Damien Comolli, always huwa analaumiwa kwa makosa ya wazi ya Daglish, kwasababu Daglish ni LFC legend huwa anapata a free pass, but its a known fact kuwa Daglish ndiye aliyekuwa anataka British players kwenye team na siyo Comolli, reports are out there, Comolli wanted Gotze, Aguero, a young Aubameyang, Kagawa, Llorente etc but Daglish aliwakataa and insisted on British players ambayo ikaresult kwenye signings za kina Charlie Adams, Downing, Carrol, Henderson etc, and if any LFC fan remember it correctly Comolli was sacked baada ya FSG kutoridhishwa na signing ya Henderson, (the main reason for comolli's sack was because of Henderson signing), FSG felt kuwa walithrow 20m kwa mchezaji ambaye hakuwa na qualities za kutosha, and make no mistake about it was SG who saved Henderson career at LFC, because even Rodgers wanted to sell henderson to Fulham kwaajili ya kumpata Dempsey (its a known fact)
and the same Comolli alifanikiwa kusunction deal ya Suarez kwa 20m tu.
Michael Edwards, amefanikiwa kupull some good deals for the past two years, but he's no better than Comolli, the main man kwenye signings zote ilizofanya LFC ni Klopp, Edwards anachofanya ni kuexcute deals between the clubs, na tumeona kabisa deals kubwa huwa zinamshinda na FSG huwa wanamtuma Gordon, (rejea deals za VVD, kEITA NA FEKIR), i mean Edwards ameimprove na always nitampongeza kwa kufanikisha deals za Fabinho na Allison, but kama tunataka kumlaumu Comolli kwa blunders za Daglish, basi yatupasa tumlaumu Edwards kwa signings za kina Lallana, Lovren, Lambert, Balotelli, Benteke, Mignolet, Solanke, Ings Aly Cissokho, Markovic etc,
hawa WC players wote wanajoin LFC kwasababu ya Klopp, kama Klopp asingekuwepo LFC tungeendelea kushuhudia the same bobbins signings kutoka kwa kina Edwards, having said that, nakubali kuwa Edwards negotiations tactic zimemprove na hii ni kwasababu ya kufanya kazi na mtu anayejali sana qualities na asieendeshwa na mtu (Klopp).
Edwards only signing for LFC ni Solanke kwenye tenure ya Klopp. you can tell me more about Solanke, i will wait.