Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Coach Sarri:
Kocha pekee EPL ambae hajashinda kikombe chochote, ligi yoyote, nchi yoyote mashindano yoyote yale!
Maajabu ya dunia haya
Huoni maajabu ya Klopp nini ..kocha tangu aje Liverpool hajabeba hata kombe la mbuzi na bado yupo tu ..

Angekuwa yupo darajani Siku nyingi tu ayupo keshatimuliwa.

Sisi tuna njaa ya makombe, nyie endeleeni kujenga timu na Klopp wenu.

Nina uhakika mpka Klopp anaondoka EPL hatabeba kombe hata moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Liverpool priority yetu ni UCL na EPL. Hayo makombe ya mbuzi chukueni ninyi
 
Huoni maajabu ya Klopp nini ..kocha tangu aje Liverpool hajabeba hata kombe la mbuzi na bado yupo tu ..

Angekuwa yupo darajani Siku nyingi tu ayupo keshatimuliwa.

Sisi tuna njaa ya makombe, nyie endeleeni kujenga timu na Klopp wenu.

Nina uhakika mpka Klopp anaondoka EPL hatabeba kombe hata moja.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mhudumuuuuuuuu
Mpatie Balimi huyu kasuku hapa anatusumbua
 
Mimi Mwenzenu Kuanzia Mwezi Huu Nitakosa Mautamo Kwa Miaka Mingi ijayo Coz Nimepata Uhamisho Serikali Imenipangia Kazi Mkoani Ambako Hakuna DSTv wala Ukijiunga Bando 3G & 4G haipandi Bali inasoma E tu Kwahiyo Naishia Kuangalia Game Kwenye LiveScore ndiyomana Leo Nimeshindwa Kufanya Analysis ya Aina yoyote hile.

Beba set yako ya DStv maana popote Tanzania inashika tu, cha msingi ni kufanya proper installation au tafuta fundi akufanyie installation.
 
Acha kujikuta unajua sana ngeli mkuu. Hakuna mmiliki wa lugha hapa, wote tunajifunza na kama sijui nijuze acha mboyoyo.

Au Sarriball inakuchanganya nini

Sent using Jamii Forums mobile app

Acha kukwepa ukweli
Kama huna utaalamu na lugha ya watu ni bora kutumia kiswazi
Usiandike broken English na kujifariji
Ni ujinga
Sarri ball haina record ya kushinda kikombe chochote wala mashindano yoyote wala nchi yoyote so it’s useless for now
 
Pamoja sana chief.
Nashangaa leo hii Chelsea nao wanaongea.
Nimeshawaambia hapa kuwa there are are only two contenders in the EPL: LFC and ManU. The rest are just pure pretenders
Numbers don’t lie
YNWA
Bora hata nyie mnapata nafasi ya kuwajibu! Mimi nachojua hao size yao ni Arsenal....hao ndio watani wao na wakina West Ham, Tottenham, Fulham, C. Palace, nk.
Huwa wananishangaza sana kulazimisha utani na Liver. Yaani mimi huwa sina hata muda wa kuwajibu kwa kweli.
 
Huenda ni kijijini hasa ndani ndani huko

Mkuu nimefanya kazi ambayo nazunguka mavijijini huko, EPL na DSTV iko sana, ukikosa kijiji kimoja kuna cha jirani ambacho wanaonesha game.

Unakuta watu wanaenda na pikipiki au mnakodi gari.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom