Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ego Trip?
IMG_20180917_143658_555.jpg
 
Kwani ili timu ishinde ni lazima ushirikiano wa timu uwepo ,na ni lazima wachezaji wapeanae mpira ili wafunge.....uchoyo wa pass kumpasia mtu aliyekua katika nafasi nzuri ili wafunge na washinde ila sio kwa tafsiri yako hii uliondika

Sijakuelewa Mantiki ya Hii post Yako Ni nini.
 
Same as 65years old Tobacco Smoking Coach Ambaye Hajawahi Kushinda Chochote Kwenye his entire career ya ukocha wake.
Leo hii mna mdhihaki Sarri kuwa hajawahi kushinda chochote ktk career yako. Subirini muone mwisho wa msimu sijui sura zenu mtaziwekea wapi endapo atashinda na kunyanyua kwapa may 2019
 
Unataja May mbali hivyo, January tu mtakuwa mmeshapoteana.
 
Leo hii mna mdhihaki Sarri kuwa hajawahi kushinda chochote ktk career yako. Subirini muone mwisho wa msimu sijui sura zenu mtaziwekea wapi endapo atashinda na kunyanyua kwapa may 2019

Labda Anyanyue Kwapa Kwa Kupachua Sigara Kutoka Juu ya Shelf.
 
How many trophies have Tottenham & Liverpool won under Poch & Klopp?
huwa sipendi kujihusisha kwenye hizi trivial debates lakini nikukumbushe kuwa Fergie alianza kufundisha Man U 1986.
trophy yake ya kwanza ilikuwa ni FA Cup miaka 4 baadae.
the rest is history!

fast forward 2015 enter Klopp. mwezi ujao ndiyo kwanza anafikisha miaka 3.
don't go away!
 
Liverpool Echo ni wakuda, kuelekea game ya Tottenham kulikuwa na proposals za Henderson kuanza, kocha akawatosa, naona wamerudia the same kwa game ya kesho, eti fresh legs.
 
Henderson nathamini contribution yake kwenye kukaba ila jamaa yule sio mbunifu. Ni upuuzi mkubwa sana kumuanzisha Hendo over Fabinho
 
Toka aanze kazi ya ukocha Sarri ameshinda nini?
The answer is ZERO
Hata kombe la mbuzi hana
Labda kombe la uvutaji sigara na ugoro
Klopp ameshindwa nini kuchukua kombe lolote hata "Yale ya mbuzi" wakati aliweza kuchukua ubingwa alipokuwa Bundesliga? Nini kimemshinda kwenye EPL? Achana na Sarri ambaye hajawai kubeba kabisa.

Twende na Klopp, kwanin ameshindwa EPL wakati Bundesliga aliweza?
 
Hayo yote uloongea hayana maana ...kwakuwa Salah na Mane wote ni waafrika.
Kwa mtu anaejua mpira na amecheza mpira hio incidence haitakiwi hata kumlalamikia mane.

Mane anatumia mguu wa kulia na kwa hio position ilikua rahisi zaidi kumpa pass keita(kushoto kwake) kuliko kumpa pass salah ambayo ilibidi a turn kidgo mpira ndo atoe pass ya uhakika.

Pia kumpa pass keita kunampa options nyingi keita sababu alikua na space.angeweza kupiga kma alivyofanya na pia angeweza kuweka "V" kati mane na salah wakamalizia.

Vile vile toka move imeanza mindset ya mane ilikua nikumtafuta keita na ndo mana hata movement yake ilikua nikumtengenezea space keita ili amuekee ile pass.

Kwa hio ilo swala sidhani kma lipo serious ivo,mane hawezi kumnyima salah pass maksudi.team yoyote anayofundisha klopp inakua na bonding na chemistry nzuri kwa wachezaji.zile mid season camp za marabella huwa zinatengenezwa kwa dhumuni la ku bond wachezaji na kma ni mfatiliaji mzuri trent alishawahi kuhojiwa akasema huwa wanapangiwa mtu wa kulala nao.utakuta lovren hawezi pangiwa na bestie ake salah. Salah atapangiwa na mtu mwengine chumba kimoja ili wapate ku bond. Na wakiwa camp huwa wanaenda tizi na baiskeli sio kma hawa afford magari bali ni kujenga bond tu ya team.
 
Anachukua mwaka huu
 
Henderson nathamini contribution yake kwenye kukaba ila jamaa yule sio mbunifu. Ni upuuzi mkubwa sana kumuanzisha Hendo over Fabinho

Mkuu Unajua Kwanini Tumeconcede Magoli 2 tu Mpaka Sasahivi?
Moja Ya Sababu Ni Kuwa Tumepigiwa Shuti Chache On Target jambo ambalo maranyingi Alisaon Anarelax na Kucheza Zile Back passes anazorudishiwa.

Na Moja Sababu ya Sababu Ya Kuface On Target Shots chache Si Ubora Wa Beki tu Bali Kuna Kazi Kubwa anayoifanya Gini na Milner.

Sasa Mchezaji Kama Hendo Ndiye Aliyekuwa Chanzo Cha sisi Kupigiwa On Target Nyingi Na Kuconcede Magoli Mengi Kutokana na Yeye Kutokuwa na Uwezo Wa Kulinda Hata Kidogo Bali Alikuwa Akitukaribishia Mashambulizi Kwa Kwa Kucheza Miback passes yasio na Sababu.
 
Nazani pia leo PSG wanaweza kuwa kipimo kizuri kwa timu yenu hasa safu ya ulinzi
 
Wakuu vp loveren karudi au maana mashaka yangu ni injury tu kwa beki wa kati kati ya vvd na gome
 
Kona ya Anfield

Tuchel na Cakir ndio wanaoijua Anfield, siyo Neymar

Bill Shankly 1892

USIKU! Yes Usiku wa Alhamisi ya April 14, 2016 ndio usiku pekee wa kusisimua kuwahi kutokea katika dimba letu la Anfield. Usiku uliokuwa na jasho, damu na machozi. Usiku wa vita.

Usiku ambao Borrusia Dortmund yake Thomas Tuchel ilikutana na maajabu ambayo AC Milan na West Ham kwa nyakati tofauti iliwahi kukutana nayo mbele ya Liverpool kwenye viwanja tofauti.

Ni usiku ambao mwamuzi Cuneyt Cakir kutoka Ugiriki alipuliza kipyenga cha mwisho huku Dunia ikishuhudia Liverpool ikiibuka na ushindi wa magoli 4-3.

Hujanielewa bado: Huu ulikua ni mchezo wa second leg hatua ya robo fainali kati ya Liverpool na Dortmund. Mchezo wa awali ulimalizika kule Ujerumani kwa sare ya bao 1-1.

Unabakia kuwa usiku wa maajabu kwa namna ambavyo Liverpool ilitoka nyuma na kuibuka na ushindi.

Tayari kikosi cha Tuchel kilishatanguliza mguu mmoja nusu fainali lakini goli la dakika ya 90+1 kutoka kwa beki Dejan Lovren likashuhudia vijana wa Jurgen Klopp wakipindua matokeo.

Wakati huu ambao unajaribu kunielewa nikueleze kwamba kesho Tuchel anarejea tena pale Anfield. Safari hii anakuja na PSG katika mchezo wa kwanza hatua ya makundi.

Tuchel anaielewa atmosphere ya Anfield anajua namna ambavyo yeye na wanae wa BVB walikutana na wakati mgumu kutoka kwa mashabiki, watu wa Liverpool na wachezaji wake ndani ya uwanja.

Ubora wa Liverpool huanzia nje ya uwanja ilipo mitaa ya 11th Street Pub hadi St Elsie..huwa hatupoi..tunakinukisha ile kinoma na Tuchel anajua hilo.

Sasa punde tu baada ya makundi kupangwa staa wa PSG, bwa'dogo Neymar alikaririwa akiitupa nje ya mbio za ubingwa wa EPL, Liverpool. Kwamba anatuchukulia poa.

Hapa ndipo hasira zetu dhidi ya PSG zilipozidi na kwa sababu huyu mtoto hajawahi kutua Anfield nafikiri ni vema angemuuliza Tuchel nini alichokutana nacho.

Mtu pekee tofauti na Tuchel ambaye anaweza kumueleza Neymar ugumu wa kucheza na sisi kwenye uwanja wetu wa nyumbani hasa linapokuja suala la usiku wa Ulaya basi ni Cakir.

Huyu ndie refa ambaye pia kesho atachezesha pambano letu na PSG, anajua watu wa Anfield walivyo, anaijua roho ya kipiganaji tuliyonayo. Pengine anawaonea huruma PSG kimoyo-moyo.

Kinachofurahisha ni kwamba PSG wamekuwa na rekodi mbaya pindi wanapokutana na refa huyu ambapo hawajashinda kwenye mechi mbili ambazo Cakir alisimama katikati.

Sisi tuna bahati nae, tuliichapa Dortmud ya Tuchel yeye akiwa katikati ya uwanja hivyo hatuna shaka na nyota yake kwetu.

Niwasihi mabeki wa PSG wakiongozwa na babu Thiago wawe makini spidi waliyonayo wale wakorea weusi wetu kule mbele si ya kitoto.

Wasidhani tutaleta utani hata kidogo, Bobby Firmino imethibitishwa kuwa atacheza na jicho moja baada ya kuumizwa na Vertogen juzi Jumamosi.

Hatuna shaka na hilo msimu uliopita alipiga magoli manne bila kuangalia goli 'no look' nini game moja na PSG? Waleteni hao matozi bwana!.

Eddie Cavan na Mbappe wanapaswa kutambua uwepo wa Le Commandment Field Marshall, Virgil Van Djik kule nyuma. wakumbuke wanacheza na beki ghali duniani.

Neymar huyu hatoamini jinsi ambavyo Trent Anord atamficha ndani ya viatu vyake vya Armour Magnetico..nawahakikishieni alichokutana nacho Gaucho kwa Arbeloa miaka 10 nyuma ndicho huyu tozi atakutana nacho.

Tukutane Anfield saa hizi hapo 21:45 InShaaAllah
 
Walete baba walete

Hao wamefika

Ooh naby keita anapiga pasi kwa milner milner anamuangalia salah kwa pembeni salah salah salah anamtoka tiago salah anapiga pasi ya mwisho kwa mane mane mane mane mane mane mane goooooooo mane anaiandikia liverpool gol la 4 ndan ya anfield

Kwako king ngwamba,malafyale,
 
Meneja Klopp kasema anafurahia strikers wake wanapokuwa greedy wakiwa mbele ya goli la adui na kunyimana nafasi kila mtu anataka kufunga,kasema ni jambo la kawaida kwenye soka!
Nadhani kaisha wapiga mkwara chemba huku kwa media anaonyesha kama ipo OK hamna shida!

IMG_5519.JPG
upo sawa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom