yes..... imagine VVD akiumia kwa mfano, we'll be in a stinking shiite!!Hata Mimi nimegundua Msimu huu tupo vizuri, Kidogo Shortage ipo kwenye Bench tu.
U are right mkuu!! Kama unakumbuka alot of games last season ambazo zilikua zinakarbiana na UCL games tulicheza the same way!! hii inafanya wachezaj kutokuchoka mapema na kwenda na form ya mchezoKiukweli Katika Kuona Huwa Wengi Tunatofautiana Utazamaji wetu Wa Mpira.
Lakini Mimi mwenzenu sijaona tatizo lolote jinsi tulivyocheza Leo.
Nilichoona Ni Kwamba Approach waliyokujanayo BHA sio ya kawaida tu.
Huyu Becker akiendeleza utoto aliofanya leo yatamkuta ya Karius soon.Kiukweli Katika Kuona Huwa Wengi Tunatofautiana Utazamaji wetu Wa Mpira.
Lakini Mimi mwenzenu sijaona tatizo lolote jinsi tulivyocheza Leo.
Nilichoona Ni Kwamba Approach waliyokujanayo BHA sio ya kawaida tu.
Huyu Becker akiendeleza utoto aliofanya leo yatamkuta ya Karius soon.
Sent using Jamii Forums mobile app
kabisa..Fabinho ni wild card..Klopp anamprepare vya kutosha naamini akipewa nafasi hatamwangusha...all in all in Klopp we trustHopefully fabinho ata perform akipewa nafasi mana waandishi wa habari uingereza wanaeza wakammaliza kabisa kisaikolojia akishindwa ku perform
Sent using Jamii Forums mobile app
yes..... imagine VVD akiumia kwa mfano, we'll be in a stinking shiite!!
no wonder Fabinho anaedelea kufundishwa the Liverpool way of futbol, maana timu zote hizo ni ngumu kwetu itabidi kujipanga, hope hatutakua na majeraha pindi tunakutana na hao wote...Tumemaliza August vyema tu! Lakini Wakuu tujiandae Kipindi cha September sio Siri tuna Ratiba Ngumu Sana Kwa Mechi zote 4.
√ 1 – Leicester City (A)
√ 15 – Tottenham Hotspur (A)
√ 22 – Southampton (H)
√ 29 – Chelsea (A)
damn Allison n VVD has done wonders at the back, there is calmness now...lets be positive ata remain injury free msimu huu...lets luck continue to pour heavily, maana 3 clean sheets, 9 points sounds tooo sweeetSiku VVD atakayoumia it is Obviously our season is over.
tuko pamoja.Kiukweli Katika Kuona Huwa Wengi Tunatofautiana Utazamaji wetu Wa Mpira.
Lakini Mimi mwenzenu sijaona tatizo lolote jinsi tulivyocheza Leo.
Nilichoona Ni Kwamba Approach waliyokujanayo BHA sio ya kawaida tu.
Sijaona tatizo.
Modern game has changed so much.
Kipa sio tena kunyaka na kubutua au kuokoa kwa kupiga mpira mbele bila purpose yoyote.
Kipa ni extra man kwenye central defenders.
Nimemwelewa Pep kwa nini amemsajili yule mbrazil aliye nae sasa hivi.
As long as he’s confident with himself shwari tuu
yes....Alisson ametupa pointi 2 zaidi leo.hii ndio inaitwa, Win ugly! ....brighton walikaza sana, tumepata points 3!...
Allison becker ni bonge la golikipa! ....saiv kipa tunae kwa kweli! .......
Mungu mkubwa, hataumia, lets be positiveSiku VVD atakayoumia it is Obviously our season is over.