Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Huyu Adrien Rabiot Ni Mchezaji Mzuri Sana Tena Kuanzia January Anapatikana Bure Kabisa ingekuwa Vizuri Kama Klopp Angafanya nae Mazungumzo.

Kuna mahali niliona siku chache nyuma kwamba Klopp kashaongea na mama yake ambaye ndo wakala wake.
 
Waooh
Gomez anamuweka nje Walker huku
It is Klopp effect!

Mkuu Mbona Walker anacheza Namba 2 ambayo Leo Anacheza Trippier Kama Wing Back?
Ni Trippier Leo Ndiye alimueka Nje Walker na Sio Gomez.

Gomez Kachukua Namba Ya Cahil/Jones/Smalling ambao Muda Wao Wa Kucheza Timu Ya Taifa Umeshawaishia.
 
3-5-2 WC
Maguire > Stone > Walker
<Hendo>
Dele >Lingard > Young > Trippier
<Sterling < Kane
Young anakaa nje kwa Shaw kule Man U
Sterling kaumia
Walker yupo hapo nje,kwa mfumo wa wa 3 nyuma ni yy ndiyo kapoteza kwa Gomez
 
Hapana mkuu, Bwana King Ngwaba yupo sahihi. Katika Mifumo ambayo mabeki wanakuwa wapo watatu badala ya wanne ni kwamba hao mabeki watatu wote huwa ni centrebacks. Kyle sio centre back wakati Joe ni centreback
 
Hapana mkuu
Nipo sahihi
Ktk mfumo wa 3-5-3 Walker alicheza ktk 3 na wenzake Stones na Maguire
Leo Gomez kacheza naMaguire na Stokes
Wote wenzake watatu wa mwanzo wame keep nafasi zao isipokuwa Walker
 
IMG_5984.JPG

MASAMILA
@Ngwaba
Aliyetoka hapo nyuma ni Walker
Alipo toka Walker kaja nani?
 
Malafyale Nikuulize kitu!

Hivi Keita Anachezea Guinea ipi Kati ya Guinea Bissau na Equatorial Guinea? Au Kuna Guinea nyengine anayoicheze?
 
FIFA bhana sometimes Ratings Zao Ni Kichekesho Cha Kitoto Kweli!!!

Eti Wamemrate Sadio Mane Kwa Points 86 Katika Nafasi ya 60 Katika 100, Na wamemrate Alexis Sanchez Kwa Points 87 Katika Nafasi Ya 56 kwenye 100, Na Wakamrate Lukaku Kwa Points 87 Katika Nafasi ya 45 kwenye 100.

Hivi Fifa Wanahisi Lukaku na Sanchez From Last Season mpaka Sasa Wameoffer Vitu Vingi Kwenye Game Kuliko Mane?

Hii Ni Joke Of the Season.
 
Malafyale Nikuulize kitu!

Hivi Keita Anachezea Guinea ipi Kati ya Guinea Bissau na Equatorial Guinea? Au Kuna Guinea nyengine anayoicheze?
Naby ni wa Guinea makao makuu yao makuu ni Conakry,nchi yake inaitwa Guinea tu
Guinea ya Keita imepakana na Siera Leon waktk Guinea Bissau na makao makuu yao ni Bissau imepakana na Senegal,kwa maana hiyo Guinea hizi mbili zimepakana pia!
Equatoria Guine ni nchi ya tatu kwa jina ,hii inaongozwa na huyu diketa Theodore Nguema Mbassongo na mtoto wake Mbasongo Mbengue kama Makamu wa Rais na makao makuu ni Malabo
Kuna nchi tatu tofauti zenya majina ya Guinea
 
FIFA bhana sometimes Ratings Zao Ni Kichekesho Cha Kitoto Kweli!!!

Eti Wamemrate Sadio Mane Kwa Points 86 Katika Nafasi ya 60 Katika 100, Na wamemrate Alexis Sanchez Kwa Points 87 Katika Nafasi Ya 56 kwenye 100, Na Wakamrate Lukaku Kwa Points 87 Katika Nafasi ya 45 kwenye 100.

Hivi Fifa Wanahisi Lukaku na Sanchez From Last Season mpaka Sasa Wameoffer Vitu Vingi Kwenye Game Kuliko Mane?

Hii Ni Joke Of the Season.
Hao ni wa kupuuzwa tu
Mane hawamfikii hao kw alolote lile
Ubaguzi tu
 
i still think that we were very solid vs Leicester and i would like us to continue playing more like that across the entire season than our traditional gung ho.

i just love the way this team organises itself off the ball. did you notice that after Alisson's howler Leicester had only 1 shot? people would tend to think Leicester were dominant while in fact they weren't.... this is because our defensive outfit gave them no space to exploit with any meaningful danger.

if we can "Leicester" our way 25 out of 38 in the course of the season, happy days!!

Agree chief,

but kuna baadhi ya games hatutakiwi kucheza kwenye 2nd gear.

seen people wanasema kuwa bado hatuja-click, but nadhani Klopp sahiv anawaza sana trophies, so ana-assemble team kulingana na opponent kuliko kuchezea zaidi mpira kama last season, ana Ljinders tu kwasasa, na Buvac hayupo so he cant afford to act smart katika kuimplement possession footie. not his style.

your thoughts on Rabiot chief? a very reliable french footie reporter Julien Laurens anasema tuna legit interest.
 
Mzeebaba

Mwenzio ndo kwanza leo wamempa mkataba mpya with a huge pay-rise!

Personally sijamuelewa Klopp,sema ni vile tu huwa sipendi kujishughulisha na issues ambazo zipo out of my control!

🤣🤣🤣

LOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOL!!!!!!!!!

Mzee baba huwezi amini bado sijarecover kabisa, was a huge L fgs hahahahaha

but, at least he will be a full squad player now, me niikuwa nataka aondoke kabisa LFC man.

he will start some games, but wont be a regular starter.

man, received a lot of bantz and msgs siku ambayo jamaa alisign extension, football can be so painful at times bro.

but, always naamini kuwa if Klopp really rates Henderson asingespend more than 110m on two MFs ambao wanacheza the same spots alizokuwa anacheza Hendo kwa kipindi cha miaka 8 at LFC, B2B (KEITA) AND DM (FABY).

Ile interview ya juzi ya Klopp kuhusu hendo contract inaonesha kuwa, he likes Hendos presence kwenye dressing room, he likes Hendo's personalities. maybe Hendo is Klopp's very own Kehl.

but the issue of Klopp rating Hendo's football abilities is nonsense.

you can ask more than 20 hendo fans, kuhusu exactly uwezo wa henderson kimpira and what he really offers as a midfielder, wataishia kukwambia he led us to the final and we dont know better than Klopp, but you can ask shabiki mmoja tu wa Busquet, Casemiro, Kante, Fernandinho, Wanyama, Matic etc na watakupa majibu mengi sana kuhusu uwezo wao uwanjani as midfielders, bila kukugusia how they led them to the finals or pep/enrique/Valverde/zidane/Sarri/conte/Mou/poch etc wanajua zaidi yetu.

Klopp is a human, and kama any other human, ana weaknesses, Klopp main weakness kwenye kazi yake ya mpira ni suala la Substitutions, he knows this na ndiyo maana huwa mgumu sana kufanya sub (every football fan can back me up on this one), hii weakness ya klopp ni widely known, ishaongelewa na pundits, retired coaches na good football fans. but i dare you to criticize Klopp kwenye hilo suala on this platform. lol

we good on Rabiot bro? still not so solid on him man
 
Kumbe Man City walikua wanamnyemelea captain marvelous wetuView attachment 859202

HAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHA
 
Let me settle the debate
Allison vs kepa allison wins
Azplicueta vs TAA TAA wins
Van dijk vs rudiger hata sijibu
Luiz vs lovren uwezo sawa tu
Robertson vs alonso hard,almost equal
Gini vs jorginho jorginho mnyama
Kante vs milner tumpe kante
Kovacic vs keita naby deco mnyama
Hazard vs mane .........
Salah vs willian MO SALAH
firmino vs ushuzi BOBBY FIRMINO

Hope its settled

We love our Club and Players but TAA over AZPLICUETA?

I mean i like TAA a lot but a player of Azp level should never be compared to TAA (HONESTLY)

Luiz is miles better than Lovren

Hazard vs Mane......?????

putting Mane and Hazard in the same sentence siyo mbaya as Mane is adjusting very well now, but Eden Hazard is on another level Aisee, bias aside,

Hazard is disrespected na rival fans because of his decision to remain at Chelsea kwa muda mrefu (same as Stevie G), you can go anywhere on this planet kutafuta his stats, but majibu yatakuwa ni only Messi is better than Hazard kwenye kudrribble, key passes and creating chances, thats why huwezi lalamika kwanini Hazard hafungi sana, he is the most selfishness player on planet, followed by Firmino and Ozil.

i guess Ronaldo angekuwa disrepected the same way kama Hazard now kama angeamua kubakia Man utd mpaka sasa, kwenda kwenye a marketable club kama Madrid kumemsaidia sana CR7.
 
FIFA bhana sometimes Ratings Zao Ni Kichekesho Cha Kitoto Kweli!!!

Eti Wamemrate Sadio Mane Kwa Points 86 Katika Nafasi ya 60 Katika 100, Na wamemrate Alexis Sanchez Kwa Points 87 Katika Nafasi Ya 56 kwenye 100, Na Wakamrate Lukaku Kwa Points 87 Katika Nafasi ya 45 kwenye 100.

Hivi Fifa Wanahisi Lukaku na Sanchez From Last Season mpaka Sasa Wameoffer Vitu Vingi Kwenye Game Kuliko Mane?

Hii Ni Joke Of the Season.

in business wise, Sachez and Lukaku are more marketable than Mane.

Though Mane was better than them last season.

its all about who sale more man.
 
Hizo Nilizikuta Echo Wamezikanusha Tokea Juzi, Wanasema Ni Uongo! Klopp hana interest na Rabiot.

we want him man, been scouting him tangu akiwa 18

Your thoughts on him man? unadhani ni good option?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom