Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Alipata kiburi na mafanikio ya last season akakacha kusajili, acha yamkute. Always naamini katika kusajili kila dirisha kubwa ili kuongeza quality na suala lingine kwa mtazamo wangu strikers wa Man City (Aguero na Gabriel) ni strikers wa kawaida (sio cream natural) , huwezi kutishia club kubwa duniani eti nina Aguero/Jesus. Kuna Club zina strikers sio wa kubahatisha; Man Utd wana Rashford Bayern wana Lewandowski, Barca wana Suarez, PSG wana Cavani, Tottenham wana Kane, Atletico wana Diego Costa n.k
Nilitaka kuzungumzia hii point, na ndo maana KDB anakuwa muhimu sana kwenye hii timu kwa sababu he makes them look best strikers kwa mipira anayopenyeza kutokea katikati.
Otherwise mipira ya pembeni kwa Sane na Mahrez inakuwa ya kubahatisha.
Anahitaji a very clinical finisher (world class).