Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwanza ni draw sio drow
Af ukitoa draw tatizo ni kwamba unakosa point 3 unapata 1
Kwani kunakuwa na tatizo gani endapo nimepata iyo point 1 mkuu? au wewe una uhakika wa kupata izo point 3 kila mechi?
 
Ollachuga Oc Naona Tayari Mumeshakaa Kwenye Nafasi Yenu.

IMG_20180923_181033.jpg
 
Kwani kunakuwa na tatizo gani endapo nimepata iyo point 1 mkuu? au wewe una uhakika wa kupata izo point 3 kila mechi?
Acha kulia sasa
Mbona unauliza kama unataka kulia

We tulia maana ukipanick zaid juma tano unakutana nacho tena ukipanick tunaongeza dozi trh 29

Similar Discussions

Back
Top Bottom