Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Being Honest tukianzia mbali kabisa huu uchoyo ni Salah ndie kauanza dhidi ya Mane hii ilikuwa msimu uliopita. Mane akaretaliate, tukija kwa Gini ni kuwa huyu jamaa ni mchoyo siku zote na Milner nae kwenye mechi za ligi msimu uliopita alionyesha uchoyo sana tu kwa Salah pia.

All in All jamani lau Mane angekuwa ni mtu wa kufanya maamuzi sahihi often na haraka basi hamna wa kumzidi kwa Assist, I even dare to say in Europe he could be next to Messi, Mane ana mbio na anao uwezo kwa kutoboa ukuta na pia ano uwezo wa kuwatengenezea wengine magoli mpaka hata anao uwezo wa kuwa na contribution kubwa pale mbele kuliko wote
 
Meneja Klopp kasema anafurahia strikers wake wanapokuwa greedy wakiwa mbele ya goli la adui na kunyimana nafasi kila mtu anataka kufunga,kasema ni jambo la kawaida kwenye soka!
Nadhani kaisha wapiga mkwara chemba huku kwa media anaonyesha kama ipo OK hamna shida!
 
Front 3 Yetu (Ukimtoa Firmino) Msimu Huu imekuja Na Style Ya Kuwa "Nani atafunga" na Si "Timu itashinda" lakini Hata Hivyo Ndiyo Yenye Magoli Mengi Kuliko Front Three Yoyote Hile Ndani Ya EPL.

Iwapo itaacha Uselfish basi itafikisha 80+ goals Kwa Msimu huu.

√ Salah - 2 Goals, 1 Assist

√ Firmino - 2 Goals, 2 Assists

√ Mane - 4 Goals, 0 Assist (0 Assist? Why? Kuna kitu hakipo sawa hapa Kwa Mane).

Jumla: 8 Goals and 3 Assists
 
Meneja Klopp kasema anafurahia strikers wake wanapokuwa greedy wakiwa mbele ya goli la adui na kunyimana nafasi kila mtu anataka kufunga,kasema ni jambo la kawaida kwenye soka!
Nadhani kaisha wapiga mkwara chemba huku kwa media anaonyesha kama ipo OK hamna shida!

Yani Juzi Pale Mane Alipobugi Kutoa Pasi Kwa Salah Klopp Alimaindi Sana...
Nilidhani Kakaa Kimya tu hajasema Chochote!!!
Lakini Kama Kaliongelea Mbona Haina Shida.
 
Yani Juzi Pale Mane Alipobuki Kutoa Pasi Kwa Salah Klopp Alimaindi Sana...
Nilidhani Kakaa Kimya tu hajasema Chochote!!!
Lakini Kama Kaliongelea Mbona Haina Shida.
Wangeshirikiana ile mechi iliisha dakika ya 60
Hata ile ya Wilj lile ni bao kabisa angetoa kwa nje
Lkn nimefurahi tumeanza kutengeneza nafasi nyingi vipindi vyote viwili
Mechi za nyuma kipindi cha pili ilikuwa tunapotea lkn juzi haikuwa hivyo
Aje PSG
 
Roberto Firmino has been directly involved more Premier League goals under Jurgen Klopp than any other Liverpool player.

√ 38 Goals

√ 23 Assists

Kwa kweli Huyu Jamaa Ni Very Unselfish player Jambo linalomfanya Apendwe na Kila Mtu...

Ni Bahati Kwetu Kuwa na Mchezaji Kama Huyu.

IMG_20180917_081954.jpg
 
View attachment 868631
Huyu ni football brain. Never selfish. Anacheza jinsi mazingira yanavyotaka. Sio lazima afunge. Na anaelewa hilo. He is good. Mane na Salah wanafanya ujinga tu. Messi mwenyewe sio selfish, nampenda sana Roberto.
 
Salah ajifunze kupiga penalties. Ndo ushauri wangu kwake namkubali lakn ni poor kwny penalty
 
Yani Kipa Aliyeconcede Magoli 114 Kwenye Kwenye 2 season anapata Ujasiri Wa Kumsema Kipa Aliyeconcede 2 goals Kwenye 5 matches.
Dunia ina maajabu Yake!

Ukiiangalia Hiyo Video Yapili Hapo Chini Utamuona Na Gini jinsi alivyofanya Ubinafsi Wa Kutotoa Mpira Kwa Wenziwe na Tukapoteza Nafasi.

Ni wazi Kuwa Wachezaji Wetu Wanacheza Kwa Ajili ya Mtu Kufunga na Hawachezi Kwa Ajili ya Timu Kushinda.

Kwani ili timu ishinde ni lazima ushirikiano wa timu uwepo ,na ni lazima wachezaji wapeanae mpira ili wafunge.....uchoyo wa pass kumpasia mtu aliyekua katika nafasi nzuri ili wafunge na washinde ila sio kwa tafsiri yako hii uliondika
 
Roberto Firmino has been directly involved more Premier League goals under Jurgen Klopp than any other Liverpool player.

√ 38 Goals

√ 23 Assists

Kwa kweli Huyu Jamaa Ni Very Unselfish player Jambo linalomfanya Apendwe na Kila Mtu...

Ni Bahati Kwetu Kuwa na Mchezaji Kama Huyu.

View attachment 868631
Ukimtoa Alex Chamberlain mwingereza mwenzangu
Huyu ndo mchezaji ninayempenda kwenye timu yenu
In short unajua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom