OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Hakuna ramli mkuu ..tuna angalia uhasilia wa timu mnayokutananayo.
Sio gemu nyepesi sana kwenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna ramli mkuu ..tuna angalia uhasilia wa timu mnayokutananayo.
Hahaha Hallison ajiandae leo kuna goli zaid ya mbili anaweza chomwa.Kwa Upande Wangu Hata tushinde 1 - 0 hainikeri Muhimu Tupate Cleansheet tu.
Mkuu ile ya CP ukicheki kwa makin Liverpool ilizidiwa sema Palace hawakuwa na umakini wa kutosha ..kama wangekuwa makini kama *Briton City* basi ile game ingeisha dro ya mbili mbili.Kwanz tupe Mrejesho Wa Mechi Yetu dhidi ya Crystal Palace ambayo ulitutabiria Mabaya Kama haya Ndiyo tuweze Kukusikila Ramli yako Ya Mchezo wetu Wa Leo.
Mkuu ile ya CP ukicheki kwa makin Liverpool ilizidiwa sema Palace hawakuwa na umakini wa kutosha ..kama wangekuwa makini kama *Briton City* basi ile game ingeisha dro ya mbili mbili.
Sent using Jamii Forums mobile app
msimu uliopita tulimfurusha Brighton 1-5 kwao na alipokuja Anfield akabomondwa 4-0.Hakuna ramli mkuu ..tuna angalia uhasilia wa timu mnayokutananayo.
Sio gemu nyepesi sana kwenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda golini akae Mignolet au Karius
Ila akikaa Allison, huo ujinga haupo tena
CP alikuwa home, Brighton anakuja anfield ambapo ni pagumu kuliko viwanja vyote EplMkuu ushindi wa Briton dhidi ya man u umewapa confidence ya kutosha kiasi kwamba inaweza kuwa ngumu kwa Liverpool kushinda. Hivyo itahitajika nguvu ya ziada kwenye kikosi cha liver ili kuweza kushinda.
Refer game ya CP mlipata ushindi kwa tabu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha Hallison ajiandae leo kuna goli zaid ya mbili anaweza chomwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na Beki labda Akae Lovren halafu DM wake Awe Henderson.
Mkuu me nazungumzia Hallison kufungwa zaid ya mbili leo haijalishi mtashinda au mtafungwa ..leo kunawezekana kuwepo kwa magoli pande zote mbili.Nadhani Umesahau Kuwa Liverpool Ndiyo Timu inayoongoza Kwa Kucheza Michezi Mengi Bila ya Kufungwa Katika Uwanja Wake Wa Nyumbani Kwa EPL?
Basi Kama Hujui Msimu Uliopita Liverpool ndiyo Timu pekee iliyocheza Msimu Mzima Bila ya Kufungwa Hata Mchezo mmoja Katika Uwanja Wake Wa Nyumbani.
Kwahiyo namaanisha Liverpool si ya Kuichukulia Poa Katika Uwanja wa Anfield Kwani Hata Mbabe wenu Man City alilia Hapa.
Leo tunaanza na Kumpiga 4 au zaidi lakini si Chini ya hapo.
Mkuu! Football haitabiriki.Football ni mchezo wa Bahati( game of chances) Football ni DKK 90. Mpira wa miguu magoli. Atakayepata goli nyingi ndiye mshindi.Mkuu ile ya CP ukicheki kwa makin Liverpool ilizidiwa sema Palace hawakuwa na umakini wa kutosha ..kama wangekuwa makini kama *Briton City* basi ile game ingeisha dro ya mbili mbili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu! Football haitabiriki.Football ni mchezo wa Bahati( game of chances) Football ni DKK 90. Mpira wa miguu magoli. Atakayepata goli nyingi ndiye mshindi.
Tunakosea sana kusema ANGE,INGE,WANGE,TUNGE Au Mshukuruni Fulani,ama Fulani kawaokoa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hizi ni past tu ..ngoja tuone leo Liverpool atatokea wapi. Briton wamebadilika sana.msimu uliopita tulimfurusha Brighton 1-5 kwao na alipokuja Anfield akabomondwa 4-0.
msimu huo huo Brighton alimfokonyoa Manure kama alivofanya msimu huu (last week).
dejavu!!
Mkuu Allison huwezi kusema ni bora kwa kipimo cha game mbili za mwanzo dhidi ya Liverpool ambazo zilionekana ni nyepesi sana. Allison hajakutana na akina Iwobi, Willian, Aguero na timu ndgo ndgo kam Leicester, Burnley n.k ambazo zina winga wenye uwezo wa kufunga vizuri tu. Bado Uefa uko inamsubiri.Labda golini akae Mignolet au Karius
Ila akikaa Allison, huo ujinga haupo tena
Usikariri mkuu Anfield hakuna ugumu wowote.CP alikuwa home, Brighton anakuja anfield ambapo ni pagumu kuliko viwanja vyote Epl
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Allison huwezi kusema ni bora kwa kipimo cha game mbili za mwanzo dhidi ya Liverpool ambazo zilionekana ni nyepesi sana. Allison hajakutana na akina Iwobi, Willian, Aguero na timu ndgo ndgo kam Leicester, Burnley n.k ambazo zina winga wenye uwezo wa kufunga vizuri tu. Bado Uefa uko inamsubiri.
Hata hivyo Karius alijitahidi sana sema nyie mashabiki ndo mmemuangusha. Hivyo Hutu Allison bado hajakutana na mikiki mikubwa mikubwa maana ligi ndo kwanza game ya tatu hii.
Bado sana Ku improve uwezo wa Allison.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hizi ni past tu ..ngoja tuone leo Liverpool atatokea wapi. Briton wamebadilika sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo lazima Brighton wamwaibishe mtu leo
E&K