Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ebu toa hongera ya dhati na siyo iyo ya kinyonge
Ni hongera yenye baraka zote mkuu. Timu za England zinatakiwa kurudisha ubabe wake kwenye uefa ambao umetekwa na timu za hispania, ujerumani labda na italia.

Hivyo ni wakati wa kurudisha huo ubabe tena ..kwanzia uefa mpk europa.

Lakini Liverpool, au Tottenham, au Man city sidhani kama wataliweza hili.

Ok ngoja tuendelee kuangalia.
 
Tokea 2004 Mwaka iliyoanzishwa Chelsea:

1) Man United Kacheza Fainali 3 za CL, Kabeba Kombe 1.

2) Liverpool Kacheza Fainali 3 za CL, Kabeba 1.

3) Chelsea Kacheza Fainali 2 za CL, Kabeba 1.

Sasa Asipoweza Liverpool Kuwatetea Kama Alivyoonesha Ubabe Last Season unadhani Utaweza Wewe Unaefungwa Magoli ya Aibu na Messi Pekee?
 
Edgar Davids is Back

0_Firm3.jpg

0_Firm4.jpg
 
Sasa FSG wanaijengea Heshina Kikamilifu Anfield.

√ Hatujafungwa Ndani Ya Anfield Kwenye European football Kwa Miaka 4.

√ Hatujafungwa Anfield kwenye Premier League Kwa Miezi 17.

Anfield has become a fortress again
 
What are the biggest clubs in the world? (The big 7)

Fans wengi sana huwa wanachanganya kati ya neno "big" and "better"

ili Club iitwe "kubwa" inatakiwa iwe imefuzu vigezo muhimu vitano, or tunaweza tukasema kuna elements muhimu TANO zinazohidhinisha "ukubwa" wa Clubs husika;

1. History
2. Trophies
3. Global involvement (kwa Club za ulaya tunaangalia zaidi ushiriki wao kwenye UCL, UEL etc)
4. Fanbase
5. Value

Sasa basi; ili Club iitwe "big" inatakiwa iwe na walau kigezo kimoja katika hizo Elements, but ili Club iitwe "bigger" inatakiwa iwe na Vigezo angalau Vinne katika hizo elements.

In England kuna kitu kinaitwa "The trio", ambayo inahusisha Clubs tatu (Manchester United, Liverpool and Arsenal), ikiwa na maana kwamba, these three Clubs are the biggest Clubs in England.

1. HISTORY
History wise, kwa pale England, Clubs zifuatazo zipo kwenye category ya ukubwa (ukiachana na The trio) these clubs are Everton, Newcastle, Aston Villa, Spurs, Sunderland, Nottingham Forest, Leeds United, Wolves, Blackburn Rovers etc,

2. TROPHIES
Trophies wise, (ukiachana na The trio), Clubs zifuatazo zipo kwenye Category ya ukubwa, these Clubs are Chelsea, Everton, Spurs, Aston Villa

3. GLOBAL/EUROPEAN INVOLVEMENT
ukiachana na The trio, ni Chelsea ndiyo inayofuatia kwa wingi wa European involvement. (will explain more kwenye hii part)

4. FANBASE
kwa upande wa Fanbase pale England (ukiachana na The trio), Clubs zifuatazo zinafall kwenye category ya ukubwa, these clubs are Newcastle, Chelsea, Sunderland, Everton, Leeds Utd, West ham etc

5, VALUE
in England, Club kubwa kwa upande wa Value (apart from traditionally run Clubs kama utd, Liver and Arsenal), ni Manchester City, nimesema City, kwasababu ni Club ambayo haitegemei sana bonuses kujiendesha.

kwahiyo, kwa kupitia hiyo notion utagundua ni kwanini hizi Clubs tatu, zinaitwa the biggest Clubs in England, lakini kwenye huo utatu, Man utd inaongoza, Liverpool inafuatia then Arsenal wanakuja, ndiyo maana sometimes kuna watu huwa wanatumia notion ya Two biggest Clubs in England wanapozitaja Utd na LFC kwasababu ya uwiano wa makombe domestically na internationally.

people can debate kati ya Arsenal na Chelsea, hasa katika upande wa European trophies, kinachoangaliwa hapa siyo trophies kwa upande wa europe, tunaangalia ushiriki wa mara kwa mara kwenye haya mashindano (involvement), though Arsenal wamekuwa na bahati mbaya sana kwenye mashindano ya Ulaya, but theres no doubt kuwa ni moja kati ya pioneers na clubs zilizoset precedent kwenye haya mashindano, Chelsea started to be "constant" regulars kuanzia 2005, Chelsea have won the CL before Arsenal and the same can be said for Aston Villa and Forest. so when you consider the precedent and the land-mark ya Arsenal kwenye Europe comps, huwezi kuiweka in the same size na Chelsea, though for the last 13 years chelsea have won more European trophies than Arsenal and LFC.

Now, when you consider history, The trio wana history kubwa kuliko any other Clubs in England, when you consider number of trophies won, The trio wameweka gap kubwa sana na Clubs zingine za England (Utd and LFC are in the league of their own), when you consider global or Europe involvement, The trio have been there and wameset precedent for other English Clubs, when you consider ishu ya Fanbase, The trio are the most followed Clubs in England, when you consider ishu ya Value, The trio are among of the ten richest clubs in England (traditionally and modern). but mpaka sasa Club inayokuja kwa ukaribu kidogo na The trio in terms of trophies, Europe involvement, fanbase and Value ni Chelsea (for the last 13 years wameshinda more than 10 relevant trophies, wamekuwa regular Europe, wameongeza na kutanua fanbase and ni moja ya Clubs tajiri England (Modern), so kama tukisema tutengeze Top Four Clubs in England, itakuwa ni Utd, LFC, Arsenal, Chelsea.

Now, for the last 10 years Chelsea imekuwa ni "better" club than Liverpool and Arsenal, and also for the last 6-7 years Man City imekuwa ni "better" club than Liverpool, Arsenal and Utd. considering the 5 elements mentioned and explained above Chelsea and Man City are not bigger than the trio, and you can see, japokuwa these two clubs zimekuwa better than the trio for the last 10 or 6 years respectively (winning trophies almost every year and sign top class players) lakini bado zimeshindwa kufikia hata robo ya trends ambazo the trio walishaziset na bado wanaendelea kuzitengeneza.

kwa kutumia hizo 5 Elements kwenye soccer ya ulaya na duniani kwa ujumla, utakuta kuwa "The big 7" ni;

1. Madrid
2. Barcelona
3. Ac Milan
4. Manchester Utd
5. Liverpool
6. Bayern Munich
7.Juventus.
 
Alipata kiburi na mafanikio ya last season akakacha kusajili, acha yamkute. Always naamini katika kusajili kila dirisha kubwa ili kuongeza quality na suala lingine kwa mtazamo wangu strikers wa Man City (Aguero na Gabriel) ni strikers wa kawaida (sio cream natural) , huwezi kutishia club kubwa duniani eti nina Aguero/Jesus. Kuna Club zina strikers sio wa kubahatisha; Man Utd wana Rashford Bayern wana Lewandowski, Barca wana Suarez, PSG wana Cavani, Tottenham wana Kane, Atletico wana Diego Costa n.k
Ni vizuri umeanza kusema "kwa mtazamo wangu".mana uniambie KUN AGUERO ni striker wa kawaida? Alaf hujaishia apo umeendelea kusema akina man u wana watu kma rashford,ina maana RASHFORD is better than AGUERO?
Bro ulivyosema "kwa mtazamo wangu" umemaliza kesi kubwa sana
 
Hahah comment yako imenisaidia sana nami nisipandwe jazba.
 
RIVALRY,

in football kuna rivalry za aina mbili, kuna historical rivalry na "trend' rivalry.

kwenye historical rivalry kunakuwa kuna more than rivalry, ni rivalry ambayo inahusisha vizazi na vizazi na chuki ambazo huweza kupelekea vifo vya mara kwa mara, hapa ndiyo kuna kile kitu kinaitwa arch-rivalry, inakuwa haijalishi clubs zinazokutana zinakuwa kwenye hali gani, haijalishi clubs zinapokutana moja itakuwa championship league na nyingine kwenye league kuu, nguvu ya upinzani inabaki the same,

in England kuna;

1.Liverpool Vs Man utd (hii ndiyo game inayotazamwa zaidi duniani, hii ndiyo game kubwa kwa ngazi ya clubs duniani, people will tell you ni El-Classico, lakini ukweli ni kwamba North-west derby ni game kubwa zaidi duniani, hii ndiyo game inayofunga mahesabu ya FA pale England, ni game ambayo broadcasting channels huwa wanaisubiria kwa hamu kuanzia Skysports, Bt, Espn, Nbs, Bein Sport, Supersport etc, El-classico gained momentum because ya Messi vs Ronaldo (two most decorated players of this generation), but LFC vs Utd imekuwa the same tangu mwanzo)

2. Liverpool vs Everton
3. Utd vs Leeds
4. Arsenal Vs Utd
5. Arsenal Vs Spurs
6. Newcastle vs Sunderland

Trend rivalry, ni ule upinzani unaoibuka kulingana na ubora wa teams zinazowania the same trophies, mfano for the last 5 years, Spurs wamekuwa ni wapinzani wa LFC, utd, Chelsea kwasababu ya kuwania top four. mfano mwingine ni kuwa, Chelsea na LFC wana "Trend rivalry" kwasasa, same can be said kwa Chelsea na Utd, City, Spurs and Arsenal. because hizi top 6 zote zinawania top four au ubingwa wa league.

Liverpool vs Chelsea ni "big" match kutokana na ubora wa clubs, wachezaji, managers na ukubwa wa kile wanachowania. same can be said kwa Liverpool vs Man City, Liverpool vs Spurs, Liverpool Vs Arsenal, kunakuwa hakuna historical rivalry between these clubs but trends, ubora wa wachezaji, managers, fanbabes etc zinafanya hizi matches kuwa classed kama big matches. before 2000's games kama Liverpool vs Chelsea/City/Spurs zilikuwa ni za kawaida kutokana na hizi teams kutokuwa na mahitaji niliyotaja hapo juu, but kwa sasa ni games kubwa kulingana na trend na jinsi hizi teams zilivyojipambanua kiuchezaji, managers na fanbase.
 
KUMRADHI SADIO MANE
EGYPT OFFICIAL LIVERPOOL SUPPOTERS
WAOMBA RADHI KWA SADIO MANE NA
MASHABIKI WA LIVERPOOL POPOTE PALE
WALIPO.
>>Walishambulia Vibaya na kwa Hasira Kuu
Ukurasa wake Sadio Mane wa Mtandaoni,Mara
baada tu ya mchezo dhidi ya Spurs.
>>Wamwambia Sadio Mane watamsapoti daima
na watafanya hivyo kwa kila Nyota wa Liverpool.
>>Jukumu na Wajibu wetu ni kumsapoti kila
Mchezaji wa LIVERPOOL,wasema hivyo.
©Mwanazuoni.
KUNDI RASMI la Mashabiki wa LIVERPOOL la
MISRI limemtaka RADHI Sadio Mane kwa Kitendo
cha kumshambulia online kwenye Ukurasa wake
wa Mtandao wa Kijamii Mara tu baada ya
Mchezo dhidi ya Tottenham Hotspurs kumalizika.
Goli mbili zilizofungwa toka kwa Gini Wijnadum
na Roberto Firmino aka Bobby ziliwapa Ushindi
wa 1-2 dhidi ya Spurs kunako Dimba la
Wembley,lakini mbali na USHINDI huo Mashabiki
kadhaa hawakuridhika na Kitendo cha Mane
kutompasia Mo Salah ambae waliona alikua
sehemu sahihi zaidi ya kufunga kuliko Keita
aliepewa pasi ile.
Mane baada ya Ushindi huo na mchezo
kumalizika ali post Picha akisherehekea ktk
Ukurasa wake wa Kijamii wa Instagram na
kukutana na maneno machafu na yenye kuudhi
na kupelekea kufuta Ujumbe ule kuepuka Lugha
chafu zaidi zilizokua zikimiminika kwake.
KUNDI RASMI hili la Mashabiki wa LIVERPOOL la
MISRI limemtaka RADHI Sadio Mane kupitia
Ukurasa wao wa Mtandao wa Kijamii wa
Facebook na kusema pia litafanya hivyo kwenye
Ukurasa wake Sadio Mane kufikisha ujumbe wao
wa kumtaka radhi kwa kitendo kile kilichotokea
siku kadhaa zilizopita.
"HAKI YA KUKOSOA KILA MCHEZAJI IPO LKN
INA MIPAKA YAKE,NA SIO MATUSI NA LUGHA
MBAYA ZAIDI HAIKUBALIKI"
KUNDI hilo liliendelea kusema kua...
"TUTABAKIA NA JUKUMU LETU NA WAJIBU
WETU WA KUMSAPOTI KILA MCHEZAJI WA
LIVERPOOL DAIMA"
Safi sana Mashabiki wenzetu wa huko MISRI kwa
kuliona hilo,kwani yameshapita na tunasonga
kuangalia nani anakuja tupambane nae,tuwape
ushirikiano mzr Vijana wetu nao wazidi kutupa
RAHA TU SASA.
 
Man, told you about Rabiot.

he's a talented footballer (no doubt), but hana mentality ya kuchezea Club yenye pressure kubwa kama LFC.

jamaa got bullied and bossed by Jordan Henderson
 
Umechambua vizuri sana mie ni mnazi Wa liver kwa trend ya sasa siwezi nikasema eti gemu ya liver na Chelsea sio big match au liver na totnham ni gemu ya kawaida hapana kwa kweli!
 
Kijana tukianza na huyo Aguero cha kwanza katika weakness zake ni kwamba sio pacy ambayo ndio huwa foremost quality ya natural center forward cha pili Aguero anapoza sana mashambulizi kama unafuatilia cha tatu jamaa hana uwezo mkubwa wa kumiliki mpira .

Tukija kwa Gabriel huyo dogo uzuri wake wa kwanza ni kuwa huwa hapoozi mashambulizi kama Aguero lakini weakness zake nae hana pacy nature ambayo tunaitegemea kutoka kwa natural centre forwards vile vile nae hana uwezo mkubwa wa kumiliki mpira.

Tuje kwa dogo Rashford ambae namuona kama Centre forward aliekamilika, cha kwanza dogo ni Pacy, ana uwezo mkubwa wa kumiliki mpira na mwili anao mzuri kwa position ya CF (mrefu halafu ana nguvu) huyu ndie complete striker labda haonekani kwa sababu striker anaependwa na Mou ni Lukaku
Mkuu aguero yupi unaetuambia? Hahaha acha utani hata harry kane kwa aguero hapenyi
 
Mkuu Mimi msimu ujao narudi kwa nguvu zote uko uefa. Namchukua kwanza Uyu dgo Europa halafu the next atakuwa ni kaka yake uefa.

Kwani wewe una mpango wa kuchukua uefa msimu huu?
ndio, tena itakuwa mara ya sita kuchukua
 
KUMRADHI SADIO MANE
EGYPT OFFICIAL LIVERPOOL SUPPOTERS
WAOMBA RADHI KWA SADIO MANE NA
MASHABIKI WA LIVERPOOL POPOTE PALE
WALIPO.
>>Walishambulia Vibaya na kwa Hasira Kuu
Ukurasa wake Sadio Mane wa Mtandaoni,Mara
baada tu ya mchezo dhidi ya Spurs.
>>Wamwambia Sadio Mane watamsapoti daima
na watafanya hivyo kwa kila Nyota wa Liverpool.
>>Jukumu na Wajibu wetu ni kumsapoti kila
Mchezaji wa LIVERPOOL,wasema hivyo.
©Mwanazuoni.
KUNDI RASMI la Mashabiki wa LIVERPOOL la
MISRI limemtaka RADHI Sadio Mane kwa Kitendo
cha kumshambulia online kwenye Ukurasa wake
wa Mtandao wa Kijamii Mara tu baada ya
Mchezo dhidi ya Tottenham Hotspurs kumalizika.
Goli mbili zilizofungwa toka kwa Gini Wijnadum
na Roberto Firmino aka Bobby ziliwapa Ushindi
wa 1-2 dhidi ya Spurs kunako Dimba la
Wembley,lakini mbali na USHINDI huo Mashabiki
kadhaa hawakuridhika na Kitendo cha Mane
kutompasia Mo Salah ambae waliona alikua
sehemu sahihi zaidi ya kufunga kuliko Keita
aliepewa pasi ile.
Mane baada ya Ushindi huo na mchezo
kumalizika ali post Picha akisherehekea ktk
Ukurasa wake wa Kijamii wa Instagram na
kukutana na maneno machafu na yenye kuudhi
na kupelekea kufuta Ujumbe ule kuepuka Lugha
chafu zaidi zilizokua zikimiminika kwake.
KUNDI RASMI hili la Mashabiki wa LIVERPOOL la
MISRI limemtaka RADHI Sadio Mane kupitia
Ukurasa wao wa Mtandao wa Kijamii wa
Facebook na kusema pia litafanya hivyo kwenye
Ukurasa wake Sadio Mane kufikisha ujumbe wao
wa kumtaka radhi kwa kitendo kile kilichotokea
siku kadhaa zilizopita.
"HAKI YA KUKOSOA KILA MCHEZAJI IPO LKN
INA MIPAKA YAKE,NA SIO MATUSI NA LUGHA
MBAYA ZAIDI HAIKUBALIKI"
KUNDI hilo liliendelea kusema kua...
"TUTABAKIA NA JUKUMU LETU NA WAJIBU
WETU WA KUMSAPOTI KILA MCHEZAJI WA
LIVERPOOL DAIMA"
Safi sana Mashabiki wenzetu wa huko MISRI kwa
kuliona hilo,kwani yameshapita na tunasonga
kuangalia nani anakuja tupambane nae,tuwape
ushirikiano mzr Vijana wetu nao wazidi kutupa
RAHA TU SASA.

hao "mafamba" wa Misri, hawaishabikii LFC, bali wanamshabikia Salah, they LFC ina mchezaji mmoja tu, na ni Salah pekee ndiye anayetakiwa kufunga.

matter of fact, ukiwatoa Robertson na VVD at the back, ni Firmino, Salah and Mane ndiyo wanaofuatia kwa kupasiana mipira mingi.

and siyo tu hao wamisri but LFC fans wengi wali-react vibaya na ile ishu ya Mane, but again hakuna fanbase duniani yenye reactionaly fans kama LFC, huwa wana-react kwa vitu vidogo na kutunga stories nyingi sana.

nilisoma sehemu kuwa, Klopp ali-mind baada ya Mane kutompasia Salah, but kama umekuwa ukimfatilia Klopp kwenye touch-line, huwa hapendi Mane acheze pass ya mwisho, kwasababu dunia nzima ya wafuatiliaji wa mpira wanajua kuwa Mane's main weakness ni final decision kwenye box ya opponent, na ndiyo maana Klopp huwa anashout from the touch line "SHOOT" Mane anapokuwa na mpira kwenye opponent box, 90% ya pass za mwisho za Mane huwa zinapotea, kwasababu huwa anashindwa kufanya maamuzi ya haraka kwenye box, (vitu vidogo kama hivi ndiyo vinavyowatofautisha kina Messi na wachezaji wengine duniani), Klopp anataka Mane akiwa kwenye opponent box na akiwa yupo under pressure apige golini kuliko kutoa pass ya mwisho, and its funny because watu hawajiulizi kwanini Mane's stats za assisits ndani ya opponent box ni mbovu?

Mane alikosea mahesabu ya pass ya mwisho na ni kosa la kimchezo kwa kila attacker.
 
Too early for VVD, I think.

Man, the fact that this dude amekuja na kwa kipindi kifupi mno amefanikiwa kusolve na kushape our backline iliyokuwa mbovu sana, shows ni jinsi gani alivyokuwa complete.

Alimfanya the most useless CB (Lovren) to ever played for LFC kuwa "Decent CB" and now he's turning a young CB into world bitter.

nothing more can be said man.

will be tough to over-take Hansen, but am sure he'll overtake Hyppia.

Hyppia mentored JC, Agger and Skrtel, and at 26 VVD is mentoring a 29 year old Lovren, Matip and Gomez.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom