Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Toka aanze kazi ya ukocha Sarri ameshinda nini?
The answer is ZERO
Hata kombe la mbuzi hana
Labda kombe la uvutaji sigara na ugoro
Usipanic bro. Relax. Anza kujibu swali langu kwanza.

Sarri hajawahi kushinda kombe lolote ila msimu huu anashinda. Naongeza tena swali. Huyo Klopp bado hajamaliza kazi ya ujenzi wa timu. Tunataka makombe sisi.
 
Leo Mashabiki Wa Liverpool Discussion Yao Kwenye Mitandao Ni Hii tu:

"The Mane-Salah rivalry if not properly addressed will cost LFC one day"

View attachment 867314

Wanasema Hapo Niwazi Kuwa Mane Hakumpa Salah Mpira Kwa Makusudi na Wala Si Bahati Mbaya.
Badala Yake Kampa Mpira Keita Aliyekwisha Kuelekewa na Mabeki Wawili Mbele Yake.
Kwa mtu anaejua mpira na amecheza mpira hio incidence haitakiwi hata kumlalamikia mane.

Mane anatumia mguu wa kulia na kwa hio position ilikua rahisi zaidi kumpa pass keita(kushoto kwake) kuliko kumpa pass salah ambayo ilibidi a turn kidgo mpira ndo atoe pass ya uhakika.

Pia kumpa pass keita kunampa options nyingi keita sababu alikua na space.angeweza kupiga kma alivyofanya na pia angeweza kuweka "V" kati mane na salah wakamalizia.

Vile vile toka move imeanza mindset ya mane ilikua nikumtafuta keita na ndo mana hata movement yake ilikua nikumtengenezea space keita ili amuekee ile pass.

Kwa hio ilo swala sidhani kma lipo serious ivo,mane hawezi kumnyima salah pass maksudi.team yoyote anayofundisha klopp inakua na bonding na chemistry nzuri kwa wachezaji.zile mid season camp za marabella huwa zinatengenezwa kwa dhumuni la ku bond wachezaji na kma ni mfatiliaji mzuri trent alishawahi kuhojiwa akasema huwa wanapangiwa mtu wa kulala nao.utakuta lovren hawezi pangiwa na bestie ake salah. Salah atapangiwa na mtu mwengine chumba kimoja ili wapate ku bond. Na wakiwa camp huwa wanaenda tizi na baiskeli sio kma hawa afford magari bali ni kujenga bond tu ya team.
 
Mkuu Hayo unayozungumzia Wewe Ni Mawazo tu Ambayo Watu Wameyaibua Kumlinda Mane Lakini Ukweli Ni Kwamba Mane Pia Anapigia Mguu Wa Kushoto na Analenga Vizuri..
Hapo Ni Wazi Kuwa Alipitisha Uzembe Kwani Hata Salah Alikuwa Na Options Nyingi Kuliko Keita na Alikuwa Yuko Katika Position Nzuri Ya Kufunga Kuliko Keita ukiangalia Kuwa Keita Alikuwa Pembeni sana na Kipa Ameshalipunguza Goli.
 
Usipanic bro. Relax. Anza kujibu swali langu kwanza.

Sarri hajawahi kushinda kombe lolote ila msimu huu anashinda. Naongeza tena swali. Huyo Klopp bado hajamaliza kazi ya ujenzi wa timu. Tunataka makombe sisi.

Jibu swali langu kwanza
Usikimbie ukweli
I’ve never panicked in my life
We hired Jurgen based on his proven record of winning 2 Bundesleague titles.
Sarri ameshinda kikombe gani kama sio kuvuta ugoro?
 
Usipanic bro. Relax. Anza kujibu swali langu kwanza.

Sarri hajawahi kushinda kombe lolote ila msimu huu anashinda. Naongeza tena swali. Huyo Klopp bado hajamaliza kazi ya ujenzi wa timu. Tunataka makombe sisi.

Anashinda uvutaji wa sigara? Ama ugoro?
Kocha gani huyo hata kombe la mbuzi hana
 
Kwa mtu anaejua mpira na amecheza mpira hio incidence haitakiwi hata kumlalamikia mane.

Mane anatumia mguu wa kulia na kwa hio position ilikua rahisi zaidi kumpa pass keita(kushoto kwake) kuliko kumpa pass salah ambayo ilibidi a turn kidgo mpira ndo atoe pass ya uhakika.

Pia kumpa pass keita kunampa options nyingi keita sababu alikua na space.angeweza kupiga kma alivyofanya na pia angeweza kuweka "V" kati mane na salah wakamalizia.

Vile vile toka move imeanza mindset ya mane ilikua nikumtafuta keita na ndo mana hata movement yake ilikua nikumtengenezea space keita ili amuekee ile pass.

Kwa hio ilo swala sidhani kma lipo serious ivo,mane hawezi kumnyima salah pass maksudi.team yoyote anayofundisha klopp inakua na bonding na chemistry nzuri kwa wachezaji.zile mid season camp za marabella huwa zinatengenezwa kwa dhumuni la ku bond wachezaji na kma ni mfatiliaji mzuri trent alishawahi kuhojiwa akasema huwa wanapangiwa mtu wa kulala nao.utakuta lovren hawezi pangiwa na bestie ake salah. Salah atapangiwa na mtu mwengine chumba kimoja ili wapate ku bond. Na wakiwa camp huwa wanaenda tizi na baiskeli sio kma hawa afford magari bali ni kujenga bond tu ya team.
Kama anaweza kufunga magoli kwa mguu wa kushoto katika mazingira magumu, kwa nini ashindwe kutoa pasi kwa mguu wa kushoto?
Hii sio mara ya kwanza hawa jamaa kunyimana pasi.
Inawezekana Sallah alimtambia Manne kwa ufungaji bora last season.
Manne anamuoneshea.
Last season haikuwa hivi.
 
Miafrica ndio tulivyo
 
Naamin mane na salah watarud kwenye hali yao nzur hlf vp kuhucu firminho juma 4 tutakua nae ama vp?
 
klopp aliona ile situation ya jana, ataifanyia kazi, firminho atakuwepo ile sio injury kubwa
 
Na kama ulimtazama Klopp baada ya lile tukio Camera ilimuonesha yeye mwenyewe alihamaki kilichotokea pale.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom