Iwe sababu ya kutokucheza mpaka leo? #nakataa
Sent using
Jamii Forums mobile app
Mkuu Unahaki Ya Kukataa! Liverpool ina Top Reds ambao Wengi Wao Ni Malegends Kama Kina
Sir King Kenny Dalglish, Na Vilevile Kuna Wale Wakereketwa Wa
Echo. Hao Wote Wana influence Kubwa Sana Ndani Ya Liverpool na Ndiyo Walizishika Akili Za Waingereza Wote Waliomo Ndani Ya Jiji la Liverpool.
Sasa Hawa Ndiyo Mpaka Leo Waliomfanya Klopp Asimcheze Fabinho Kwani Fabinho Anacheza Namba 6, Na Namba 6 anacheza Henderson.
Sasa Kwakuwa Keita Ni Lazima Acheze, Na Kwa Upande Wa Milner Akicheza Hakuna Muengereza Yoyote Atakaefumbua Mdomo Kwasababu Ni Mwenzao Na Vice Captain.
Kwahiyo Klopp Kaamua Kumchezesha Gini Kama Namba 6 Kwasababu Anapocheza Gini Kidogo Wao Hupunguza Sauti Zao.
Lakini Hawako Tayari Hata Siku Moja Kumuona Henderson Wao Anakaa Benchi Kwaajili Ya Fabinho that is why Klopp Yupo Under Pressure Na Kutomchezesha Fabinho.
Lakini ili asije Akalose Control Kwenye Dressing Room Ndiyo Anatumia Busara Za Kusema Kuwa Fabinho Kwanza Anajifunza.
Hivi Kwa Akili Ya Kawaida Mchezaji gani anayejifunza Bila Ya Kuingizwa Hata Sub? Hapo Klopp anatumia Kisingizio Cha Kitoto Kabisa.
Kiukweli Klopp Akubali Kumtoa Kafara Hendo Ndiyo Acheze Fabinho! Venginevyo Tusubiri Next Season atolewe Kwa Mkopo Cardiff City.