Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Yani Mashabiki Wa Chelsea Wanaumia Liverpool ikishinda Utadhani Wao Hawana Ratiba Ya Kwao.
Leo tunacheki game pia sio siku ya kazi tumepumzikaHuna kazi??
he he hee! ...Yani Mashabiki Wa Chelsea Wanaumia Liverpool ikishinda Utadhani Wao Hawana Ratiba Ya Kwao.
Ndo ulichobakiza kusema hiki.Mashabiki wa Liverpool hufurahia mwanzoni tu lakini mwisho huishia kuhuzunika
️ Matip
️ SalahIngawa Tumeshinda Lakini Bado Tuna Tatizo Kwenye Timu Tunapoteza Mipira Mengi Sana na Timu Haiko Making Katika Ufungaji Kwani Mechi Kama Ya Leo ilikuwa Ni Ya Kushinga Goli 5+
Tunaujua mwisho wenuYani Mashabiki Wa Chelsea Wanaumia Liverpool ikishinda Utadhani Wao Hawana Ratiba Ya Kwao.
Haya ni mawazo yako tu king ngwaba. Mpira ni burudani....hakuna sababu ya kuchukia wakati wanaocheza na wenye zao wapo uingereza. Sisi tunaburudika tu pale timu zetu tunazosapoti zinafanya vema hakuna sababu ya kuchukia timu za wengine.Yani Mashabiki Wa Chelsea Wanaumia Liverpool ikishinda Utadhani Wao Hawana Ratiba Ya Kwao.
Amenikera sana kumuingiza milner na tunaongozaKlopp amchezeshe Fabinho hata dakika 15 za mwisho..
Nafikiri kulikua na tatizo ukabajiAmenikera sana kumuingiza milner na tunaongoza
Mzee mwenzangu,baada ya ajali ya MV Nyerere,harimaye leo Liverpool FC wamenifanya nitabasamu na nipunguze uchungu kwa mara ya kwanza ndani ya masaa 72.Nawasalimia ndugu zangu wa Anfield
Mimi babu yenu nawasomeni huku nikiburudika....
Liverpool bhana... inazidi kunifanya niongeze idadi ya bia.