Klop alikariri goli la dakika ya 89 nafikiriNa Sab ya Stirridge haikupaswa Kufanyika dakika ya 87 kwani Ni Vigumu Kuleta Impact moja kwa moja.
Alipaswa Kuingia dakika ya 75 kuchukua Nafasi ya Mo Salah.
Spurs timu ndogo hamna mtu ana time nayo. sisi tuna muda na majogooHahaaa hata km n kuponda club sio kwa namna hii
Liver ana point tatu, unasemaje anasindikiza??
Wakat huohuo TOT hana point ila husemi kam anasindikiza[emoji23]
Leo mtasema timu mbovu
Kesho mkishinda timu yetu imekamilika hamtuwezi
Tukutane Anfield Tar 7
Khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeNapoli mwepesi tu. Pre season alikula tano bila
Ni mapema mno kusema Liverpool ni wasindikizaji, at least sio katika group stageGame tatu mfululizo looseful hawajashinda hata moja
Wasindikizaji kwenye haya mashindano ni liver
Nyie haya makombe ya mbuzi si size yenu. Komaeni na makombe ya wakubwa wenzenu. The so called MICKEY MOUSE CUP are ain't on your level anymore.Naona Kama FUTUHI inatusubiri.
Sijaiona Liverpool ikicheza hovyo hivi kwa muda mrefu sana
Lkn Jumapili tuna bounce back
Au mchezo na Chelsea uliwachosha wachezaji nini? poleni majirani zetuTatizo sio kufungwa ugenini............ Front three yetu inahitaji New alternative approach hii imeshafeli kabisa unacheza Dk 90 bila Short on target huoni ni tatizo hili.
Hahaaa hata km n kuponda club sio kwa namna hii
Liver ana point tatu, unasemaje anasindikiza??
Wakat huohuo TOT hana point ila husemi kam anasindikiza[emoji23]
Klopp alikuwa akibet kama mchezo wa Chelsea ndio maana kamwingiza dkd ya 88 ili dk ya 89 au 90 afunge la kusawazisha. Bad BetKwanza niseme wazi kuwa leo timu imecheza hovyo hovyo balaa, yaani it was extremely poor performance.
Pili niseme wazi kuwa Klopp leo maamuzi yake hayakuwa sahihi hata kidogo, especially baada ya kipindi cha pili kuanza. Mtu kama Salah hakutakiwa kurudi kipindi cha pili, ilitakiwa nafasi yake ichukuliwe na Shaqiri. Pia Firmino ndiyo angetoka nafasi yake aingie Sturridge. Kitendo cha kusubiria mpaka dakika ya 88 ndiyo unamuingiza Sturridge ni upuuzi. Mimi siyo kocha lakini niliona mapungufu ya wazi kabisa, nashangaa yeye Klopp kwa nini hakuyaona hayo.
Tatu niseme wazi kuwa mchezaji kama James Milner kwa umri wake na mechi zote anacheza siyo sahihi, ni wakati sasa wa Fabinho kuanza kucheza. Last season hatukuwa na depth kwenye squad yetu kwahiyo it was understandable wachezaji hao hao kucheza daily, this season Klopp afanye rotation ya akili.
Nne niseme wazi kuwa kwenye timu yetu kuna wachezaji washajua wao ni a must first eleven players, kwahiyo wameanza kubweteka...kocha afanye kazi yake hapo.
Mwisho niwapongeze Napoli although walitakiwa watupige kama nne hivi, maana leo tulikuwa hovyo sana!
Tukiendelea kucheza hivi tumekwisha, tutakuwa tunapigwa za kutosha.
Ni mapema mno kusema at least sio katika group stage, bado mechi nneLiverpool anaishia kwenye group stage raundi ya pili hafiki
Lala mkuu acha kuwanga kwenye uzi wetu.
Matokeo yetu tumeyakubali na tumeyapokea kwa mikono miwili. Sio kama nyie mna visingizio kama washwahili
Nimemuona......amekosea kidogo. Ila naona umekazwa kamoja tu. Khe khe khe khe [emoji1787] [emoji1787].ryana fan, njoo umuone huyu mwenzako, au yeye huwa ana haki ya kuongea kabla ya mechi?!
Maana naona huwa unawakataza mashabiki wa The Reds kuongea kabla ya mechi!
Hongereni kushinda ugenini goli mojaNapoli mwepesi tu. Pre season alikula tano bila
Wameanza kupoteana eti.Hata Hivyo Front 3 yetu imeshakuwa Ni serious problem...
They are finished! They Canty shot accurately...
More Off target than on Target..