OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,313
Kwa iyo mkuu Salah, Mane na Firmino wasipo pafom furesh kama unavyotaka wewe, timu haiwezi kushinda?mkuu level ya liverpool pale mbele bado hawajachanganya ipasavyo wanacheza chini ya kiwango na hilo wewe umeliona japo utabisha..
ishu sio first eleven mbali ni ile perfomance ya mchezaji mmoja...Salah kwa mfano ule moto wa msimu uliopita bado hajauwasha nwa bado mapema ndio kwanza mechi zinaanza kuchanganya...
Yes, your right!Una mtindio wa ubongo
Endelea kudhihirisha mtindio wa ubongoYes, your right!
Kwa sababu wewe ndio mama yangu.
Sasa kama Nina mtindio wa ubongo kwanini uendelee kuni quote?Endelea kudhihirisha mtindio wa ubongo
Na mama ako unaanza kumtukanisha humu
mi sio mchambuzi sana wa kikosi ila nikahisi leo Milner hakuwa katika form bora kwamba mpira umemkataa, lakini nilikuwa namuona uwanjani ila huyo Handerson sikuwa namuona uwanjani akifight kabisa na nikawa napaona kati pamepwaya, kumbe ishu haikuwa kwa Milner bali huyo jamaa aliyotufanya mechi ionekane ngumu wakati PSG aliweza kusimamishwa kwa ustadi mzuri kabisa ambayo PSG huwezi kuifananisha na takataka hiyo ya chelshit...!!!To be Honest Nimekuja Kumuona Henderson Kwa Kufanyiwa Sub tu! Lakini Dakika Zote 70 alizokuemo nilikuwa Sijui Kama Yumo uwanjani mpaka Nikadhani Klopp Kachezesha Viungo Wawili tu Gini na Milner.
Kiukweli Hendo Hatufai hata Kidogo.
hahhahahaaHmm.. Liverpool fan trying underestimate Chelsea fans by using soft words.
Huwezi ukasema una underrate timu ambayo haijapoteza katika mechi zake 6. Inashika nafasi ya tatu, ina mshambuliaji hatari zaidi kwa sasa. Huwezi kuunderrate hiyo timu. Eti mmeonyesha ukomavu [emoji3][emoji3]
Yan utafikiri ndiyo tumepanda daraja msimu huu kwa hayo maneno yako.
[emoji3] [emoji3] wakati mwingine una akili kumbeDah! Jana Kijana Wetu Kafanya Kazi Kubwa Sana Hasa Zile Nafasi Mbili alizomdeny Willian na Hazard ana Kwa ana!!
Yani Sijengi Picha Sijui Kipa angelikuwa Mignolet au Karius ingelikuaje!!!!
View attachment 881921
Kibaya kwa liverpool? [emoji23]Kitu kibaya kwa Liverpool chelsea tunarudi tena anfild kwa ajili ya EPL
Mkuu inabidi unyamaze tu kwa AIBUHata jana tungepanga kile kikosi cha Carabao...
Sijui mngeshindia wapi.
Liverpool kamili dakika ya 45 anamaliza game AnfieldKitu kibaya kwa Liverpool chelsea tunarudi tena anfild kwa ajili ya EPL
Mpaka wakati huo tutakaporudiana hata chelsea itakuwa imeimarika zaidi na umiliki wa mpira kwa kiwango cha juu mbele ya team kubwaLiverpool kamili dakika ya 45 anamaliza game Anfield
Kaka ule moto pale mbele utakuwa umeisha changanya kwa 100%
Mechi ya marudiano ANFIELD mmeisha poteza
Kuna yule mtu atakwambia kocha anajua zaidi
Hivi hazard unamchukuliaje mkuu,hawezekani klopp apange kikosi kisicho zui wachezaji wanao casuse more problems, hazard huwa anazunguka uwanja mzima eti[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwanza Kabisa Ninazungumza Kwa Maandishi Mekundu Kuwa Ni Game Plan Ya Klopp Bali Maoni Yangu Binafsi tu Musijesema "Mbona Klopp Hakumzuia Hazard"
Then, Muelewe Kuwa Kama Kumzuia Hazard Basis Hatozuiwa Na Wachezaji Wetu wrote 11, Kwahiyo Kuleta Hoja Za Kuwa Wengine Sijui Wapo Watapata Nafasi Hapo Ni Kujidanganya.
Jengine Kusema ili Uifunge Ni Chelsea Unahitaji Umiliki Possession huo Ni Uongo. Possession Ya Chelsea haina Madhara yoyote Muhimu Ni Kublock Mashambulizi Kucut attacks tu.
Barca Kapigwa na Possession Yake ya kumiliki mpira
Mkuu angecheza hivyo unavyotaka na PSG sijui kama tungepata ushindi. Plan nzuri ni kuizuia team pinzani kwa ujumla wake kuliko kumzuia mtu mmoja mmoja.Hivi hazard unamchukuliaje mkuu,hawezekani klopp apange kikosi kisicho zui wachezaji wanao casuse more problems, hazard huwa anazunguka uwanja mzima eti[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Link inazunguaKuna group ya whatsapp ya liverpool ipo vizuri sana......ni ya washabiki toka kona zite za dunia. Kama kingsreza kinapanda jiunge kwa link:
LFC W[emoji460]rld wide supporters