Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,897
- 11,292
Maajabu sana haya kwa kweli!Ukimuondoa VVD, Mane na Salah utabakiwa ni kitu gani cha ziada apo Liverpool?
Hebu changanya first 11 ya Liverpool na Chelsea kisha ona nani ataanza
Hazard mwenyewe hawezi muweka nje Mane huyu
Bao 4 bila penalty na bao sijui 3 mbili za penalty unaanza vipi sasa?
Au tuchukulie stats za mwaka jana?Mane ana bao 10 Champion League dhidi ya bao 3 za hazard
Hapo Kati kweli nimtoe Gomez huyu acheze Luiz au Rudiger acheze kwa VVD?
Huko mna Kante hao wengine akina Jorgino na Kovacic hamna kitu