Eminem jr
JF-Expert Member
- May 21, 2018
- 2,006
- 4,617
Sas inakuwaje klabu ndio Inamchoma moMshambuliaji wa Liverpool Mo Salah anachunguzwa na Polisi wa Merseyside nchini Uingereza baada ya kuonekana kwenye video moja akiendesha gari huku akitumia simu, inadaiwa kuwa Club yake ndio iliyopiga simu Polisi kuwafahamisha kuhusu video hiyo ya Mchezaji wao.
Salah kwa polisi kwamba alikuwa anatumia
simu akiwa ana drive????

