Nataman Klopp aendelee kutumia almost 4 games za pre season bila ile (Fab three) yetu..
I wanna see us where we"ll be heading.. kama AM wetu ni lallana..
theres no doubt kuwa tumekuwa na good window tangu FSG wachukue Club, but lets not lie to ourselves, this isnt a title winning squad (hasa EPL).
EPL ni marathon, kushinda hili kombe unahitaji depth, kama siyo depth unahitaji kuwa na bahati ya wachezaji muhimu kuepuka majeruhi, last year the Fab 3 kept us kwenye top four kwasababu walicheza most of the games (hasa Firmino and Salah), but tunayajua ya kesho? what if mmoja kati ya mane/salah/Firmino akiumia au akipata majeraha ya muda mrefu? tutakuwa able kucompete?
no doubt we've added qualities in the GK area and kwenye MF, but depth ya kwenye attack ni ndogo (despite having shaqiri), na pia we're so short kwenye CB options.
having depth kwenye squad, maana yake ni kuwa na wachezaji ambao wanaweza kutokea bench na kuleta mabadiliko, au wachezaji ambao wanaweza wakaanza game na kuwa na impacts kubwa, LFC hatuna depth hiyo, Dejan Lovren is our 1st choice LCB, sasa you can imagine his 2nd choice atakuwa ni m-bovu kiasi gani kama tu Dejan Lovren ni 1st choice, on top of that our only reliable CB kwenye team ni VVD, swali linakuja pale pale what if akiumia? then kwenye attacking depth, tumeongeza quality addition in Shaqiri, but again we lack creativity, last season post-coutinho departure, tulidraw games nyingi sana hasa zile ambazo zile team pinzani walikuwa wanadefend deep (one of the reason we fell short and finished fourth), so we really want to challenge this season we need a number 10 who can create easy chances for the fab 3, Klopp used Mane kama number 10 kwenye baadhi ya games last season, but if we get a good number 10 kazi ya fab 3 itakuwa rahisi sana, na magoal yataongezeka mengi sana, and thats where Fekir came into the equation, Klopp wanted Fekir kwasababu ni Firmino 2.0, he can play as a 10 na pia kama False 9, so ukiwa na wachezaji wa aina hii wawili kwenye team yako what more do you need?
Solanke/Origi/Ings/Lallana etc ukifananisha na ile fab 3 utagundua kuwa kuna tofauti kubwa sana ya ubora, squad ya namna hii ni ngumu sana kubeba makombe makubwa na itakuwa worse possible scenario kama Fab 3 wakiumia, the only reliable player upfront atakuwa ni Shaqiri tu, well didnt mention DS coz sina uhakika kama anaweza kulast 2-3 games bila injuries.
kwenye CL final, Madrid brought Bale from the Bench na akaleta utofauti mkubwa tu, and we subbed on Lallana ambaye alienda kuharibu shape nzima ya mashambulizi. Pep guardiola can bench Sane/Sterling/Silva/Aguero/Bernado/Ferna/Gundogan/Kompany/Stones/Walker etc na kupata matokeo, but its quite evident kuwa Klopp cant bench Salah/Mane/Firmino/VVD na kupata matokeo (glad we've added Naby and Faby ambao pia Klopp cant afford kuwabench pamoja na fab 3 na kuexpect matokeo).
Get another reliable CB and a good number 10, then pray for injuries ndogo ndogo tu kwa important players, and we can challenge Man City and other top six clubs to the very end.