Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,985
- 189,557
Naona moto wa kifuu mwanzo wa msimu 😀😀😀😀
Naona moto wa kifuu mwanzo wa msimu 😀😀😀😀
Tushawazoea hata msimu uliopita pamoja na ubovu wetu tulikuja anfild Hapo na tukatoka Salama@EK kwa beki yenu ya Ludiger na Luis isivyokuwa na uelewano tutawakomesha.
Hawana pace sprinting. Eden kwa speed ya Salah Firmino na Mane mjipange.
Tushawazoea hata msimu uliopita pamoja na ubovu wetu tulikuja anfild Hapo na tukatoka Salama
Nyie dawa yenu inachemka na ndio itakuwa mwisho wenu wa kuja humuKama nakumbuka Willian alifunga goli zuri sana.
Sallah bana kafunga bao la mzobemzobe tu
Hakuna jitihada kabisa
Naona moto wa kifuu mwanzo wa msimu 😀😀😀😀
Lile goal la salah lililokataliwa jana lilikuwa na shida gani??
Lile goal la salah lililokataliwa jana lilikuwa na shida gani??
Ukijibiwa unistue mkuu... maana mi sikuona tatizo lolote.Lile goal la salah lililokataliwa jana lilikuwa na shida gani??
We jamaa unafanya nini huku kwa wakubwa zako?Kama nakumbuka Willian alifunga goli zuri sana.
Ukijibiwa unistue mkuu... maana mi sikuona tatizo lolote.
Oh sikuona hiyo. Ngoja niangalie tena replay...Inawezekana Labda Kwasababu Salah alikuwa Nje ya Uwanja Kabla Ya Kufunga lile goli na Baadae Kaingia Kwa Kufunga tu.
Nyie dawa yenu inachemka na ndio itakuwa mwisho wenu wa kuja humu
We jamaa unafanya nini huku kwa wakubwa zako?
Sidhani kama ni majigambo... watu wanaongelea hali halisi ya yanayojiri viwanjani...Nipo naangalia majigambo yenu tu ..
Nipo naangalia majigambo yenu tu ..