Penison
JF-Expert Member
- Nov 4, 2017
- 6,372
- 12,529
H
HahahahahahahahahahahahahahahahaHongereni kwa ushindi wakuu.
"Mko vizuri sana"
HahahahahahahahahahahahahahahahaHongereni kwa ushindi wakuu.
"Mko vizuri sana"
Ollachuga Oc Sasa utasema October is Coming ama?
ila kuna muda Fulani alitaka kutoa boko LM akaunasa mpira good enough VVD na Allison wakacover vizuri that mistake caused by Gomes otherwise the guy played well!
player ratings today on my opinion
VVD 8.5
Fimihno 8.5
Milner 7
GW 7
AB 6.5
Salah 6.5
Mane 6.5
Robertson 7
Gomes 7
TAA 6.5
Keita 7
Hongereni kwa ushindi wakuu.
"Mko vizuri sana"
Hatari sanaView attachment 867232
aaaa hatari sanaaHatari sanaView attachment 867232
Liver vs chelsea bonge la mechiHongereni kwa ushindi wakuu.
"Mko vizuri sana"
Hawa vijana wawili wamenikera sana yaani. Tumeshinda lakini walichofanya ni upuuzi kabisa.Leo Mashabiki Wa Liverpool Discussion Yao Kwenye Mitandao Ni Hii tu:
"The Mane-Salah rivalry if not properly addressed will cost LFC one day"
View attachment 867314
Wanasema Hapo Niwazi Kuwa Mane Hakumpa Salah Mpira Kwa Makusudi na Wala Si Bahati Mbaya.
Badala Yake Kampa Mpira Keita Aliyekwisha Kuelekewa na Mabeki Wawili Mbele Yake.
Kila sehemu utawakuta,hata mtaani kwetu wapoWanafiki bhana duh
Ngoja ukutane na huyo huyo spurs atakunyoroxha
Haha ushindi wenu mmecheza kitimu sana ..japo Mane ana uchoyo Fulani ivi lakini mmeonesha nia kwa mbali ya kuwania ubingwa.Naona Baada Ya Kupotea Sasa umeamua Kutoka Mafichoni.
Ilitakiwa iwe 7-1


