Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Watu wa mkeka tunaliita Chama hili"Jeshi" linanipa pesa nyingi Kwenye mkeka lakini CL ni maji marefu sana
Hao tatizo wanauza wachezaji wote kila May
Wachezaji wengi team za Ulaya wanatoka hapo
Lkn UCL is UCL,a lot of suprises
 
Naona unaongea vya kujifariji ndugu yangu. Atakae ongoza group hapo atakuwa Napoli hiyo nafasi iliyobaki up to you PSG/liver ila kama mnaona kazi ni nzito kwa PSG basi elekeni jiwe tu
Hauna point yyt ile ya ku back up madai yako
Napoli hawezi mfunga Liverpool hata mechi ichezewe Kibaha
 
√ LFC v PSG (H) - 18 Sep
√ LFC v Napoli (A) 3 Oct
√ LFC v Red Star (H) 24 Oct
√ LFC v Red Star (A) 6 Nov
√ LFC v PSG (A) 28 Nov
√ LFC v Napoli 11 Dec (H)
 
cc0c3a2c-1ce0-4c6c-bf13-83606e4a7258.jpg

Sept-October tunacheza mechi mbili muhimu sana za UCL
Mungu asitupe tu majeruhi


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ratiba yetu Mechi hizi
Leicester City(EPL-A)
Totenham(EPL-A)
Napoli(CL-A)
Soton (EPL-H)
Chelsea(Carabao-H)
Chelsea(EPL-A)
PSG(CL-H)
Kwa kikosi chetu sina wasi wasi na ratiba hii!


Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa suala sio kikosi bali ni vipaumbele ,akipanga kikosi kile kile alichoanza nacho msimu huu mechi zote hizi wote mnajua kitakachofuata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Me nadhani naby keita ndo mrithi wa coutinho liverpool nadhani JK amekua impressed na technical ability yake ndo mana hajataka ku risk kwa nabil fekir



Sent using Jamii Forums mobile app

No bro.

Keita and Coutinho ni 2 different players

keita will help us kwenye suala la kucreate chances, but as a B2B mid ana majukumu makubwa zaidi ya hayo.
 
Katika makundi mepesi sana uefa, basi kundi C litakuwa kundi jepesi sana.

Sababu:

Liverpool huna kikosi cha kupafomu michuano yote effectively.

Kwa sasa timu nying za EPL zimejihimarisha vilivyo kiasi kwamba utaitaji uwezo wa ziada kushinda game. Liverpool ina wachezaji wachache wenye uwezo huo.

Huna backup ya kutosha kwenye benchi. Kikosi ulichonacho icho icho kitacheza ligi, Uefa, Fa, Carabao ivyo akina salah, mane watachoka sana.

Hivyo PSG na Napoli watapita kiulaini tena bila kupingwa kwa sababu tajwa hapo juu.

Msimu uliopita ulifika fainal kimazabe pia angalia uli risk makombe mangap ili kufika fainal? Pia timu nyingi ulizokutananazo hazikuwa vizuri na mtu kama Salah, Mane walikuwa na wakati mzuri.

Je ya mwaka jana yanaweza kujirudia? Jibu ni hapana.

Hivyo ni bora Klopp awekeze zaidi kwenye EPL maana Uefa hafiki popote msimu huu.

Mbele ya PSG na Napoli hutatoka salama. Hivyo makundi mepesi ulaya ni kundi C, A, E, D, F na magumu yanaweza kuwa ni B, H, may be na G.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa suala sio kikosi bali ni vipaumbele ,akipanga kikosi kile kile alichoanza nacho msimu huu mechi zote hizi wote mnajua kitakachofuata

Sent using Jamii Forums mobile app
Carabao na CL vikosi tofauti
Mbele Carabao atacheza Shaqiri,Dan na Solanke
Kati ataanza Fabihno na Hendo Jones
Nyuma ataanza Clyne,Lovren,Matip na Moreno
Kipa atasimama Migs
CL tutaanzisha kamili mbele lkn nyuma na mido kutakuwa na mabadiriko
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom