Kinacho nifurahisha kwenye hii liverpool ni kua tunaweza kushinda tukiwa vibaya ani we are winning "ugly".msimu uliopita mechi kma ya jana au ile ya brighton ilikua ni suluhu au tunafungwa. So the ability of winning the way we are winning ni nzuri na ndo ubingwa unachukuliwa hivyo.
I also think kwa ss hvi hatuchezi ile free flowing football kwa vile wachezaji wengi hawakupata pre season vizuri kwa ajili ya worldcup na ndo mana hata pep alisema "the season starts after international break" kua mpka wakirudi ndo msimu utaanza rasmi kwa sababu wachezaji watakua na match sharpness yakutosha.mfano mzuri ni bobby firmino amekua anafanya kazi nzuri tukiwa tuna defend lakini ule udambwi udambwi wake bado hatujauona vizuri na its because of the lack ya pre season.
Nimalizie kwa kusema THIS LIVERPOOL TEAM IS CAPABLE OF ANYTHING. yajayo yanafurahisa
Sent using
Jamii Forums mobile app