SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,923
I can’t wait for UCL crown number 6
Naona unaongea vya kujifariji ndugu yangu. Atakae ongoza group hapo atakuwa Napoli hiyo nafasi iliyobaki up to you PSG/liver ila kama mnaona kazi ni nzito kwa PSG basi elekeni jiwe tuSerie A nzima Hakuna timu inayoweza Kumtoa Liverpool Kwenye Stage yoyote hile.
Sisi Hapo Hatupambani Kwa Lengo La Kusonga Mbele Kwani tunajua tayari tumeshaingia Knockout stage! Bali Tunapambana Kuwa Group Leader tu.
Hahaa yaani hili group limtoe Liverpool... Big NONarudia tena kama liverpool wanategemea kupita kwa mgongo wa Napoli basi wasahau 16 bora msimu huu.
Narudia tena kama liverpool wanategemea kupita kwa mgongo wa Napoli basi wasahau 16 bora msimu huu.

Ac Milan ni mwendawazi tu huyo. msidhani njia mliopita msimu 17/18 ndio huu. NIPO hapa nawasikitikia LiverpoolChampions ligi ndio ligi yetu na ndio mafanikio yetu yapo
Narudia tena hakuna timu from Italy yenye ubavu wa kuifunga Liverpool
Sio zama hizo wala zama hizi
Labda angekuwepo AC Milan
hahaha mtu mbaya
Ac Milan ni mwendawazi tu huyo. msidhani njia mliopita msimu 17/18 ndio huu. NIPO hapa nawasikitikia Liverpool
Man City ina vikombe vingapi UEFA?
3rd Round Ya Carabao Cup tumepangiwa na Chelshit.
Kwahiyo Ndani Ya September tutacheza nao Mara 2.
1) Away: EPL
2) Home: Carabao
Tusijidanganye. Kiukweli tumepewa group gumu ambalo kila timu ina nafasi ya kusonga mbele. Timu zote ni nzuri.
PSG imesheheni nyota kibao. Wao ndio walibeba kundi kwa maana ya pot iliyokuwa na mabingwa wa ligi na bingwa wa Ucl. Kwa timu yoyote kupangwa na PSG ni majanga so hata sisi kwa hawa jamaa tuna wakati mgumu.
S.S.Napoli, makamu bingwa wa ligi kuu ya italia almaarufu SerieA, chini ya kocha mzoefu na bingwa mara mbili Carlo Ancelotti nao si timu ya kuiangalia makengeza. Jamaa wapo vizuri. Tutarajie tabu na ahida toka kwa hawa jamaa. Kikosi chao hakina majina makubwa ila ni kizuri hivyo tusitegee mteremko.
Red Star Belgrad. Mabingwa wa zamani wa michuano hii. Moja ya vitimu bora toka mashariki ya ulaya. Hawa kwa maoni yangu wana ubora sawa au zaidi ya timu toka Belgium na Holland. Kina Ajax na Psv na kina Standard liege na club brugger. Liverpool tuna kazi nzito ya kuifanya kuvuka kwenda knockout stage.
YNWA
Sent using Jamii Forums mobile app
Changamoto kubwa EPL siyo kuzifunga Top 6, ni consistency, kuwa na uwezo wa kucheza mechi nyingi mfululizo kwa kiwango cha juu bila kuangalia ni timu gani umekutana nayo.
Msimu wa 2016/2017 hakuna hata timu moja iliyotufunga kati ya 6 za juu, zaidi ilikuwa droo, tulikusanya around 18 points, cha ajabu hazikutosha kutusaidia kutupa ubingwa, tulipoteza game 6 kwa mediocre teams; Burnley, Bournemouth, Hull City, Leicester, Swansea na Crystal Palace.
Unashinda game ngumu (ile ambayo ni underdog), halafu game inayofata ambayo uko favored unapigwa, inakuwa kama umewekeza kwenye big games tu, mwisho wa siku ubingwa anachukua yule ambaye atakusanya points nyingi kutoka kwenye team za chini kwenye msimamo.
WE ARE READYRatiba yetu Mechi hizi
Leicester City(EPL-A)
Totenham(EPL-A)
Napoli(CL-A)
Soton (EPL-H)
Chelsea(Carabao-H)
Chelsea(EPL-A)
PSG(CL-H)
Kwa kikosi chetu sina wasi wasi na ratiba hii!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ratiba yetu Mechi hizi
Leicester City(EPL-A)
Totenham(EPL-A)
Napoli(CL-A)
Soton (EPL-H)
Chelsea(Carabao-H)
Chelsea(EPL-A)
PSG(CL-H)
Kwa kikosi chetu sina wasi wasi na ratiba hii!
Sent using Jamii Forums mobile app