Penison
JF-Expert Member
- Nov 4, 2017
- 6,372
- 12,529
Sahihi kabisaIlitakiwa iwe 7-1
Sahihi kabisaIlitakiwa iwe 7-1
Kuna shida ya uchoyo pale mbele hasa kwa Salah na Mane..
kwa chances za kizembe tulizopoteza, ushindi wa leo ulipaswa uwe 1-4 au zaidi.
Kuna chance kama 3 clear kama sio u selfishness pale mbele tugefanya mauaji ya kimbali leoKuna shida ya uchoyo pale mbele hasa kwa Salah na Mane..
Ollachuga Oc Sasa utasema October is Coming ama?
5 au 4?? toa ya Man Utd hapo maana hiyo itakuwa rahisi kuliko.Klopp bado anafanya mistake anapofanya sub karibia itugharimu. Point 3 si haba tumevuka moja katika zile tough game 5.
YNWA
Mkuu huko umeshampata mama Mwajuma!!!Michezo Yetu 5 ya Mwisho dhidi ya Spurs:
√ 2 Wins
• 2 Draws
× Lose
Kwahiyo Mkuu Spurs Last Season Kutufunga 4 Walituokota tu Kutokana Na Kuwa na Shit Centre Backs ambao Walitaka Kutuaminisha Kuwa Ni Best in the World Kama Walivyojiita Kwenye World Cup.
Lakini Mara Hii Kuna Role Model Wangu Joseph Gomez ambaye Kesho atanifanya Niiangalie Game Nikiwa Nina Stick Mdomoni Baada Ya Kula Wali Kuku Kwenye Restaurant ya Mama Mwajuma.
5 au 4?? toa ya Man Utd hapo maana hiyo itakuwa rahisi kuliko.
Mkuu huko umeshampata mama Mwajuma!!!
.....
Nishaamka mkuu, kazi ya damu tushaifanya umeionaje?dingi amka usingizini kwa beki ya Spurs ukipata goli 2 umefanya kazi ya damu ,goli 4 utafunga Westham asee
Sawa mkuu,imekua sahihiHuenda leo ikawa ni sare au kipigo
Leo sioni mkipata ushindi
Anaebisha na abishe
Hatujabisha mkuu tumepata kipigo hukuHuenda leo ikawa ni sare au kipigo
Leo sioni mkipata ushindi
Anaebisha na abishe

HahahahahaOllachuga Oc Sasa utasema October is Coming ama?
ila kuna muda Fulani alitaka kutoa boko LM akaunasa mpira good enough VVD na Allison wakacover vizuri that mistake caused by Gomes otherwise the guy played well!Yani dah! Gomez Ninavyomuona Kama Hatapata injury za Mara Kwa Mara au Za muda Mrefu basi Baada ya 2 seasons hivi akishapata Much experience atakuja Kuwa World Best Centre Back...
Yani Kila tukiendelea Mbele anazidi Kuboreka..
Halafu jinsi alivyofundi Wa Kucheza Tackles yani Si Mara Nyingi Kukutia Zinakuwa Fouls...
Yani bora VVD unaweza Kumpita Kuliko Kukumbana na Gomez.
Bonge la Young Defender.