ipogolo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2011
- 6,280
- 5,989
Unauliza mkia wa ngombe wakati unaonekana.Bustan ya Eden( Eden hazard)Leo mnajitabiriaje vijogoo
Unauliza mkia wa ngombe wakati unaonekana.Bustan ya Eden( Eden hazard)Leo mnajitabiriaje vijogoo
Liverpool siku zote huanza vizuri
Shida ya Liverpool ni kumalizia league
Kiufupi wanakula Ng'ombe mzima lakini mkia hawamalizi
[emoji3] [emoji3] [emoji3] sio ushirikina ndio Liverpool hiyo mkuuTafuta kazi nyingine ya kufanya, ushirikina haukufai waachie wengine...
Unatumia app or link gani mkuu?Yani Ninaangalia Kwa Kustream Bein Sport hapa Basi Muarabu Akikutangazia Goli Ni Burudani Zaidi Ya Kuangalia Mpira wenyewe 😀😀😀
Kafurahi kinomaSalaaaa
Unatumia app or link gani mkuu?
Huna kazi??Nakumbuka boko la captain fantastic Steven Gerald kwa demba BAA [emoji3]