Mfumo ndo uliokua tatizo hasa upande wa kushoto maelekezo yangetosha shaqil aliegemea sana upande wa kulia kushoto kukawa kuna pwaya.tulikua tunaongoza maelekezo yangetosha kuimalisha team wangeingia wengine tu sio kumchosha milnerNafikiri kulikua na tatizo ukabaji
duu kweli wewe mbishi bure...leo tumeshinda na tunaongoza ligi bado yajayo yanakutesa tu...Tunaujua mwisho wenu
Wakati mtakapoanza kulia na team yenu
Tokea 2004 Mwaka iliyoanzishwa Chelsea:
1) Man United Kacheza Fainali 3 za CL, Kabeba Kombe 1.
2) Liverpool Kacheza Fainali 3 za CL, Kabeba 1.
3) Chelsea Kacheza Fainali 2 za CL, Kabeba 1.
Sasa Asipoweza Liverpool Kuwatetea Kama Alivyoonesha Ubabe Last Season unadhani Utaweza Wewe Unaefungwa Magoli ya Aibu na Messi Pekee?
wamehamia uzi huu utadhani maneno yatatunyima ushindi...hapa ni kupata pointi kwa kila mechi..Yani Mashabiki Wa Chelsea Wanaumia Liverpool ikishinda Utadhani Wao Hawana Ratiba Ya Kwao.
Yani Mashabiki Wa Chelsea Wanaumia Liverpool ikishinda Utadhani Wao Hawana Ratiba Ya Kwao.
wamehamia uzi huu utadhani maneno yatatunyima ushindi...hapa ni kupata pointi kwa kila mechi..
next ni wao na mpaka sasa wanajua kazi wanayo maana kutuzuia hawawezi...
@EK kwa beki yenu ya Ludiger na Luis isivyokuwa na uelewano tutawakomesha.Tunaujua mwisho wenu
Wakati mtakapoanza kulia na team yenu
Hii clean sheet imenifurahisha sana...
naomba linki mkuuYani Ninaangalia Kwa Kustream Bein Sport hapa Basi Muarabu Akikutangazia Goli Ni Burudani Zaidi Ya Kuangalia Mpira wenyewe 😀😀😀
I'm affraid Allison will hand in transfer request b'se VVD is not leting him to make any save....
naomba linki mkuu
.good news ni just a bruised rib tu na natamani game ya carabao asicheze ili awe fit zaidi game na chelsea ya league.