KIRKBY na kua KIRKBY COMPLEX hapo baadae.

Bill Shankly Icon huyu,The LEGEND yy alianza utumia Uwanja huu Mwaka 1959 na kuuboresha kwa Vifaa Vya Kisasa kwa muda ule na ukiwa ndio Uwanja BORA kwa kipindi hicho, Bill Shankly ndio alikua Meneja(Kocha) kwa kipindi hicho,Akitambulisha Michezo ya watu Watano Watano kwa kila kiwanja alivyokua amevigawa na kuwapanga Wachezaji ndani yake,akitumia Filosofia yake ya "Pass and Move,Keep it Simple" kwa kuwataka wachezaji kupasiana sana na kupishana kwa HARAKA sana na kuufanya mchezo kua rahisi,Wachezaji walikua wana enjoy sana na alifanikiwa sana ktk Filosofia yake hii na kuanza jizolea MATAJI.

>>Mwanazuoni naishia hapo kukudadavulia maana halisi ya jina MELWOOD na lilipoanzia na sababu ya kuanza kwa jina hilo....tutaendelea tena siku nyingine na kitu Kingine.

@binslim3
Safi sana Gr8 history for Gr8 club
 
Makombe ya mbuzi ni CARABAO NA FA,na yanaitwa hivo sio kwa sababu team zinashindwa kuyabeba bali ni makombe yanayoshirikisha team rahisi.Asnooo hawajawahi kuchukua uefa hata mwaka mmoja ushawahi kumsikia mtu wa asnoo analiita uefa kumbe la mbuzi??hawezi kuthubutu kuliita hivyo sababu anaijua thamani yake na sio kwa sababu hawezi kulibeba.mimi kma mashabiki wa liverpool ukinipa CARABAO 10 mfululizo na EPL 1 ndani ya miaka 10 nachukua EPL 1 hizo CARABAO nawaachia cheltako na asnoo.
Katika hiyo miaka kumi uloitaja umechechukua EPL ngapi na Cheltako kachukua ngapi.? Na makombe ya mbuzi pia uhesebiane na Cheltako.
 
Maranyingi Huwa Nina Kauli Yangu Ninayosimamia ambyo ninanesema "Washabiki Wa Chelsea Wameanza Kupenda Mpira Mwaka 2004 ambao Ndiyo mwaka iliyoanzishwa Chelsea " ....

Na post yako hii imeniprove right... Hongera Kwa kutoa ushahidi...

Ushahidi uliotoa Ni Huu hapa → "Jibu ninalopata ni kwamba ni baadhi ya mashabiki wanaamua kuyapa jina makonbe ambayo wanashindwa kuyabeba na hawaridhishwi na mwenendo wa timu yao kushindwa katika makombe wao walidhani ndio ingekua ponepone yao"

Mshabiki yeyote aliyependa Mpira Wa EPL kabla ya 2004 basi anajua Ni nani aliyeyapa Majina Ya Kombe la Mbuzi haya makombe ya Europa, FA, Ngao, Europa Super Cu na Carabao.
Lakini cha ajabu unasema eti Waliokuwa Hawana uwezo Wa Kuyabeba ndiyo Walioyapa majina ya Makombe ya Mbuzi!!!!!

Sasa labda Nikugusie tu Kwa ufupi!!

Mwaka 2001 Liverpool alibeba Europa League, Europa Super Cup, FA na Ngao...

Sasa Kwa Kipindi Hichi Man United akiwa Katika ubora wake anatamba hamalizi Msimu bila ya Kombe! Ndiyo Washabiki Wake Wakaanda Bango Kubwa Wakalidisplay Katika Moja Ya Mechi Zao Wakaliandika Liverpool Kabeba " MICKEY MOUSE CUP" ..... Wakimaanisha Kuwa Abebe Kombe Kubwa la EPL na sio makombe ya Mbuzi....

Na hapo ndiyo mpaka Leo Yakaishia Kuitwa Makombe ya Mbuzi....

Sasa aliyeyapa Jina la Makombe ya Mbuzi Ni Timu ambayo ilikuwa ikibeba Makombe Makubwa na si timu iliyokuwa haibebi.
Mara ya mwisho kuchukua hayo makombe makubwa ni lini.?

Mimi hata niwe nimeanza kushabikia mpira msimu uliopita atleast ninacho cha kujivunia nimebeba kombe la FA. Wewe unajivunia nini? Msimu huu najivunia nacheza kandanda la kuvutia ulimwengu mzima unajua, wewe unajivunia nini na historia yako.? Historia kila mtu anyo bhana. Sasa hivi zunapambana na present, wewe linda historia yako mimi napambana nitengeneze ya kwangu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom