Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,897
- 11,292
Yaa mkuu,ndiyo naendesha kurudi home,baada ya masaa 7 nitakuwa homeSerious mkuu?
Nimemfaidi sana Suarez leo
Jamaa bado anajua mno mpira,kawapiga mbili Mexico
Yaa mkuu,ndiyo naendesha kurudi home,baada ya masaa 7 nitakuwa homeSerious mkuu?
Yaa mkuu,ndiyo naendesha kurudi home,baada ya masaa 7 nitakuwa home
Nimemfaidi sana Suarez leo
Jamaa bado anajua mno mpira,kawapiga mbili Mexico
Wape na bonus ya JorginhoMchezaji wa chelshit ambae anaweza first 11 ya lfc ni hazard na kante tu tend hazard kwamashaka sababu chamberland ni majeruhi full stop
Mtaishia hivyo hivyo....Hahhhahahhahahahahaha
Suarez chuma cha pua kutoka Anfield
Anyway, Umereside ndani ya nchi gani ya latin America mkuu
John Barnes anamshauri Klopp kuachana na vikombe vingine badala yake akomae kukimbizana na City kwenye League.
Yupo sahihi au wewe unaonaje?
“People talk about winning trophies but they’re wrong. We could win the FA Cup by beating Swindon and Tranmere.
“You can win a trophy by not playing top teams. You can’t just win a trophy because you don’t know who you’re going to play.
“What you know in the league is who you’re going to play week-in, week-out.
“You should be able to suggest that we [Liverpool] will be closer to the top.
“I know people talk about winning trophies as success, but I’d rather be 10 points closer to Man City and not win a trophy than win the League Cup or the Europa League and be 25 points behind City.
“Getting close to the top of the league shows how good you really are.”
Yani Kwa Mimi Kuwin CL B2B Tatu Kama Real Na Kubeba EPL Moja tu, Basi Nahiari Tubebe Hiyo EPL moja Kwani UCL Nimeshaishuhudia Live Tukibeba Ila EPL bado Sijaishuhudia Live.
Kwahiyo (Lipo Nje Ya Uwezo Wangu) Ningependa Klopp Afanye Rotation Kwenye CL, FA Na Carabao, Lakini Kwenye EPL aeke Strong Team Mwanzo Mwisho Kwenye Mechi Zote 38.
Kiufupi Msimu Huu Tufocus Kwenye EPL tu.
Hayo Kina FA Na Carabao Awaachie Chelsea Na Arsenal.
CL amuachie Man City Na Spurs.
Edit post.. "Game zote nne za ligi" au "Game zote nne za mwanzo za ligi?"Liverpool ni Mara ya kwanza kushinda mfululizo game zote nne za ligi.
Mara ya mwisho ilikuwa ni mwaka 1991.
Kushinda mechi nne mfulilizo za mwanzo wa ligiLiverpool ni Mara ya kwanza kushinda mfululizo game zote nne za ligi.
Mara ya mwisho ilikuwa ni mwaka 1991.
Hahaha Liverpool ipi iyo unaongelea mkuu.? Ni focus ipi iyo unaitaji kocha awe nayo ili aweze kubeba EPL? Unadhani ni kocha gani ataweza kubeba EPL akiwa na liverpool? Klopp?? hahaha uyo aliyemshauri kocha afokasi na EPL tu atakuwa haitakii mema timu yenu.Yani Kwa Mimi Kuwin CL B2B Tatu Kama Real Na Kubeba EPL Moja tu, Basi Nahiari Tubebe Hiyo EPL moja Kwani UCL Nimeshaishuhudia Live Tukibeba Ila EPL bado Sijaishuhudia Live.
Kwahiyo (Lipo Nje Ya Uwezo Wangu) Ningependa Klopp Afanye Rotation Kwenye CL, FA Na Carabao, Lakini Kwenye EPL aeke Strong Team Mwanzo Mwisho Kwenye Mechi Zote 38.
Kiufupi Msimu Huu Tufocus Kwenye EPL tu.
Hayo Kina FA Na Carabao Awaachie Chelsea Na Arsenal.
CL amuachie Man City Na Spurs.
Yani hawa watu wanachekesha sana. Hapo ni gemu nne tu wameshinda hahahahaha...Hahahahah
For more jokes like this send the word LIVERPOOL to 1234.
This is our year.
Hahahahah
For more jokes like this send the word LIVERPOOL to 1234.
This is our year.
Yani hawa watu wanachekesha sana. Hapo ni gemu nne tu wameshinda hahahahaha...
Game zote nne za mwanzo wa ligi.!Edit post.. "Game zote nne za ligi" au "Game zote nne za mwanzo za ligi?"

Aliewehuka nani kama sio wewe hapo!?Game zote nne za mwanzo wa ligi.!
Huu ushindi umewaheusha.![]()
![]()
![]()
Hahaha naona hujiamini kabisa.Mimi Hata Sihusiki Na Misunderstanding Zenu.
Hapo nilichopoint ni Kuwa Tufocus Kwenye EPL na wala Sijaclaim Kuwa We will Win EPL.
Have a good luck
sasa ndio mwaka wa kubeba Epl na Uefa huu! ...Liverpool ni Mara ya kwanza kushinda mfululizo game zote nne za ligi.
Mara ya mwisho ilikuwa ni mwaka 1991.
Sasa klopp anashauriwa afokasi na EPL tu, huoni kama ni kuwehuka mkuu??Aliewehuka nani kama sio wewe hapo!?
Miaka mingine mlikuwa wapi mkuu?sasa ndio mwaka wa kubeba Epl na Uefa huu! ...
wkt liverpool inachukua epl mara 18,Uefa mara 5.chelsea ilikua wapi?Miaka mingine mlikuwa wapi mkuu?
Historia inawahukumu sana.