Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Exactly, baada ya Sadio Mane kufanya yake leo kuna watu nilikuwa naangalia nao game nikawaambia hii kitu.

Attention iko kwa Salah, na Sadio Mane hafanyi zile kazi za kurudi nyuma kutafuta mpira kumlisha Salah, Keita ana rahisisha maisha yao wore.

Mtu ninaye mwona kuwa na wakati mgumu ni Firmino.
Kweli kabisa Keita anarahishisha kazi ya hawa ma forward...Firmino ndogo kipaji kipo atakaa sawa tu..japo umbea kwamba Barcelona wanamtaka na amekanusha...
Kua na Keita kunawafanya hata wasichoke kama zamani....natamani nione Combination ya Fabinbo, Gini na Keita namna watakavyo cheza pengine itakua bora na kuleta mabadiliko sana...
 
Hili la Kona umeniwahi Mkuu lakini Nilikuwa ndiyo nataka niliandike Hapa! Kiukweli Mpaka Sasa Toka Aondoke Coutinho hatuna Mpigaji Kona wala Set-Pieces Kwa ujumla.

Na Kuhusu TAA hili tokea alipoanza Kucheza Liverpool Ni kweli Hajui Kupiga Cross lakini Anaoffer mambo mengi zaidi Katika Kuattack.

Na Kinachomfanya asiweze Kupiga cross Ni kwamba Hajui Kudrible.. Lakini Siku atakayoweza Kudribe vizuri basi atakuwa Ni Full Back aliyekamilika.
well said King, Klopp atakua ameyaona haya naamini watayanyia kazi mazoezini na hatimae yawe applicable uwajani kwa manufaa ya timu..
so far defending ya kona na mipira ya adhabu kwetu inaridhisha nategemea waedelee hivi...
 
Naby Keita vs Crystal Palace

3 shots
1 key pass
5/6 tackles (More than any other Player in the Pitch).
1 interception
8 possession gains
83 touches
20/23 attacking 3rd passes
86% passing accuracy
 
Kitendo cha kuongoza goli mbili halafu zinarudi zote tena kipindi cha kwanza. Halafu kibaya zaidi tulikua darajani. Huu ni uzembe wa hali ya juu. Hili nina imani kocha analifanyia kazi na halitajirudia tena.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hilo atalifanyia Kazi Vipi Wakati Ndiyokwanza analifanyia Kazi Zoezi la Kutaka Kuacha Sigara.
 
Ni kweli Firmino hayupo Mchezoni lakini sina wasiwasi atabounce back tu kwani Jamaa licha Ya Kumuona Kapotea Mchezoni lakini Still anaoffer vitu adimu.

Nilichokiona kwa Firmino ni kama bado hajaipata role yake vizuri kwa sababu Keita anafanya baadhi ya kazi alizokuwa anafanya yeye, angekuwa pure striker huu ulikuwa ni msimu wake wa kutupia nyavu make mlishaji yupo.

Sasa yeye cheza yake ni ile ya kukaa nyuma kidogo ambako kwa sasa wanaingiliana na Keita, nadhani kuna jinsi wanatakiwa kudefine roles zao vizuri, ikibidi yeye pia awe anakaa mkao was kuchungulia goli (around offside line) ili ikipenyezwa inamkuta.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom