Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

so far, sababu za mkwamo kwenye recruitment ya Fekir bado hazijawa specified. kilichopo kwenye media ni speculations all over the pitch, nyingi ya hizo zina attribute to medical reasons. lakini kuna commercial explanations pia zina pop up here and there.

even more puzzling ni kuwa hata LFC wenyewe hawajatoa official statement kuhusu hii impasse.

1) medical:
version 1: LFC wana haggle transfer price eti driven by fitness issues. eti hili limefanywa behind Klopp's back (really?)!
version 2: Klopp ameongea na Fekir kuhusu ku manage fitness situation yake na possibility ya yeye kùwa na limited game time over the season. hii imesababisha sintofahamu kwenye kambi ya Fekir & OL. well, I'll be damned!

2) commercial:
OL ni listed company (plc). busara iliyotumika ni kuahirisha mchakato ili hizi figures zinazotajwa tajwa zisilete madhara huko mbeleni. well, sijaelewa kwa undani technicalities kwenye hili - but inatajwa pia kama sababu!

so, usajili wa huyu mtoto bado upo ON pindipo hizo hiccups zikiwa addressed.
personally kama hiyo ya Klopp kuongea na Fekir kuhusu game time ni kweli, nakubaliana naye kwa 101% kwani gengenpressing siyo kitu ya kuichukulia poa!
 
Still Bado Ni [HASHTAG]#Dilemma[/HASHTAG]!
Huenda Yakawa Kama Yale Ya [HASHTAG]#VVD[/HASHTAG] pale [HASHTAG]#Liverpool[/HASHTAG] walipo- Announce Kusitisha interest lakini at the same time Wakawa Wana- Negotiate Chini Kwa Chini...

Kuhusu [HASHTAG]#Fekir[/HASHTAG] Bado Transfer haijawa Closed, Unlike na Watu Wanavyo exaggerate na mockery Zao..

#OL wamestopisha kuclose deal tu Kwa sasa na hile Claim Yao Ya Kuwa Atabakia OL next season doesn't mean he can't leave Kwani Wameweka Wazi Kuwa Wanasubiri Offer Kutoka Kwa Timu Nyengine za Ulaya ambazo zimeonesha interest Kwani Wanahofia Kuja Kumpoteza Bure coz only [HASHTAG]#24mouths[/HASHTAG] remain before his current contract ku-expire....

So, iwapo Milango ya Kusajiliwa na Timu Nyengine ipo wazi, Why Kwa Kusajiliwa na Liverpool isiwe Wazi??

Natarajia after World Cup [HASHTAG]#FSG[/HASHTAG] wata- resume Negotiation so as to complete Hili dili..

Kwani Kwa Tunavyomjua Klopp Akiikosa Target Hii Basi Si Rahisi tena Kutafuta Target Nyengine Kwa Season Hii..

Na Tukumbuke Kuwa [HASHTAG]#Can[/HASHTAG] tayari ameshasepa, #OX hategemewi Kurejea Karibuni... Kwahiyo Ufinyu Wa Kikosi upo palepale..
 
Wakati Kuna [HASHTAG]#Dilemma[/HASHTAG] Katika Kumsaini [HASHTAG]#Fekir[/HASHTAG], Basi at least Wasaini [HASHTAG]#GoalKeeper[/HASHTAG] na [HASHTAG]#CentreBack[/HASHTAG] inaweza ikamake sense..
 
Still Bado Ni [HASHTAG]#Dilemma[/HASHTAG]!
Huenda Yakawa Kama Yale Ya [HASHTAG]#VVD[/HASHTAG] pale [HASHTAG]#Liverpool[/HASHTAG] walipo- Announce Kusitisha interest lakini at the same time Wakawa Wana- Negotiate Chini Kwa Chini...

Kuhusu [HASHTAG]#Fekir[/HASHTAG] Bado Transfer haijawa Closed, Unlike na Watu Wanavyo exaggerate na mockery Zao..

#OL wamestopisha kuclose deal tu Kwa sasa na hile Claim Yao Ya Kuwa Atabakia OL next season doesn't mean he can't leave Kwani Wameweka Wazi Kuwa Wanasubiri Offer Kutoka Kwa Timu Nyengine za Ulaya ambazo zimeonesha interest Kwani Wanahofia Kuja Kumpoteza Bure coz only [HASHTAG]#24mouths[/HASHTAG] remain before his current contract ku-expire....

So, iwapo Milango ya Kusajiliwa na Timu Nyengine ipo wazi, Why Kwa Kusajiliwa na Liverpool isiwe Wazi??

Natarajia after World Cup [HASHTAG]#FSG[/HASHTAG] wata- resume Negotiation so as to complete Hili dili..

Kwani Kwa Tunavyomjua Klopp Akiikosa Target Hii Basi Si Rahisi tena Kutafuta Target Nyengine Kwa Season Hii..

Na Tukumbuke Kuwa [HASHTAG]#Can[/HASHTAG] tayari ameshasepa, #OX hategemewi Kurejea Karibuni... Kwahiyo Ufinyu Wa Kikosi upo palepale..
from LFC point of view, hii situation bado haija qualify kufikia kiwango cha kui classify kama dilemma. yet.

tusubiri official club statement.
 
Mkuu inaonesha Ulikuwa Hufuatilii Hili Saga la Kusajiliwa Fekir.

√ Kumbuka Kuwa Klopp Hahusiki na Kufaeli Kwa huu Usajili.

√ Klopp na Sport director Michael Edward ndiyo Waliofanya Negotiations Mpaka Wakakukabaliana Transfer fees, Personal terms including Wage na Fekir.

√ Ni Chief of Scout aitwaye Barry Hunter ndiye aliyesafiri Kutoka Uengereza Siku Ya Ijumaa Kuelekea Lyon Kuzuia Announcement na Akaanzisha Upya Negotiations Ya Kutaka Kupunguza Transfer fees, Wage and Bonuses Kutokana na Medical History ya Fekir.

√ Fekir Hakufeli Medical test na Wengi tumeshuhudia Habari Za Leaked interview aliyofanya na [HASHTAG]#LFCTV[/HASHTAG] after medical! Sasa kama alifeli Vipimo kwanini wafanye interview?

Kwahiyo Fekir Hakufeli Vipimo, Bali Usajili umecollapse Kutokana na Medical History Kuwa Aliwahi Kuumia goti.

Na Klopp yeye mwenyewe Hakufurahishwa Na Kitendo Hichi Cha Burry Hunter Kumvurugia Mchezaji Ambaye Alimhangaikia Usiku na Mchana na Ndiyomana Mkuu Janjaweed Akasema Kuwa ikiwa Klopp ataendelea Kufanyiwa Hivi basi Ataondoka Liverpool.
Thanks mkuu

Labda turudi nyuma... Who is Better. Hunter, who is behind him and why kaamua kubeba hili Bomu?

One of the worst kept secret ndani ya Merseyside ni Ile sxoScou culture.... racists, nepotism and mediocrity

Hata Ile ya klopp kuwatosa akina carra could have emanated from.hiyo mediocrity
 
from LFC point of view, hii situation bado haija qualify kufikia kiwango cha kui classify kama dilemma. yet.

tusubiri official club statement.

The only thing that make me Crazy Ni hile Silence ya [HASHTAG]#LFC[/HASHTAG]... I don't know why they donwanna make an official statement Kuhusu Hili saga? They've to say something about it..
Kimy Chao Kinaonesha there is something is going on Kuhusu hili! Bado haijawa dead issue.
 
Wanaomsifia Henderson Mostly they have Mental disorder..

Hata Timu Ya Taifa ya England Kavuliwa Ucaptain Baada Ya Kuonekana Ni Shit player.

Timu ya Taifa anakwenda Kusota Kwenye Benchi Manake Mechi Ya Juzi alicheza Baada ya Kuingizwa Kikosi B kwani Kina Sterling, Delle Ali, Hanry Kane, Lingard na Eric Died Hawakuanzishwa.

Sasa Mchezaji Anaekosa Namba Hata Kwenye Kikosi Kibovu cha Uengereza Bado unamuhesabu Mchezaji?
ACHA MAJUNGU MKUU NA CHUKI BINAFSI KWA MCHEZAJI....INA MAANA SOUTHGATE HAJAWAONA KINA JONJO SHERVEY,DRINKWATER N.K AKAAMUA KUCHUKUA MBOVU HENDO?UKIONA HIVYO KUNA KITU MCHEZAJI ANACHO....UKITAKA KUMPONDA MCHEZAJI MPONDE KWA FACT TUTAANGALIA ILA SIO KIHIVYO BWANA...........NAKUMBUKA HUYU HENDO HATA ALEX FEGURSON ALISHAWAHI KUMPONDA AKISEMA HAWEZI KUKIMBIA VIZURI KIPINDI YUPO UNDERGROUND ILA AKAMKUBALI ALIPOKUJA KUMUONA LIVERPOOL.......

KWA KIFUPI MIMI HUWAGA NAPENDA SANA KUHESHIMU MAAMUZI YA MAKOCHA KWASABABU HAO NDIO WANAOWAJUA HAWA WACHEZAJI KULIKO SISI......
JAMAA YUPO VIZURI ILA WEWE HUMPENDI TU
 
Habari yako mkuu King Ngwaba. Naona kijiwe kimerudi. Nilimiss chambuzi zako na za wadau wengine. Karibu tena jf.

Habari Ni Njema tu Mkuu! Yani Jinsi tushavyokuwa addicted na JF basi tilikuwa Kama Watoto Mayatima! Huwezi Kuamini Mkuu kwa Siku Zote 20 iliyofungwa JF basi Haikupita Hata Siku moja ambayo Sikuicheki JF zaidi ya Mara 5 kama tayari imeshafunguliwa au Bado.
 
Liverpool's Pre-Season Fixtures

Saturday, July 7:
Chester v Liverpool (3pm)

Wednesday, July 11:
Tranmere Rovers v Liverpool (7.30pm)

Saturday, July 14:
Bury v Liverpool (3pm)

Thursday, July 19:
Blackburn Rovers v Liverpool (7.45pm)

Sunday, July 22:
Liverpool v Borussia Dortmund

Wednesday, July 25:
Manchester City v Liverpool

Saturday, July 28:
Manchester United v Liverpool

Saturday, August 4:
Liverpool v Napoli (7pm)

Tuesday, August 7:
Liverpool vs Torino (7.30pm)
 
Fekir mazungumzo yamerudi....After world cup atakuwa tayari kuvaa jezi
 
Fekir mazungumzo yamerudi....After world cup atakuwa tayari kuvaa jezi

The Times wao wamereport hivi

"Liverpool have held no further talks with Lyon over Nabil Fekir since their move for the France international fell through in early June",
 
Hizi Habari Za Fekir sio Kweli Kuwa Liverpool Wame- resume Mazungumzo! Hakuna Mazungumzo yoyote Yanayofanyika Kwasasa Bali Ni Media tu Zanataka Kuuza Magazeti.
Hata Hivyo Wakala Wake Amesema Kuwa Bado Nafasi Ya Mazungumzo ipo haijafa.

Na Fekir mwenyewe alipoulizwa Kule Russia about Liverpool trying to lower the price Kutokana na his medical results, Alijibu: "(half sighs/half smirks) You know I am here with France, I am happy, and I am not here to discuss my personal situation. We will see about all that later."
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom