Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

*Premier League*

```TEAM P W D L Goals Pts
Man City 2 2 0 0 8:1 6
Liverpool 2 2 0 0 6:0 6
Chelsea 2 2 0 0 6:2 6
Watford 2 2 0 0 5:1 6
Tottenham 2 2 0 0 5:2 6
Bournemouth 2 2 0 0 4:1 6
Everton 2 1 1 0 4:3 4
Leicester 2 1 0 1 3:2 3
Man Utd 2 1 0 1 4:4 3
Crystal Pala2 1 0 1 2:2 3
Brighton 2 1 0 1 3:4 3
Southampton 2 0 1 1 1:2 1
Newcastle 2 0 1 1 1:2 1
Wolverhampto2 0 1 1 2:4 1
Burnley 2 0 1 1 1:3 1
Cardiff 2 0 1 1 0:2 1
Arsenal 2 0 0 2 2:5 0
Fulham 2 0 0 2 1:5 0
West Ham 2 0 0 2 1:6 0
Huddersfield2 0 0 2 1:9 0
```
 
Ollachuga Oc usishangae ndiyo Liverpool hii!
Ulisema Westham Mbovu, Hii Palace he nayo pia Mbovu?

Mechi Ndiyo Kabisa Tunakukatisha tamaa Manake tunacheza na Kibonde tena Anfield.
Mkuu nikupe hongera ya kushinda umepambana sana. Naskia mlisema mtashinda tano; ziko wap? Au Salah aligoma kufunga?

Yani wewe kikosi chako wakikosekana watu wawili basi hapo ushindi hakuna, kwa hill usibishe mkuu. Bila uwepo wa Salah au/na Mane basi ushindi kwako utasikia kwetu tu ..Klopp kajenga festi XI tu bado anahitaji kuongeza namba ya players wenye Kariba ya akina Salah ili akiandamwa na jini la majeruhi basi awe na pullback ya kutosha.

Kama mtaendelea kutegemea ushindi kutoka kwa salah au Mane basi mna khali mbaya sana. Maana hakuna wafungaji wengine zaid ya hao wawili.

Usiseme kuna stutrrdge, au sub ya Salah ndo Lalana? Hahaha basi kama ni hivyo ubingwa kwako utakuwa ni ndoto tu.

Wewe bado una safari ndefu sana mpk kombe kuingia mjini Liverpool labda klopp haondoke. Wewe utaendelea kutoa ushindani tu kwenye ligi maana huna "kikosi cha kupigania ubingwa" na huu ndo ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulia hivyo hivyo tukutane mwisho wa msimu chief. Unataka tumtegemee Lukaku atufungie magoli yetu na sio Salah au Mane?

Hiyo inawezekana kweli?? Usitupangie expectations zetu. Acha tuendelee kumtegemea Salah na Mane hivi hivi. Wewe endelea kupambana na hali yako kwenye team yako.

Hata hivyo mmecheza mechi nyepesi sana ingawa hii ya pili mmeonyesha udhaifu mkubwa tu ..

Enewei bado tunaendelea na ligi.

Na msipo ondoa utegemezi wa Mane na Salah basi mtapata tabu saana.

Unatakiwa huelewe, sasa hivi mnashinda kwa sababu wapo na wasipo kuwepo je?

Nyie bado sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata hivyo mmecheza mechi nyepesi sana ingawa hii ya pili mmeonyesha udhaifu mkubwa tu ..

Enewei bado tunaendelea na ligi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kidogo leo tulikua hatuko form, hatukucheza ule mpira wetu. Historia pia inaonyesha game yetu vs Palace inakuwaga ngumu kwetu lakini tumepata matokeo chanya.

Winning ugly sometimes ni kitu kizuri. Haijalishi tumecheza vipi lakini kama mwisho wa siku tumeondoka na point tatu. Well hakuna tatizo, tutajitathmini na kupambana vizuri zaidi mechi inayokuja.

Mpira wenu upi? Unadhani kuna mpira zaid ya huo mliocheza leo? Liverpool mkikutana na winga zenye kasi basi Keita na uyo VVD wenu watakuwa na kazi kubwa ya kufanya.

Kipimo chenu ni September mkuu.

Hahaha wapinzani bwana, ina maana hujui brand yetu ya soka safi la pasi nyingi na high intesity na goli nyingi?

Nakuambiaje sisi tunacheza kila mechi kama ndio final. Mechi moja baada ya nyingine. Wewe kaa mkao wa kuumia moyo tu chief

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom