Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool ni Mara ya kwanza kushinda mfululizo game zote nne za ligi.

Mara ya mwisho ilikuwa ni mwaka 1991.

Edit post.. "Game zote nne za ligi" au "Game zote nne za mwanzo za ligi?"

chaliifrancisco Hata Mimi Nilitaka Kumkumbusha Kuwa Atofautishe Kati ya Kushinda Mechi 4 za EPL za Mwanzo Mfulilizo Na Kushinda Mechi 4 mfululizo za EPL Kwani Hata Brendan Rogers Msimu Wa 2013/14 Alishinda Michezo 10 ya EPL mfulilizo.
 
Liverpool haijawai kubeba EPL.

Ni Kweli Liverpool Haijawahi Kubeba Jina Linaloitwa EPL lakini imewahi Kubeba Kombe la Ligi Ya Uengereza Mara 18.

Mpira Ndani Ya Uengereza Haujaanza Mwaka 1992.

Ni Sawa Na Kusema Chelsea Haijawahi Kubeba Carabao Kwasababu Crabao imeanzishwa Msimu Uliopita.

Ligi Ni Hile hile Bali imebadilishwa Jina tu.
 
Ndio mkuu hapo nilikosea kidogo.

Tuko pamoja.
 
Mimi Hata Sihusiki Na Misunderstanding Zenu.
Hapo nilichopoint ni Kuwa Tufocus Kwenye EPL na wala Sijaclaim Kuwa We will Win EPL.

Have a good luck

Sasa mimi naclaim kuwa Chelsea inashinda ligi msimu huu.

See the difference yet??!
 
jibu swali mlikua wapi wkt liverpool inabeba vikombe mpk ikafikisha 18? na mpk ikafikisha Ucl 5?

sasa imewahi kubeba nini?
Liverpool haijawahi kubeba tangu ilipoitwa EPL.

Division league one, two... ilibeba mkuu.
 
Sasa mimi naclaim kuwa Chelsea inashinda ligi msimu huu.

See the difference yet??!

Huo Ni Mtazamo Wako tu Na Wala Sikukosoi Kwani Hata Washabiki Wa Arsenal, Man United, Man City na Spurs Wakiulizwa Watasema Wanabeba Ubingwa.

Mimi Nasubiri Muda Sahihi Ufike Wakuonesha Nani Yupo Katika Position Ya Kubeba Ubingwa Ndiyo Nitasema.
 
Man utd, Arsenal, na Tottenham hawawezi kusema hivyo.
 
Shaqir kacheza vyema sana leo dhidi ya Iceland,kacheza vyema mno
6-0 na yy kapiga bao zuri sana

Hizi Mechi Za Kiajabu ajabu Za Kimataifa Zinanikera Kweli Manake Hazimuachi Mtu Salama.

Hata Sikupenda Leo Gomez aanze Kikosi Cha Kwanza England.. Bora Wangeanza Hao hao Kina Walker ili Mchezaji Wetu Abaki Salama Na injury Kwani Tunamuhitaji Zaidi Ndani Ya Liverpool Kuliko Anavyohitajiwa Timu Ya Taifa.
 
Huyu Adrien Rabiot Ni Mchezaji Mzuri Sana Tena Kuanzia January Anapatikana Bure Kabisa ingekuwa Vizuri Kama Klopp Angafanya nae Mazungumzo.
 
Ni Kweli Liverpool Haijawahi Kubeba Jina Linaloitwa EPL lakini imewahi Kubeba Kombe la Ligi Ya Uengereza Mara 18.

Mpira Ndani Ya Uengereza Haujaanza Mwaka 1992.

Ni Sawa Na Kusema Chelsea Haijawahi Kubeba Carabao Kwasababu Crabao imeanzishwa Msimu Uliopita.

Ligi Ni Hile hile Bali imebadilishwa Jina tu.
Mkuu kuna watu kubishana nao unajipotezea rasilimali muda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom