Gwamahala Jr
JF-Expert Member
- Aug 26, 2018
- 464
- 780
Na kama ulimtazama Klopp baada ya lile tukio Camera ilimuonesha yeye mwenyewe alihamaki kilichotokea pale.
Injury ya Firmino imeonekana siyo serious sana, possibly J4 atacheza against PSG!
Na kama ulimtazama Klopp baada ya lile tukio Camera ilimuonesha yeye mwenyewe alihamaki kilichotokea pale.
Baada ya kumalizana na westham itakuwa ni zamu yako kijogooSalah na Mane HAWAPO ktk good term!
Mane nae anataka awe mfungaji bora
Klopp akae nao hawa wamalize tofauti zao
Kama wangeshirikiana jana 4-1 kiurahisi kabisa
Nakungoja nikutafune hapo hapo darajaniBaada ya kumalizana na westham itakuwa ni zamu yako kijogoo
yes! ...ali mind sana kwa mane kutokutoa pass mapemaNa kama ulimtazama Klopp baada ya lile tukio Camera ilimuonesha yeye mwenyewe alihamaki kilichotokea pale.
yes! ...ali mind sana kwa mane kutokutoa pass mapema
litaisha tu hili tatizo lao wawiliMweusi na Mwarabu akili moja.
litaisha tu hili tatizo lao wawili
Kuwa specific kijana. Unazungumzia ubingwa gani na msimu gani.? Maana tumeshakua mabingwa kwenye makombe mengi na misimu tofauti the same as you.Hahaha, sawa mkuu.
Mmeshachukua ubingwa tayari.
Basi kati ya hayo ya sigara au ugoro kuna moja anashinda.Anashinda uvutaji wa sigara? Ama ugoro?
Kocha gani huyo hata kombe la mbuzi hana
Kuwa specific kijana. Unazungumzia ubingwa gani na msimu gani.? Maana tumeshakua mabingwa kwenye makombe mengi na misimu tofauti the same as you.
Baada ya kumalizana na westham itakuwa ni zamu yako kijogoo
kama Mane akijiona yeye ni zaidi ya wengine ataodoka tu kama walivyoodoka Torrres, Surez, Coutino n.kHudhani kama Mane anaona wivu kwa jinsi Salah anavyokuwa praised?
Wakati sehemu kubwa yeye ndo injini kuu pale mbele?
Unakumbuka last year game tulitoka 1 - 1 na Chelsea Mane aliingia dakika ya 89? Na kuna mechi alikaa benchi mazima?
Mpaka sasa sina uhakika kama bifu lake na Klopp liliisha kabisa au Mane bado kaliweka ndo maana hata kagoma kusign.
kama uliangalia mechi vizuri baada ya Keita kukosa kufunga Klopp aliwaka balaa yaaani hakuelewa kwa nini muda ule aidha Mane apige mwenyewe au ampe Mo, naamini hii wataifanyie kazi lazima nafasi kama hizi magoli yapatikane, na pale Totenham wangefungwo ilkua wamekwisha...Mkuu Hayo unayozungumzia Wewe Ni Mawazo tu Ambayo Watu Wameyaibua Kumlinda Mane Lakini Ukweli Ni Kwamba Mane Pia Anapigia Mguu Wa Kushoto na Analenga Vizuri..
Hapo Ni Wazi Kuwa Alipitisha Uzembe Kwani Hata Salah Alikuwa Na Options Nyingi Kuliko Keita na Alikuwa Yuko Katika Position Nzuri Ya Kufunga Kuliko Keita ukiangalia Kuwa Keita Alikuwa Pembeni sana na Kipa Ameshalipunguza Goli.
Mkuu kwa hapa lazima atajirekebishaDah! Washabiki Wa Liverpool Kumbe Wanahasira Kweli!!!!
Kilichomkuta Mane Baada ya Kupost Instagram ilimbidi Haraka aifute Post Yake.
View attachment 868353View attachment 868354