FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Kikubwa wahakikishe anapata pasi kama za goli la 2 na la 3 kwenye game zote, plus ufundi alionao. Kama angelikuwa anapata "penetration passes" kama anazowapigia yeye, hakika kila msimu angekuwa anapiga goli 50+. Msimu huu naona atafikisha...

Some times anakuwa na nafasi nzuri sana ila hawampi pasi...Huwa wananikera sana..sijui chuki hizo...binafsi sijaona players kama Xavi,iniesta,pedro,jordi and bosquet hawa jamaa walikuwa wanampa sana passes...
 
Kwa maoni yangu hatuna gear zaidi ya pale. Nina wasiwasi sana na hii timu. Imepunguza uwezo wa kukaa na mpira na maadui wanafika sana golini kwetu kwenye counter.
Mkuu naungana na wewe Barcelona imekuwa vulnerable sana kupitia counter attack na hii itatugharimu huko mbeleni hasa kwenye UEFA, ukiangalia vzuri utaona kana kwamba tunachezesha mabeki wawili tu na viungo watano.
 
.
IMG_20180919_171603_974.jpeg
 
Barca pale mbele wanaingiliana sana hence mpira unapotea-kuna haja ya ku sort positioning,kuna cut backs nyingi zinapotea
Huu ni ukweli, barca itakayo tisha pale mbele ni ya Dembele, Messi na Cotinho
Kwa sasa Dembele na Coutinho wanacheza position ambazo sio zao
 
Magazeti ya Spain yanasema Barca kashinda match bila hata ya kutoka first gear-punde akipandisha gear inaweza kuwa hatari sana kwa opponents
Vilevile yanamsikitia Neymar kwamba at PSG ame derail kipaji chake bure
Kwa kweli Neymar anatilia huruma. Barca was everything for him
 
Sometimes timu nazo zinabeba sana. Jana nilikuwa nakaona kanafuata mpira hadi katikati. Barca kalikuwa kanatulia Jordi na Iniesta wanakapa mpira kanatoka nao mbio.
Nikatamu sana hasa kwa kaunta utakata ubaya, kakipita bega tu andika maumivu...
 
#BARÇAPSV
Fourth goal against PSV was classic Barça
WWW.FCBARCELONA.COM - 19/09/2018 | 13:30
Ten players were involved in under one minute, with Messi finishing to put the nail in the coffin
This is how it all went down.
This is how it all went down. | FCB
There is no "I" in team. Nor is there an "I" in Barça. Coincidence? We think not.
Ten players combined in the buildup to Barça's fourth and final goal of Tuesday night's triumph over visiting PSV Eindhoven at Camp Nou, with Leo Messi putting on the finishing touches.
Jordi Alba got it started. The others involved were Sergio Busquets, Luis Suárez — a key at the beginning and end of the play — Sergi Roberto, Arturo Vidal, Gerard Piqué, Clement Lenglet, Marc-André ter Stegen, Arthur Melo, and Leo Messi.
See the video, which is a shining example of the Barça style of play paying dividends on Europe's biggest stage.


Kweli ni goli tamu sana asee..
https://www.fcbarcelona.com/footba...ampaign=6a08c4c3-c0f2-428f-873c-5195a44e47a2
 
wiki hii kwenye UCL barcelona ndiyo timu imepata ushindi mnono zaidi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom