Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Watu wangu wa Melwood wako vizuri sana kwenye kufanya uchambuzi wa timu yetu katika kila idara na wanastahili kualikwa na local tv stations
Sasa kule wachangiaji wa maana ni wawili tu yaani Mento na Kalou
Wengine ndio vitoto ambavyo kule jamvini kwao Mentor na Kalou wasipoonekana basi wengine ni mwendo wa copy and paste na pumba tupu na uganga wa kienyeji
YNWA
mkuu ni shinda sana kwa kweli jamaa kila akitabiri ooh leo mnafungwo, sisi hao pointi twanyakua...
hapa ni take each game as they come sio kutabiri jumla jumla kama vile ni soka la bongo..
kila mechi ina ungumu wake na mpaka mechi ya jana bado tunapoteza pasi nyingi sana ambazo msimu uliopita hio shinda likua kwa Lovren na Henderson sasa wengine nao wameabukizwa..hope Klopp atalifanyia kazi maana hata front 3 bado wanapoteza nafasi za kufunga nyingi tu..
aafu anakuja mpinzani hapa kusema hatuendi kokote tutaanza kufungwo...
to me we will get better with time na ma haters wataisoma namba maana angalau sasa tu depth ya ku rotate wachezaji na kupata ushindi kama jana..
 
Naona hii kazi wametuachia sisi...

Tukiwapiga hapo panapo 26 na 29 naamini Napoli na Manchester city watakuta njia imeshatengenezwa.
 
Naona hii kazi wametuachia sisi...

Tukiwapiga hapo panapo 26 na 29 naamini Napoli na Manchester city watakuta njia imeshatengenezwa.
Hahaha

Huna matumaini wew maliza kazi kwanza na WHU ndipo uje utusumbue
 
Naona hii kazi wametuachia sisi...

Tukiwapiga hapo panapo 26 na 29 naamini Napoli na Manchester city watakuta njia imeshatengenezwa.

Hivi Kumbe Mpaka Carabao Mumekamia?

Haya nyinyi Watayarisheni Kina Hazard, Joginho na Willian Kwa ajili Ya Carabao, Sisi Tutawasubiri Kwa Liverpool B au ya U23 kina Solanke, Curtis John, Origi, Camacho ili muje Mupambane nao Mujifariji..
Hatuwezi Kurisk wachezaji Wetu Kwa Mickey Mouse Cup.
 
Kitu Kimoja Kinachonifurahisha Ni Kuwa Alisson Kawa Msikivu na Kuacha Hule Mzaha Wake Pale Goli.
Amejirekebisha Kwa Kweli.

Na Hata Combi ya Gomez na Matip Kama itapata More game time basi inaweza Kufanya kazi Kwa Baadhi ya Games zilizokuwa Hazika Kwenye High pressure mostly zile za Anfield.

Coz Siku zote VVD huwa Ni Leader Katika Backline lakini Jana Gomez kaonesha Kuwa Yeye pia anaweza Kuwa Leader Katika Backline Yetu.
 
Pia Keita Anasumbuliwa na Kutokuwa Na Consistency ya Mechi Baada ya Mechi ingawa Bado anacheza Vizuri lakini sio vile Tulivyotarajia Kutoka Kwake.
 
DISCUSSION: NI MCHEZAJI GANI MUHIMU ZAIDI KWNYE KIKOSI HIKI CHA LIVERPOOL?

Personally namchagua VVD jamaa ame transform kabisa backline yetu.ani leo alivyokua chini mapigo ya moyo yalienda mbio sana.good news ni just a bruised rib tu na natamani game ya carabao asicheze ili awe fit zaidi game na chelsea ya league.
Mkuu mchezaji wangu muhimu ni Bobby Firmino...ndogo kwa kweli anajituma aidha akiwa na mpira au hana mpira na kuanzia mwanzo wa ligi hadi mwisho wa ligi
 
Sallah bana kafunga bao la mzobemzobe tu
Hakuna jitihada kabisa
duuu Mangi unataabu sana...kazi ya straika ndugu ni kufunga tu hayo mengine unayosema hayamhusu...
kwanza ile awareness na kuwai kwa spidi ya mwendo kasi na kufunga baada ya kugonga mwamba sidhani kama Morata anauwezo huo..
Salah attitude is everything na ndio maana mpaka sasa mashabiki pale Anfield kama mechi ya jana wanampa sapoti ili arudi kwenye kiwango cha kufunga 32+ kwenye ligi msimu huu..
 
Chelsea mnajifanya ni wapinzani wetu sio?

Ndiyo Wanalazimisha iwe hivyo Japo sisi hatuna Upinzani na Wao kwani Sisi Watu Wazima Ni Aibu Kueka Upinzani Na Kijitimu Kilichoanzishwa 2004.
 
Kitu Kimona Kinachonifurahisha Ni Kuwa Alisson Kawa Msikivu na Kuacha Hule Mzaha Wake Pale Goli.
Amejirekebisha Kwa Kweli.

Na Hata Combi ya Gomez na Matip Kama itapata More game time basi inaweza Kufanya kazi Kwa Baadhi ya Games zilizokuwa Hazika Kwenye High pressure mostly zile za Anfield.

Coz Siku zote VVD huwa Ni Leader Katika Backline lakini Jana Gomez kaonesha Kuwa Yeye pia anaweza Kuwa Leader Katika Backline Yetu.
Van Dyke kampika Gomes vizuri sana. Niliona clip moja wakiwa pamoja wanaulizwa quiz na LFCtv.
 
Last 2 seasons Tulizoea Kuona Timu Zikiiogopa Front 3 yetu...

Lakini Kwa Sasa sio Front 3 pekee Bali Ni Front 11 yote ndiyo inayoogopwa..

Only JF's Keyboard attackers ndiyo Wasioiogopa Front 11 ya Liverpool..

Alisson - VVD & Gomez - Bobby hii ndiyo Backbone ya Liverpool Kwa sasa....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom