Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

How about this season?

Salah ile ilikuwa suprise package, ndio maana harry kane alimwambia KAMA MWANAUME AFANYE VILE TENA MSIMU HUU

Tuthibitishe kuwa ni world class player
Kwani msimu umeisha???? Huyo Harry Kane mwenyewe hua inafikia October kafunga sana goli sita ikija may ana 20+
Huko
BTW umemtaja degea kama world class hivi huyu degea wa msimu huu ndio degea wa last season?????
 
Tatizo uelewa wako mdogo

Kane kila msimu ana 25+ goals, degea ana misimu karibu minne yupo bora

Salah ukitoa msimu uliopita, ni upi alishaini?

Ndio maana mpaka sasa amedrain,
 
Sina cha kukwambia zaid ya hiki

"world class player" japokua kumekua na discussions kuhusu hili.Katika makala yake aliyoiandika katika gazeti hilo Bascombe aliandika "World class player in football is that player in his/her position,He/She has a great consistency,outstanding consistency,outstanding quality & an ability to win a match for their side on a regular basis whether that from scoring memorable goals or producing defensive masterclass at the back".
Sina hakika Kama atakuelewa Leo!!!!
 
Hiv unaamin salah ni world class player?

Mimi kwenye issue ya Salah siwezi Kukubishia Coz ninajua Kuwa Salah Ni inconsistency.

Lakini Wewe Kuamini Mawazo ya Bascombe Kuwa Ni De Gea pekee Kwa Makipa Wa EPL Kuwa Ni World Class basi ndiyo hatuelewani.

Kwani Alisson Becker naye Ni World Class amedumu Na Consistency akiwa na Timu ya Taifa, Akiwa na Roma, na Sasa Akiwa Liverpool still ameinesha Ubora Zaidi Kwa Kutuokoa Karibia Kila Mechi ambazo Tunaelekea Kupoteza.

So, Alisson Ni World Class na Ndiyomana Hata Real na Chelsea walimtaka lakini Akaichagua Liverpool.
 
Tatizo uelewa wako mdogo

Kane kila msimu ana 25+ goals, degea ana misimu karibu minne yupo bora

Salah ukitoa msimu uliopita, ni upi alishaini?

Ndio maana mpaka sasa amedrain,
Kwani Salah huu ni msimu wake wa ngapi akiwa na liverpool??
 
K

Kwan eden hazard alitokea timu kubwa???

By the way kama Salah sio world class player how comes anakuwa inclusively kwenye tuzo za fifa tena shortlisted?????????

Umetumia muda mwingi kuelezea ujinga tu you talk of consistency Hivi where the hell was eden hazard when mo Salah was hitting 31 goals?????????
Jamaa una kichwa kigumu kuelewa aisee. Hata mfano wa Arthur hujauelewa?

Angalia Hazard anaingia katika kikosi ambacho kimetoka kutwaa UEFA na makombe kadhaa ya EPL. Msimu wa 2012/2013 Hazard kawakuta
Cahill,
Ashel Cole,
Ivanovic,
John Terry,
Ferreira,
Frank Lampard,
Frolent Malouda,
Oscar,
Ramires,
Torres,
Peter Cech.
Wote hao ni aina ya wachezaji ambao wanajua jinsi ya kushinda makombe(jamaa amewaita winners). Hivyo Hazard hakuwa mpweke kwenye timu.
Na unaweza kumuona Hazard wa leo is a mature player. Anajua kusadia timu kupata vikombe
 
Angewasaidia na Belgium basi kupata kikombe
 
Kizuri Zaidi Ni Kwamba Umethibitisha Kuwa Hata Ni Mawazo Ya Bascombe na Yako Wewe..
Sifa ya Mawazo Huwa Yanahitaji Kuheshimiwa tu lakini si uhalisia Wa Ukweli Wa Jambo Kwasababu Kila Mtu ana yakwake Kulingana na Fikra Zake Zilivyowaza.
Kwahiyo Nakupongeza Kwa Kuwaza Hivyo wewe na Bascombe, Lakini sisi tunawaza vyengine.

Na ndiyo mana Ninakuuliza Lecister City Walipotwaa EPL walijifunza Kwanani ambaye Katika Timu Yao Amezoea Kubeba Mataji?

Je, Man United Kwa Mara ya Kwanza Mwaka 1992 walipobeba EPL ambayo walikuwa wana zaidi ya Miaka 25+ hawajabeba Kombe la Ligi Kuu walijifunza Kwa Mchezaji gani Wa Timu yao ambaye alizoea Kubeba Makombe?

So, Mpira si Mawazo ya Mtu kujifikiria, Bali Ni Matokeo ya Uwanjani.

Hata Hivyo Mimi naweza kukubaliana Nawewe Kuwa Bado Hatujawa na Kikosi Cha Kubeba Ubingwa lakini si Kwasababu Ya Kuwa Hatuna World Class au Hatuna Wachezaji Waliozoea Makombe.

Bali Sababu Ninayoiona Mimi Ni Kuwa Hatuna Kikosi Kipana tu na Kuflop Kwa Washambuliaji Wetu.

Kwani Salah na Mane Mimi sasahivi Sihesabu Kuwa Ni Washambuliaji Tishio tena Bali Ninawahesabu Ni Kama Origi na Solanke tu.
Ukweli unabaki pale pale.
Ushindi wa Leicester ya 2015 ulichangiwa na vitu vikubwa viwili.

1. Inconsistency katika big teams hasa Man U na Man City ukiachilia mbali Chelsea ambayo ilikuwa imeparaganyika kabisa. Kwa hiyo hata timu zilizotegemewa kutoa ushindani zilikuwa na matatizo mengine ya ndani. Hivyo hii ilichangia Leicester na Arsenal kubaki kama timu 2 zilizokuwa zikipigania ubingwa na kumbuka Arsenal haina winners, so factor ya pili nitakayoitaja hapa chini ikawapa Leicester odds za kubeba EPL

2. Team spirit.
Hiki ndicho kiliwatofautisha Arsenal, Liverpool na hawa mbweha. Vardy, Mahrez na Ngolo Kante walikuwa na winning spirit ya hali ya juu sana.

Hizo ndizo sababu kuu mbili za kwanini Leicester ilibeba ubingwa 2015 pamoja na kuwa haikuwa na wachezaji wenye uzoefu wa vikombe.

Sasa tukija kwa Liverpool msimu huu utaona inapata upinzani kutoka timu zenye wachezaji wenye uzoefu wa kubeba EPL i.e Man City na Chelsea (na hata Man U usii-underate maana hujui kitakachotokea mzunguko wa pili) tofauti na ilivyokuwa 2015 kwa Leicester ambapo Chelsea inamaliza ikiwa nafasi ya 10 na Man na Man City wakiwa na inconsistency.

Pia swala la winning spirit kwa sasa Liverpool ni tofauti na ilivyokuwa kwa Leicester 2015. Salah, Mane, Firminho sijawaona wakiwa na mentality ya akina Vardy, Ngolo na Mahrez. Kumbuka Mahrez, Ngolo na Vardy wote walikuwa included katika PFA team of the year 2015
 
Angewasaidia na Belgium basi kupata kikombe
Kombe la dunia ni kitu tofauti kabisa. Lakini hata nafasi ya Tatu ni mchango wake mkubwa. Argentina, Brazil na Ureno zilifika wapi? Wewe usitake kubadili mjadara bwana. Tuzungumzie makombe haya yanayowaonyesha wachezaji kila mwaka
 
Bora gari moja linalofanya kazi muda huu kuliko kuwa na magari matano ambayo yamechakaa na hayafanyi kazi tena ila yamebaki tu kuwa maonyesho kwa wajukuu.
Hili ni jibu mujarabu kabisa. Huu mjadala wa kujivunia historia umeishia hapa.
 
K

Kwan eden hazard alitokea timu kubwa???

By the way kama Salah sio world class player how comes anakuwa inclusively kwenye tuzo za fifa tena shortlisted?????????

Umetumia muda mwingi kuelezea ujinga tu you talk of consistency Hivi where the hell was eden hazard when mo Salah was hitting 31 goals?????????
Kama hujamuelewa ngoja nikueleweshe. Alichozungumzia hapo ni kwamba timu ni vizuri ikarecruit wachezaji ambao wameshazoea kuchukua makombe au hata kama hawajazoea basi kuwe na wachezaji ambao wameshachukua toka zamani. Hazard alikuna Chelsea kawakuta kina Didier wameshazoea mataji na yeye akaingia kwenye mfumo huo.

Unamsajili Shaqiri unategemea akupe nini huyu? Ni heri usajili anayetoka nje ya EPL Atleast anakuwa na motisha kucheza ligi inayotazamwa na sana ulimwenguni. Hawa wanakua na passion.
 
Acha kukalilishwa ..........
Shaqiri ana
DFL super cup 1
Uefa super cup 1
FIFA club world cup
DFB cup 2
Bundesliga 3
Uefa Champions league 1
Narudia Tena Acha kukalilishwa
 
Kama hujamuelewa ngoja nikueleweshe. Alichozungumzia hapo ni kwamba timu ni vizuri ikarecruit wachezaji ambao wameshazoea kuchukua makombe au hata kama hawajazoea basi kuwe na wachezaji ambao wameshachukua toka zamani. Hazard alikuna Chelsea kawakuta kina Didier wameshazoea mataji na yeye akaingia kwenye mfumo huo.

Unamsajili Shaqiri unategemea akupe nini huyu? Ni heri usajili anayetoka nje ya EPL Atleast anakuwa na motisha kucheza ligi inayotazamwa na sana ulimwenguni. Hawa wanakua na passion.
Huyo shakir unaemtaja anayo champion's league medal 🥉
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom