Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mechi za kirafiki
Mabingwa watetezi wa ligi ya Uingereza Manchester City wataelekea nchini Marekani kwa ziara ya ambayo itashirikisha mechi za kirafiki dhidi ya wapinzani wao wa Uingereza Chelsea na Liverpool.
Klabu hizo tatu zitaungana na klabu za Manchester United, Arsenal na Tottenham katika mchunao huo wa mabingwa wa kombe la kimataifa
Shindano hilo la kila mwaka pia litashirikisha mabingwa wa Uhispania, Itali, Ufaransa na Ujerumani -Bercelona, Juventus, PSG na Bayern Munich - pamoja na Benfica na Atletico Madrid.

Liverpool itakabiliana na klabu zote mbili za Manchester katika kipindi cha siku tatu, huku Chelsea ikichuana na wapinzani wao wa London Arsenal katika mji wa Dublin Agosti mosi.
Mabingwa watetezi wa kombe la FA Chelsea watakabiliana na Manchester City katika kombe la Community Shield katika uwanja wa Wembley mnamo tarehe 5 Agosti.
Wiki mbili kabla ya mechi hiyo Chelsea itasafiri maili 17,982- magharibi mwa Australia ili kuchuana na Perth Glory.

Mechi za kirafiki kabla ya msimu wa ligi ya Premier kuanza:

Liverpool

7 Julai: Chester 0-7 Liverpool (Swansway Chester Stadium)

10 Julai: Tranmere Rovers 2-3 Liverpool (Prenton Park)

14 Julai: Bury 0-0 Liverpool (Gigg Lane)
19 Julai: Blackburn v Liverpool (Ewood Park)

22 Julai: Liverpool v Borussia Dortmund (Bank of America Stadium, North Carolina)

25 Julai: Manchester City v Liverpool (MetLife Stadium, New York)

28 Julai: Manchester United v Liverpool (Michigan Stadium, Michigan)

4 Agosti: Liverpool v Napoli (Aviva Stadium, Dublin)

7 Agosti: Liverpool v Torino (Anfield)
 
Mara Nyingi Migno & Karius Wanapofanya Makosa Utasikia Wanapewa Second Chance! Lakini Kiukweli Danny Ward Ni Kipa ambaye ameoneshwa Exit door without ever being given a chance to prove himself Jambo ambalo Unaweza Kutia Huenda akaja Akaboreka Huko Lesta ikawa Ni Bargain Kwao Ni sisi tuka ended up ku-regret.
Ni kweli kabisa ndogo alivyokua Hudderfields alionyesha potential sana na nilishangaa Klopp msimu uliopita kutomruhusu atoke kwa mkopo na vile vile kutompa chance kabisa kikosi cha kwanza.
Fox wamemsanili ili Kasper akitimulia Chelsea ndogo ndio achukue namba yawezekana msimu huu au msimu ujao but games for him will prove wamemchukua for peanut na pia ukizingatia Foxes wana makocho wazuri sana wa makipa..
 
"JURGEN KLOOP ANALALA SYRIA, ANAMKIA YEMEN"

Nayaangalia Maisha ya raia wa Syria na Yemen nawaonea huruma kimyakimya... Yes wanaishi kwenye mabara yasiyolaaniwa Sana kwa umaskini lakini nchi zao zinapitia kwenye mateso ya vita ambayo yanakuwa makali zaidi ya umaskini... Wamezungukwa na visima vya mafuta lakini raia wao wanalala njaa kwa Sababu ya vita.

Kwangu huo ni Mfano wa Maisha ambayo Jurgen Klopp ataenda kuishi msimu ujaona wa Ligi pale Uingereza. Huwezi kuyaona hayo mateso yake Kama wewe siyo rafiki yake wa Karibu.

Mwalimu Jurgen Klopp atatakiwa apeleke ndoo kubwa kwenye viunga vya Anflied kwa njia yeyote ile msimu ujao Kama Anataka kibarua chake kubaki salama.

Usione Liverpool FC wanafanya usajili mkubwa na gharama kubwa ukadhani ni maamuzi pekee ya Jurgen Klopp...

Kwenye usajili huu mkubwa na uwekezaji kwenye soka la vijana kuna maamuzi ya wakurugenzi fulani waliokulia Maisha yao yote kwenye jiji la Liverpool.

Jurgen Klopp akiwa na kiburi chake angeamua kuwaambia Liverpool Bado Namuamini Karius, au msimuuze Emre Can Kama alivyofanya kwa msaidizi wake waliotoka naye mbali sana kwenye Maisha ya soka.

Kufungua pochi kwa kiwango hichi kwa Liverpool ni dhahiri kuwa wanahitaji kombe Anfield na anayetakiwa kulilete kombe hili pasipo kuwa na kisingizio chochote ni mjerumani kiburi Jurgen Klopp..
Kama management ya timu imeweza kumnunua Naby Keita, Fabinho, Shaqiri, Van Dijk na Alisson yupo njiani ,na wote hao wamenunuliwa kwa pesa ndefu sana basi Klopp afanye kazi inayotakiwa kufanya.
Hapa ndipo naona Maisha ya Jurgen Klopp yanakuwa magumu Sana Kama raia anayeishi Syria Au Yemen.
Uwanja wa Anfield Utakuwa muhimu kwake kwenye Maisha ya kutetea kibarua chake Anfield.. Anatakiwa kukusanya point nyingi za kutosha.

Huu ndio wakati ambao wale walevi wa Anfield hawataweza kuvumilia mechi kuisha suluhu na Watford au na Arsenal. Huu ndiyo Wakati ambao walevi wa Anfield hawatakuwa tayari kuona timu inapomkosa Mohamed Salah inayumba.
Hayo yote walishamsamehe pale Kiev alipoamua kumbebe mjerumani mwenzake Loris Karius.
Hayo yote walishamsamehe pale walipoona timu Kama West Brom inaitoa Liverpool kwenye FA cup.

Najua Wakati Jurgen Klopp atakapokuwa USA kwenye Pre season atakuwa busy Sana kuimarisha mifumo yake ya Gengen klopp pressing kuepuka Maisha ya kulala Syria na kuamkia Yemen.

Tuisubiri EPL ianze tuone nani atazichanga karata zake kwa umakini.

Tayari mropokaji Josee Morinho ashalalamika ratiba inaipendelea Liverpool FC.

KEY THE DON
 
Mpe Credit basi alieandaa hii makala au ni wewe mwenyewe?
 
kipa wa As roma tuliomfunga tano Kwenye UEFA amesajiliwa nmesahau jina lake this is liverpool!!!
 
Yajayo Liverpool kwa kweli yanafurahisha!
Thank you Klopp for making Liverpool Great Team again
 
Sadio mane atavaa jersey #10 msimu wa 2018-2019
1532092674925.jpeg
 
Miaka 25 kwa kipa wa caliber ya Allson ni bei nzuri bado kwetu!
Tutakuwa hatuna wasi wasi tena golini kwa miaka zaidi ya 10!
Kuja kwa Allson kwetu ni kielelezo kingine kuwa sasa Liverpool inaweza mchukua mchezji yyt yule!
Tupo pazuri sana na Klopp ataendelea kufanya vyema!
Najua wapo walio chukia ili Klopp ashindwe wamtusi
"WAVIMBA MACHO WANAPATA TAABU SANA"
 
Mkuu unajua Kuwa Klopp Tayari Ameshakuprove Wrong?

Sisi Tulimlalamikia Sana Msimu Wa Mwaka Juzi Kuwa Hafanyi Usajili na alikuwa na Kikosi Kibovu.
Hatimae wewe ulitupinga sana na Kumkingia Kifua Kuwa Klopp hana Kikosi Kibovu na Ukajigamba Kuwa Kikosi cha Kina Klavan, Moreno, Clyne, Lallana, Origi, Sturridge, Mignolet, Milner, Lucas na Can Kuwa Kingelichukua [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG].

Sasahivi Klopp kakuprove Wrong, na sisi Katuprove right Kuwa Ameshajua Kumbe Hile Liverpool ya Misimu iliyopita ambayo wewe uliinadia Ubingwa Mara Kadhaa Kuwa Si lolote Bali Ni Nyoko tu.

Sasa Ameamua Kusajili Wachezaji Wa Maana Ambao Tulipiga Kelele Kwa Muda Mwingi Kuwa Waletwe Kwani Waliopo Kabla Walikuwa Hawafai ingawa Kwa Upande Wako Walikuwa Ni Bora.

Sasa Nakushangaa Wewe Unaegeukageuka Kwa Kumsifia Klopp Kuwa Anasajili! Huoni Kuwa Wachezaji Wako Wazuri Kina Moreno, Clyne, Lallana, Origi, Milner, Klavan Wataishia Kupotea?
Wewe Ulikuwa Umlaumu Klopp Kwa Kufanya Usajili Mpya Wakati Wachezaji Wazuri uliowaamini Kuwa Wangebeba EPL Liverpool tunao.

Mkuu usigeuke! Ukweli Ni Kwamba Klopp Kakuumbua Fikra Zako Za Kusifia Wachezaji Wabovu Kwani Fikra ya Usajili Haikuwa Yako Bali ilikuwa Ni Fikra Yetu Sisi Ambayo Ulituona Kuwa Tunakosea Tunapolalamikia Usajili.

Alipokuwa Na Kikosi Kibovu Ulimsifia Kikosi Chake Kuwa Ni Bora na Kutupinga Sisi Tuliosema Klopp anaongoza Timu Mbovu.
Sasahivi Amefanya Usajili Tayari Umeshaachana na Fikra Za Kupenda Kikosi Kibovu, badala Yake Unasifia Kikosi Kipya Walichoongezwa Kina SALAH, OX, ROBERTSON, VVD, KEITA, FABINHO, ALLISON na XHAQIRI.

Asante Klopp Kwa Kutukubalia Mitazamo Yetu Tuliyokuwa Tukiinadi Kuwa Liverpool Ni Timu mbovu inayohitaji Usajili Mkubwa! Na Sasa Umeshafanya Kwa Asilimia 90% Yale Tuliyoyadai kwahiyo Kwasasa Hatuna Cha Kukulaumu Katika Usajili Hata Usiposajili tena Kwa Dirisha Hili.
 
Bado tunahitaji striker mmoja au wawili strikes wa vurugu vurugu pale mbele na wa kulazimisha wale papatu papatua
 
Sadio mane atavaa jersey #10 msimu wa 2018-2019View attachment 814057

Mane Tayari ameshapewa Namba Halisi inayomfaa!
Kuna Wachezaji Kama Robertson na TAA pia Wanahitaji Wafanyiwe Marekebisho Ya Namba Zao Kwani Walizonazo Hazimake Sense.

Pia Fabinho naye itambidi Apatiwe Hile Namba 6 Kwani inatosha Kwa LOVREN kuvaa Jezi Namba 3 ambayo Mpaka Sasa Haina mtu anayeivaa ndani Ya Liverpool.
Pia Alisson apatiwe Jezi yenye Namba 1 Kwani Karius Hajaitendea Haki Hiyo Namba.
Karius anaweza vaa Hata hiyo 19 aliyoiacha Sadio Mane.

[HASHTAG]#YNWA[/HASHTAG]
 
Bado tunahitaji striker mmoja au wawili strikes wa vurugu vurugu pale mbele na wa kulazimisha wale papatu papatua

Mkuu This Year (2018) tumeshamnunua Keita, Fabinho, Xhaqiri na Alisson Kwahiyo Sidhani Kuwa [HASHTAG]#FSG[/HASHTAG] wataendelea Kumwaga Hela tena Hasa ukizingatia Soko la Sasa.

Kwa Mpaka Hapa Kwanza inatosha Kuwashukuru [HASHTAG]#FSG[/HASHTAG] Kwa kuonesha Ushirikiano Wao Kwa Klopp.

Tusubiri Winter au Next Summer Huenda [HASHTAG]#FSG[/HASHTAG] wakatoa Hela za Uboreshaji kutegemeana Na Matokeo ya Usajili huu.

Kumbuka Kuwa Sisi Hatuna Hela Za Mafuta Kama Man City Wanaosajili Mchezaji Wa Kukaa Benchi Kwa #£65m.
 
Hahahahah, pmj na hiyo striker wa papatu papatu hata mmoja atafaa sana, Sturudge angekuwa bado ana akili kama kipindi yuko na akina Suarez tungesema ngoja ataongoza jahazi lkn siku hizi kawa kiumbe wa pacha tu na mwoga mwoga
 
mkuu inaelekea ulimaind sn jamaa kusaliti chama..

Wala Usipime! Kina Torres na Suarez waliondoka Liverpool Kipindi Ambacho Liverpool Haikuwa na Malengo Yoyote Bali ilikuwa Ni Kitega Uchumu tu Cha Kina [HASHTAG]#FSG[/HASHTAG].

Lakini Coutinho Kaondoka Timu ikiwa inatengenezwa kuelekea Kwenye Malengo Kwani Tayari Klopp alishaonesha nia ya Wazi Ya Kuiboresha Timu that is why Nili- mind Sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom