Mkuu unajua Kuwa Klopp Tayari Ameshakuprove Wrong?
Sisi Tulimlalamikia Sana Msimu Wa Mwaka Juzi Kuwa Hafanyi Usajili na alikuwa na Kikosi Kibovu.
Hatimae wewe ulitupinga sana na Kumkingia Kifua Kuwa Klopp hana Kikosi Kibovu na Ukajigamba Kuwa Kikosi cha Kina Klavan, Moreno, Clyne, Lallana, Origi, Sturridge, Mignolet, Milner, Lucas na Can Kuwa Kingelichukua [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG].
Sasahivi Klopp kakuprove Wrong, na sisi Katuprove right Kuwa Ameshajua Kumbe Hile Liverpool ya Misimu iliyopita ambayo wewe uliinadia Ubingwa Mara Kadhaa Kuwa Si lolote Bali Ni Nyoko tu.
Sasa Ameamua Kusajili Wachezaji Wa Maana Ambao Tulipiga Kelele Kwa Muda Mwingi Kuwa Waletwe Kwani Waliopo Kabla Walikuwa Hawafai ingawa Kwa Upande Wako Walikuwa Ni Bora.
Sasa Nakushangaa Wewe Unaegeukageuka Kwa Kumsifia Klopp Kuwa Anasajili! Huoni Kuwa Wachezaji Wako Wazuri Kina Moreno, Clyne, Lallana, Origi, Milner, Klavan Wataishia Kupotea?
Wewe Ulikuwa Umlaumu Klopp Kwa Kufanya Usajili Mpya Wakati Wachezaji Wazuri uliowaamini Kuwa Wangebeba EPL Liverpool tunao.
Mkuu usigeuke! Ukweli Ni Kwamba Klopp Kakuumbua Fikra Zako Za Kusifia Wachezaji Wabovu Kwani Fikra ya Usajili Haikuwa Yako Bali ilikuwa Ni Fikra Yetu Sisi Ambayo Ulituona Kuwa Tunakosea Tunapolalamikia Usajili.
Alipokuwa Na Kikosi Kibovu Ulimsifia Kikosi Chake Kuwa Ni Bora na Kutupinga Sisi Tuliosema Klopp anaongoza Timu Mbovu.
Sasahivi Amefanya Usajili Tayari Umeshaachana na Fikra Za Kupenda Kikosi Kibovu, badala Yake Unasifia Kikosi Kipya Walichoongezwa Kina SALAH, OX, ROBERTSON, VVD, KEITA, FABINHO, ALLISON na XHAQIRI.
Asante Klopp Kwa Kutukubalia Mitazamo Yetu Tuliyokuwa Tukiinadi Kuwa Liverpool Ni Timu mbovu inayohitaji Usajili Mkubwa! Na Sasa Umeshafanya Kwa Asilimia 90% Yale Tuliyoyadai kwahiyo Kwasasa Hatuna Cha Kukulaumu Katika Usajili Hata Usiposajili tena Kwa Dirisha Hili.