Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hata Hivyo Midfield Yetu Bado Ni Nyepesi Haijabalance hasa.

Kit aka chorus aid is Msimu huu Ni Beki Yetu tu ndiyo iko Stable as long as Hatutakuwa na injury ndefu Kwa Mabeki Wetu.
Yeah uzuri Klopp kwa sasa anajiamini hata upangaji kikosi hayupo kumfurahisha mtu...peroid perfom vizuri mazoezini na game time utapata...kashasema hivyo...lets hope Fabinho as soon atakua kashaelewa kucheza the Liverpool way maana twamhitaji sana...
 
Sometimes Mpira una vichekesho Kweli!!! Hivi Klopp Kamuingiza Lallana Akafanye Nini?? Wakuu Nisaidieni Pengine nimeshindwa Mimi Kuona Umuhimu wake!
 
Goli alilofunga Mane Mo Salah amepata nafasi 2 kama zile lakini nimembaini Kumbe Mo Salah si Mchezaji Wa Kaunta Coz Hana Mbio!
Unamkuta Yuko mbele lakini Kadri anavyokimbia basi yupo hapohapo mpaka Anafikwa na Beki...
Lakini Mane Alivyokimbia na Mpira ndiyo inavyotakiwa mtu Wa Kaunta awe na mbio kama zile.
 
Mtokeo yenu vipi hebu wekeni tuwasome... Liverpool ya Mashabiki wenye roho ya plastics Jua likiwaka wanayeyuka
 
By the way tumeshinda lakini Klopp Najua Kama Ni fundi na anajua Kuliko sisi humu lakini Kiukweli Leo Kwenye Subs hakupatia. Lakini nampongeza kwasababu tumeshinda.
 
2nd Goal. S.Mane
1534798526351.gif
1534798611293.gif
 
√ 2 Goals
√ 1 Cleansheet
√ 3 Points
√ We Killed 1 away game
very important kushinda mechi ya leo ugenini...so far Allison hajatwangusha...Lallana mkuu hata mimi sielewi kaingizwa afanye uwanjani...mi hua namuona anakimbikimbia kama headless chicken sijui Klopp hakupata ofa ata ya loan amtoe maana huyu ndogo ni total confusion...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom