Rich Forever
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 467
- 469
Kila la heri mkuu.pole sana ndugu Traford kuna upepo umewakomalia hausomeki utawaachia lini all the best mrudi kwenye kiwango..
at tyms huhitaji kua bora mechi zote maana msimu uliopita kuna kipindi Liverpool ilikua na 75+ % posession na mechi aidha inaisha draw au kipigo..
msimu huu Klopp ameelewa kinachosemeka na kukupa pointi sio smart or heavy metal football mbali ni ushindi tu...
sasa hilo la tutafumuliwa bado ni mapema sana kusema ni kweli au la kwa sasa twachukua kujipanga mechi baada ya mechi...YNWA
Basi Tusubiri jumamosi vvd na Gomez watakuepo mkuuYani Game ya Leo imeprove Zahiri Shahiri Kuwa Miaka Miaka Yote iliyopita Ni Defence ndiyo iliyokuwa ikituangusha...
Yani Kukosa VVD na Gomez basi Mpaka Morata Anapiga Chenga!!!!!
Hahahaa tuwasubiri vvd na Gomez jumamosi au sio king ngwabaNa Kwajana Niwe Mkweli Sijaona Kosa La Mignolet Kwa Magoli Yote Mawili.
• Goli la Kwanza Ni Uzembe Wa Mabeki Kutokuwa Na Hata Maarifa Ya Kukaba Set-Piece.
• Goli la Pili Ni Ufundi Wa Hazard tu uliopata Advantage Kutokana na Ubovu Wa Mabeki pia.
So, Mignolet deserves no Blame Kwa Hili.
Leo nilikuja kufuata comment yako ya gameDah! Nimeamka tena...
Nasisitiza Kwa Upande Wangu Nimefungwa Na Sina Excuse yoyote.
In mou voiceNi wachezaji watatu tu walio anza leo ndiyo wataanza Jmos ambao ni Mane,Milner na Keita! Mashambulizi yanaongozwa na Dan?Liverpool gani hiyo?’liverpool yenye jina Loverpool utakutana nayo Jumamosi
Nakufunga easy kabisa!
Na Kwajana Niwe Mkweli Sijaona Kosa La Mignolet Kwa Magoli Yote Mawili.
• Goli la Kwanza Ni Uzembe Wa Mabeki Kutokuwa Na Hata Maarifa Ya Kukaba Set-Piece.
• Goli la Pili Ni Ufundi Wa Hazard tu uliopata Advantage Kutokana na Ubovu Wa Mabeki pia.
So, Mignolet deserves no Blame Kwa Hili.
Leo zimecheza team BUsisahau Keppa, Alonso, Ludiger, Luiz, Joginho, Kante, Pedro, Hazard na Giroud hawakuanza. Kikosi kilikuwa na Azpillicueta, Kovacic na Willian kama first team playera
Najua kikosi cha kwanza cha LiverpoolUshakua shekhe Yahya
Kwa vile kikosi B Liverpool kimefungwa na kikosi B cha ChelseaMoreno na Mignolet! Mbona hujasemea kikosi cha Chelsea kuwa na Cabarello, Cahill, Christensen, Emerson, Moses, Barkley, Fabrigas?
Liverpool kikosi A huwezi mfunga popote pale duniani!Hahahahaha....
Asante kwa ufafanuzi huu hasa juu ya Mignolet. Maana jana nimeangalia game yote sijaona kosa lake kuubwa la kumsema vibaya.
Pili, kwa mtazamo wangu, Clyne alicheza vizuri kuliko Shaqiri. Hili ni kwa kuangalia nafasi walizokuwa wanacheza.
Clyne kama beki wa kulia aliweza kumzuia Willian vilivyo na kupandisha mashambulizi.
Shaqiri kama mshambuliaji alishindwa kuleta effect yoyote kule mbele ukiacha dribble moja moja na kumuonea Christensen. Kwa Liverpool ya sasa, bado atabaki benchi tu nyuma ya kina Mane na Salah.
Leo nilikuja kufuata comment yako ya game
Asante kwa kukubali kipigo
Mimi Ni Mmoja Wa Fan Wakubwa Sana Wa Hazard na Jana Aliyekuwa Hajaamini Kuwa Hazard Ni Mmoja Wa Top Four Ya Best Player in The World (Messi, Ronaldo, Neymar Na Hazard) basi Huyo Si Mpenzi Wa Soccer Bali Ni Mshabiki Wa Chandimu.
Na nilimuona Zaidi Kuwa Ni World Class pale Alipousoma Mchezo Ndani Ya Dakika 5 Kuwa Upande Wa Kulia alipo Clyne Ni Tatizo Wakati yeye anacheza Wing ya Kushoto.. Kwahiyo Fast Kaswitch Kulia Baada Ya Kuona Upande Wa Kushoto Wa Liverpool Ni Uchochoro ambao Moses Kashindwa Kuutumia.
Kwahiyo Alienda Upande Wa Wing ya Kulia Kambirua Moreno Kafunga Goli baadae Karudi Kushoto Kupotezea Muda.
Sasa Ni World Class tu Ndiyo Kwenye Akili Kama Hizo za Kusoma Mchezo na Kuangalia Weakness ya Mpinzani ikoje.
Xhaqiri anadrible Vizuri lakini anakosea Kwenye Decision Making Pale Kwenye How and When to pass the ball kwa his teammate.