Allison sio kipa mzur kama ulivyompamba hapo, Alison ni kipa wa kawaida, kwa tunaifatilia Seria A, Usitegemee Allison Aibebe timu kama kina Neur, degea sahau hilo, narudia ni kipa wa kawaida,
Walidaka pamoja na Wojciech wa Arsenal pale roma ,huyu Allison alikalishwa bench misimu miwil mfululizo ,alikuwa anapata nafas Italian cup bado uwezo mdogo , mpaka Juve walipomnunua Wojciech , ndipo roma wakatafuta kipa wakakosa, wakaona wampe allison namba 1 , cha ajabu kwenye seria A wakamaliza namba 3-4 ,
Huyu Allison hata timu ya taifa Hajafanya lolote la maana kama kina Tibaut cortouis , pickford, Ochoa , na ndio maana Timu yao haikufika mbali,
Roma toka walipomuuza salah wanaamin sasa ni muda wa kupiga hela tu,
Becker ni kipa mzuri sawa na kina Butland tu, Hizi kelele za kuwa overate huwa zinatokea mara nying tu na anayejichanganya huwa anapigwa, ishatokea kwa man u dili la pogba , Hii michezo hufanywa na Mino Raiola, alitaka kufanya hivo kwa Gigi donaruma wakati ni kipa mzembe tu, vilabu vilishtuka na dili likafa mpaka sasa hatusikii kelele, sasa hiv Naona upepo umehamia kwa Becker.
Umemzungumzia VVD, hivi ni nan aliyekuwa hamjui VVD ?
Huyu kila mwanamichezo aliuona uwezo wake, ndio maana Arsenal, chelsea, Liverpool, man city Walimuhitaji.
Tena kumbuka hakuwa anatoka nje ya epl, ni hapo hapo EPL.Ndio maana haikuwa ajabu liver kutoa £75m