Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hao wasio wajinga ndiyo akina nani?Kosa la Hendo ni nn ?
Alipokuwa anaumwa akakaa nje Captain Hendo tulishinda games ngapi?
Klopp anampa games,team ya Taifa anapewa games lkn nyie mnampinga!
Nani hapa anajua soka managament hata 1/100 kwa Klopp anayempa games Hendo?
Good comment....
 
Jana fekir kacheza vizuri sana.....dah yule ndio aliyefeli medical?ana pumu nini?ila jamaa mkali walivyoingia na dembele walileta amshaamsha mpaka wakasawazisha
 
Kwa hiyo hata aki fail medical bado achukuliwe?
Klopp anajua haya mambo kuliko sisi wote hapa!
Nani alijua kama Salah ata hit?
Nani alijua kuwa front 3 wetu watafunga mabao mengi hivi?
Klopp akimkosa Fekir atamleta mwingine!
Endeleeni kuhesabu trophyless seasons na Klopp wenu
 
Fekir didn't fail medical

Btw... Hili povu kafulie nguo mkuu

Losing fekir signature will not leave a good mark kwenye hii tw
Who is Fekir ktk soka?
Kwa nn unatuaminisha kumkosa Fekir ndiyo mwisho wa Klopp?
Kichekesho cha mwaka hiki!
Fekir operesheni nyingi za goti hazijamuacha salama,na bei ilitakiwa ipungue sababu ni liability sana na namuunga mkono Klopp!
Klopp is a genius atakuja mwingine atamfundisha na tutamshangilia kama tunavyo mshangilia Robo sasa!
Naweza weka hapa mlicho andika wkt Robo anasajiliwa matusi yenu na kumuita Klopp majina mabaya,lkn mbona sasa mmenyamaza?Wkt anasema Lovren ni beki mzuri mkawa mnamtukana mbona sasa slowly mmeanza kumuelewa?
Niweke matusi yenu kwa Klopp wkt anamleta Robo?
 
Wewe umechukua FA
Ehehe heri nisubiri hata miaka nichukue UCL kuliko trashest cup FA
Do you even remember last trophy you won? Sasa hivi linaitwaje vile.. Keep on dreaming winning ucl tutakuamsha Klopp akiondoka
 
Who is Fekir ktk soka?
Kwa nn unatuaminisha kumkosa Fekir ndiyo mwisho wa Klopp?
Kichekesho cha mwaka hiki!
Fekir operesheni nyingi za goti hazijamuacha salama,na bei ilitakiwa ipungue sababu ni liability sana na namuunga mkono Klopp!
Klopp is a genius atakuja mwingine atamfundisha na tutamshangilia kama tunavyo mshangilia Robo sasa!
Naweza weka hapa mlicho andika wkt Robo anasajiliwa matusi yenu na kumuita Klopp majina mabaya,lkn mbona sasa mmenyamaza?Wkt anasema Lovren ni beki mzuri mkawa mnamtukana mbona sasa slowly mmeanza kumuelewa?
Niweke matusi yenu kwa Klopp wkt anamleta Robo?
Fekir is a brilliant soccer player and a perfect replacement to coutinho
Umesema fekir and many operations katika Goti, hebu tuambie ni ngapi.
Losing a player sio mwisho wa klopp, bit bad handling ya recruitment may make the manager quit, not a rocket science. Klopp is a proud man

Aisee... Hilo povu kafulie majeans
 
He failed his medical.

Reports stating Fekir has asthma. Liverpool accidently opened their trophy cabinet and it worsen Fekir's condition due to the dust accumulated in the trophy cabinet. This resulted in him failing his medical.
 
Hawa Wote wako wapi saizi?
IMG-20180610-WA0008.jpg
IMG-20180610-WA0007.jpg
 
Hao wasio wajinga ndiyo akina nani?Kosa la Hendo ni nn ?
Alipokuwa anaumwa akakaa nje Captain Hendo tulishinda games ngapi?
Klopp anampa games,team ya Taifa anapewa games lkn nyie mnampinga!
Nani hapa anajua soka managament hata 1/100 kwa Klopp anayempa games Hendo?

Mkuu Unapoingia Katika Mijadala Usipindishe Dhamira Ya Post unayoiQuote.
Katika Post Yangu sikumhusisha Klopp sasa iweje wewe u-redirect Kwa Klopp?
Ulikuwa Uquote tu nilichokiandika Haina Haja Ya Kumhusisha Klopp.
 
He failed his medical.

Reports stating Fekir has asthma. Liverpool accidently opened their trophy cabinet and it worsen Fekir's condition due to the dust accumulated in the trophy cabinet. This resulted in him failing his medical.

Stupidity huna fact kaa kimya
 
Kwa hiyo hata aki fail medical bado achukuliwe?
Klopp anajua haya mambo kuliko sisi wote hapa!
Nani alijua kama Salah ata hit?
Nani alijua kuwa front 3 wetu watafunga mabao mengi hivi?
Klopp akimkosa Fekir atamleta mwingine!

Mkuu inaonesha Ulikuwa Hufuatilii Hili Saga la Kusajiliwa Fekir.

√ Kumbuka Kuwa Klopp Hahusiki na Kufaeli Kwa huu Usajili.

√ Klopp na Sport director Michael Edward ndiyo Waliofanya Negotiations Mpaka Wakakukabaliana Transfer fees, Personal terms including Wage na Fekir.

√ Ni Chief of Scout aitwaye Barry Hunter ndiye aliyesafiri Kutoka Uengereza Siku Ya Ijumaa Kuelekea Lyon Kuzuia Announcement na Akaanzisha Upya Negotiations Ya Kutaka Kupunguza Transfer fees, Wage and Bonuses Kutokana na Medical History ya Fekir.

√ Fekir Hakufeli Medical test na Wengi tumeshuhudia Habari Za Leaked interview aliyofanya na [HASHTAG]#LFCTV[/HASHTAG] after medical! Sasa kama alifeli Vipimo kwanini wafanye interview?

Kwahiyo Fekir Hakufeli Vipimo, Bali Usajili umecollapse Kutokana na Medical History Kuwa Aliwahi Kuumia goti.

Na Klopp yeye mwenyewe Hakufurahishwa Na Kitendo Hichi Cha Burry Hunter Kumvurugia Mchezaji Ambaye Alimhangaikia Usiku na Mchana na Ndiyomana Mkuu Janjaweed Akasema Kuwa ikiwa Klopp ataendelea Kufanyiwa Hivi basi Ataondoka Liverpool.
 
Ivi wanasema henderson yuko vzr wanamuangalia wapi, kama klopp yeye kaenda kwa fekir kwan ni kwamba hakujua kama kuna henderson, klopp needs trophies he has realize that without good & class players like fekir can't hold those trophies so stop making things so simple you cant win a trophy with ox, henderson, minler & Gin we need good class players Liverpool's playing the same stories of Lemmy & vvd initially !! Lets get fekir & win trophies note: the only player playing like fekir is james rodriguez so where can we get a class player like him??
 
Kwakweli [HASHTAG]#FSG[/HASHTAG] wamemuangusha Sana [HASHTAG]#Klopp[/HASHTAG] Kwa Hili, Lakini Natumaini Wakati Lyon Hawajafunga Kabisakabisa Kuondoka Kwa Fekir na Bado Wanasubiri Offer basi Natarajia After Word Cup Huenda Mazungumzo Yakarejea na Tukamsajili.
 
Ivi wanasema henderson yuko vzr wanamuangalia wapi, kama klopp yeye kaenda kwa fekir kwan ni kwamba hakujua kama kuna henderson, klopp needs trophies he has realize that without good & class players like fekir can't hold those trophies so stop making things so simple you cant win a trophy with ox, henderson, minler & Gin we need good class players Liverpool's playing the same stories of Lemmy & vvd initially !! Lets get fekir & win trophies note: the only player playing like fekir is james rodriguez so where can we get a class player like him??

Wanaomsifia Henderson Mostly they have Mental disorder..

Hata Timu Ya Taifa ya England Kavuliwa Ucaptain Baada Ya Kuonekana Ni Shit player.

Timu ya Taifa anakwenda Kusota Kwenye Benchi Manake Mechi Ya Juzi alicheza Baada ya Kuingizwa Kikosi B kwani Kina Sterling, Delle Ali, Hanry Kane, Lingard na Eric Died Hawakuanzishwa.

Sasa Mchezaji Anaekosa Namba Hata Kwenye Kikosi Kibovu cha Uengereza Bado unamuhesabu Mchezaji?
 
jiheshimu basi we kiazi hizo ni element za kibwabwa sasa kinachokupanikisha hapo nini.....jukwaa la kwako hili ?au hujui sheria za JF? nenda kazisome then urudi sio unaropokaropoka tu bumbaaaaaaaaaaav
Sio kwa povu hilo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom