Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Dhana ilikuwa ni ile ile ya kusimamia tamaduni za Clubs.

kama umenotice kitu ni kuwa, LFC imekuwa ikiajiri managers ambao ni supporter au wapo direct connected na Club.

hao kina Sousness na Evans wote ni supporters wa LFC, Roy hodgson ni die hard LFC fan, Rodgers ni boyhood LFC fan, and we have Klopp who is a LFC fan, pamoja na Buvac aliyeondoka nae ni LFC fan. utakumbuka we wanted Don Carlo kabla ya kuanza mazungumzo na Klopp, Don Carlo amekuwa akiisupport LFC tangu 1980's

I still believe Klopp will retire at LFC, and after his retirement nadhani SG or Alonso wanaweza kutake-over.

but nitapenda zaidi kama Alonso akiichukua team over SG, SG ni "Top red" so atatuletea wachezaji aina ya Henderson na Flagan wengi sana LOL.

Thanks a lot for educating me on that. Klopp yupo kwenye project na kama sikosei ataondoka after 7 years. Baada ya hapo anatabiriwa SG kumrithi
 
Hapo kwa Rashford hapana Man utd hawana striker wa kutisha

Dogo mnamuunderrate, unataka kuniambia nani amefit position ya namba tisa kama dogo? Dogo kuna muda alipoteza confidence sababu hakupewa gametime uwezo hautaonekana ingawa anao mkubwa,,,,,,,,,,,,,,,,, Tuwe wakweli bana hivi ni kwa tisa zetu hizi ambazo haziwezi hata kukimbia (Firmino&Sturridge) ?????????????????
 
I agree with you that VVD is the best defender so far in EPL if not Europe!

Even in the last game LFC v/s PSG, Stastically VVD was quickest player on the pitch with speed of 32.4km/h kwa upande wa Liverpool aliwazidi Salah, Mane na Sturridge/ Fimihno na kwa upande wa PSG alimzidi Kylian Mbappe na Neymar!

VVD yupo sharp aisee!

aliyefuatia kwa mwendokasi ni Robertson (32km/h), Mbappe (32km/h), Neymar (31km/h), Gomez (30.8km/h)

Bila VVD Liverpool defence is crap!

Kwa mechi ya juzi sawa , ila kwa speed basi hamna mchezaji mwenye speed kama Mane pale Liverpool. Bellerin anamjua Mane ni nani akiwa kwenye sprint, kwa EPL namjua mchezaji mmoja tu anaemzidi kasi Mane (Antonio Valencia)
 
I dont know ilikuwa ni msg ya aina gani..

but we cant afford Mbappe now, its so easy kwa Klopp kumshawishi Mbappe aje LFC but we cant compete na Madrid kwenye pesa man, na pia hata kama Madrid hawatomnunua ni wazi kuwa itakuwa ngumu sana kumtoa Mbappe kwa waarabu wa PSG. tuna chance kwa Rabiot kwasababu next year anakuwa ni free agent.
Nimemcheki yule dogo Cornet wa Lyon juzi na nimependa sana uchezaji wake.
 
Dogo mnamuunderrate, unataka kuniambia nani amefit position ya namba tisa kama dogo? Dogo kuna muda alipoteza confidence sababu hakupewa gametime uwezo hautaonekana ingawa anao mkubwa,,,,,,,,,,,,,,,,, Tuwe wakweli bana hivi ni kwa tisa zetu hizi ambazo haziwezi hata kukimbia (Firmino&Sturridge) ?????????????????
Naona ss umeamua kupandisha jazba za watu.umeona kumfananisha na aguero haitoshi ss unakuja kufananisha hio takataka na BOBBY FIRMINO?kazi anayofanya firmino uwanjani hta kma asifunge hta goli moja msimu mzima still anapata nafasi kwenye team.ss hicho kiumbe kinatia kamba 20+ na ana press kma jini af umfananishe na rashidi?
 
Rushford kakosa matunzo, ila angepata bahati ya kuwa chini ya watu kama Wenger ingekuwa habari nyingine.
 
Naona ss umeamua kupandisha jazba za watu.umeona kumfananisha na aguero haitoshi ss unakuja kufananisha hio takataka na BOBBY FIRMINO?kazi anayofanya firmino uwanjani hta kma asifunge hta goli moja msimu mzima still anapata nafasi kwenye team.ss hicho kiumbe kinatia kamba 20+ na ana press kma jini af umfananishe na rashidi?

Kijana tukienda kimgawanyo wa role na position mimi nakuwa kocha siwezi kumpa Firmino role ya namba tisa, watu wengi huwa wanaliongelea humu mara nyingi kuwa Bobby amelazimishwa kuchezeshwa namba tisa kwa asili yake yeye ni namba kumi(Classic no10) . Wewe kama ni mshabiki wa mpira najua utakuwa unajua namba Tisa anakuwa na Qualities zipi
 
Man, the fact that this dude amekuja na kwa kipindi kifupi mno amefanikiwa kusolve na kushape our backline iliyokuwa mbovu sana, shows ni jinsi gani alivyokuwa complete.

Alimfanya the most useless CB (Lovren) to ever played for LFC kuwa "Decent CB" and now he's turning a young CB into world bitter.

nothing more can be said man.

will be tough to over-take Hansen, but am sure he'll overtake Hyppia.

Hyppia mentored JC, Agger and Skrtel, and at 26 VVD is mentoring a 29 year old Lovren, Matip and Gomez.
Hahaaaaaaa jamaa ni kiongozi sana,mbio zake mipira yake anavyopiga asa upande wa kulia unatua kwa usahihi kwa mhusika,anaruka mipira ya juu,( tulikuwa na tatizo kwenye setpieces) kona ilo limeanza kuondoka
 
hao "mafamba" wa Misri, hawaishabikii LFC, bali wanamshabikia Salah, they LFC ina mchezaji mmoja tu, na ni Salah pekee ndiye anayetakiwa kufunga.

matter of fact, ukiwatoa Robertson na VVD at the back, ni Firmino, Salah and Mane ndiyo wanaofuatia kwa kupasiana mipira mingi.

and siyo tu hao wamisri but LFC fans wengi wali-react vibaya na ile ishu ya Mane, but again hakuna fanbase duniani yenye reactionaly fans kama LFC, huwa wana-react kwa vitu vidogo na kutunga stories nyingi sana.

nilisoma sehemu kuwa, Klopp ali-mind baada ya Mane kutompasia Salah, but kama umekuwa ukimfatilia Klopp kwenye touch-line, huwa hapendi Mane acheze pass ya mwisho, kwasababu dunia nzima ya wafuatiliaji wa mpira wanajua kuwa Mane's main weakness ni final decision kwenye box ya opponent, na ndiyo maana Klopp huwa anashout from the touch line "SHOOT" Mane anapokuwa na mpira kwenye opponent box, 90% ya pass za mwisho za Mane huwa zinapotea, kwasababu huwa anashindwa kufanya maamuzi ya haraka kwenye box, (vitu vidogo kama hivi ndiyo vinavyowatofautisha kina Messi na wachezaji wengine duniani), Klopp anataka Mane akiwa kwenye opponent box na akiwa yupo under pressure apige golini kuliko kutoa pass ya mwisho, and its funny because watu hawajiulizi kwanini Mane's stats za assisits ndani ya opponent box ni mbovu?

Mane alikosea mahesabu ya pass ya mwisho na ni kosa la kimchezo kwa kila attacker.
warabu wana Mioyo ya ajabu ndo hujilipua😀
 
Kitu cha kawaida hicho Mkuu, Tanzania hii ukimuuliza mtu yeyote unashabikia timu gani Belgium atakwambia Genk, By the way why Genk?

Kuhusu issue ya Mane wadau tusikwepeshe ukweli , Mtu mweusi mwenzetu na muaAfrika mwenzetu Sadio nimemuona mara nyingi tu akiwa anamyima Mo Salah key passes, na hii nimemshuhudia toka msimu uliopita. Tuassess ni key passes ngapi ambazo Mo Salah anazipeleka kwa Sadio and then the same kwa huyo Mane!

From our front three I believe Sadio akiamua kutoa assists hamna ataemfikia and perhaps EPL! Jamaa anao uwezo mkubwa kwa kutoboa ukuta wa beki akapiga side passes za kutap-in na wakamalizia Salah Na Bobby and anyone around!

Kwenye ile chance aliyompasia Keita akamiss ukicheki ni kuwa mara ya kwanza wakati anagaze ampasie nani wa kwanza alimuona Salah ila kijana akampa MuAfrika magharibi mwenzie
 
Samahani Mkuu MASAMILA ! wewe Ni Kop Mwenzetu.
Uko Huru Kwa 100% kutoa Maoni Yako Bila Ya Kupangiwa na Mtu cha Kuzungumza.
Na vile Vile Sote humu tunahaki Ya Kuheshimu maoni Yako..
Kwahiyo Hata sisi Usione Hatokosoi lakini Huwa Tunaziona Post Nyinyi tu Humu ambazo Kwa Mawazo Yetu tunaziona Haziko sawa Bali tunanyamaza Kwani tunahesabu Kama Ni Haki Yake Mtoa Post Kuwa Mawazo Yake Yahishimiwe.

Kwahiyo Hapo Juu Nilikuomba wewe na Wenzako Musitishe hule Mjadala Wa Rashford.

Na Jengine Ni Kwamba Baadhi Ya Post Ambazo Hazina Athari Sana Jaribu Kuzikaushia tu Kama Tunavyofanya sisi ili Kuokoa Mabishano Yasiyo ya Lazima.

Kwani Sasahivi Kwenye Timu yetu Tupo Katika Kipindi Cha Furaha na si cha kusutana sisi Kwa sisi.

#YNWA mkuu.
 
Wengi wenu hamjui mpira mnaongeaongea tu
Acheni ukuda
 
Uzi uliomquote jamaa ni issue ya Sadio Mane vs Salah.

Mkuu tukikaa kimya bila hizi arguments maana yake thread ifungwe?

Mimi napo-criticize point ya mtu au kutoa opinions zangu sidhani kama ni fair kusema mtu asinipinge, otherwise natakiwa kukaa na point hiyo moyoni. Kitu muhimu ni supporting facts na evidences, kwenye malumbano tunapata kujifunza.

Ustaarabu pia kwenye kupinga hoja husika ni muhimu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom