Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,121
- 14,032
Liverpool...
Bobby kucheza Dakika 37 tu kuna mwingine anacheza Dakika zaidi ya 300 hata goli la offside hana hahahaTayari Huko Bobby Ameshatupia Kamoja Kwa Brazil...
Katika Michezo Yote 3 aliyocheza Bobby basi Ukifanya Majumuisho Dakika Zote alizocheza Hazifiki 45.
Lakini Jesus amecheza Michezo Yote 4 na Kutoambulia Hata goli la Kuotea.
Halafu Kuna Watu Wanataka Kutuaminisha Kuwa Eti Jesus Ni Bora Kuliko Bobby..
Naamini Bobby angelipewa Muda Wa Kucheza anaopewa Jesus basi angelikuwa na Zaidi Ya Magoli 4.
Ila Chuki ya Wabrazil Ni Kwasababu Bobby aliibukia Ulaya Bila Ya Kucheza Vilabu vya Brazil ndiyomana Wanamthamini Zaidi Jesus waliyemlea Wenyewe.
... Hata hivyo Jesus alikufa kwa ajili ya dhambi za watu wote tukombolewe,, waelewe tu WabrazilTayari Huko Bobby Ameshatupia Kamoja Kwa Brazil...
Katika Michezo Yote 3 aliyocheza Bobby basi Ukifanya Majumuisho Dakika Zote alizocheza Hazifiki 45.
Lakini Jesus amecheza Michezo Yote 4 na Kutoambulia Hata goli la Kuotea.
Halafu Kuna Watu Wanataka Kutuaminisha Kuwa Eti Jesus Ni Bora Kuliko Bobby..
Naamini Bobby angelipewa Muda Wa Kucheza anaopewa Jesus basi angelikuwa na Zaidi Ya Magoli 4.
Ila Chuki ya Wabrazil Ni Kwasababu Bobby aliibukia Ulaya Bila Ya Kucheza Vilabu vya Brazil ndiyomana Wanamthamini Zaidi Jesus waliyemlea Wenyewe.
Kaenda kwa mbwembwe na vi danadana vyakeTeam Captain alitaka achome nyumba huko Russia
Klopp anampa dakika 90Kaenda kwa mbwembwe na vi danadana vyake
Dakika 90 zinahusiana nini na penati au umepiga faru joni nini upo nje ya topic jipange usianzishe ka mada kakoKlopp anampa dakika 90
Southgate anampa dakika 90
Wanao jua soka management kuliko sisi wanampa dakika 90!
Wewe umekaa na smartphone yako unamponda Le Capiten Hendo
Maajabu hayataisha duniani kwa kweli
Kupiga penalty lzm kwanza uchezeDakika 90 zinahusiana nini na penati au umepiga faru joni nini upo nje ya topic jipange usianzishe ka mada kako
Klopp anampa dakika 90
Southgate anampa dakika 90
Wanao jua soka management kuliko sisi wanampa dakika 90!
Wewe umekaa na smartphone yako unamponda Le Capiten Hendo
Maajabu hayataisha duniani kwa kweli
Midfielders Za England Zinazoanza Ni:
Na Wanaoanza Ni:
Hendo
Alli
Lingard
Hao Wote Ni Wakawaida tu lakini Waingereza Wanasali asijeumia Hata mmoja.
Wachezaji (Midfielders) Wa Hakiba Wa Timu ya Taifa Ya ENGLAND Ni:
Loftus-Cheek
Rashford
TAA
Jimy Vardy
Eric Dier
Danny Welbeck
Sasa Kwa Mido Hizo Unazani Hapo Henderson anacheza Kwasababu Ni Bora au Anacheza Kwasababu England hawana Mwengine kutokana na Kuwa Wachezaji Wakuokotea?
Kwa Mido Hizo Za Kuungaunga Hapo Hendo Ni Sawa Na Messi.. Lakini Kwenye Uhalisia Hendo Ni Sawa na Adam Salamba.
Usichukue Mchezaji Anaepata Dakika 90 katika Kikosi cha Average Players ukafanya Ni Kipimo Cha Ubora.
Klopp Kama Anamuamini Henderson asingelihangaika na Fekir.
Subiri Season Hii Ujio Wa Fabinho, Keita na iwapo OX atarudi Kuwa Fiti uone Hendo atakapoishia! Mkuu tusubiri Muda tu Time will tell.
Kupiga penalty lzm kwanza ucheze
Sasa mchezaji anaye aminiwa tena dakika 120 asiaminiwe kwenye penalty?
HahahahahahahahahahahahahahahahaKwa hiyo unataka kutuambia wakina rashford walicheza dakika 120? ndugu punguza ujinga na ushabiki uchwara.
Sijakuelewa hapo red. Hao ni washambuliaji au viungo?
Sasa huyo MESSI bora na wenzake bora wapo wapi WC hii?Midfielders Za England Zinazoanza Ni:
Hendo
Alli
Sterling
Lingard
Hao Wote Ni Wakawaida tu lakini Waingereza Wanasali asijeumia Hata mmoja.
Wachezaji (Midfielders) Wa Hakiba Wa Timu ya Taifa Ya ENGLAND Ni:
Loftus-Cheek
Rashford
TAA
Jimy Vardy
Eric Dier
Danny Welbeck
Sasa Kwa Mido Hizo Unazani Hapo Henderson anacheza Kwasababu Ni Bora au Anacheza Kwasababu England hawana Mwengine kutokana na Kuwa Wachezaji Wakuokotea?
Kwa Mido Hizo Za Kuungaunga Hapo Hendo Ni Sawa Na Messi.. Lakini Kwenye Uhalisia Hendo Ni Sawa na Adam Salamba.
Usichukue Mchezaji Anaepata Dakika 90 katika Kikosi cha Average Players ukafanya Ni Kipimo Cha Ubora.
Klopp Kama Anamuamini Henderson asingelihangaika na Fekir.
Subiri Season Hii Ujio Wa Fabinho, Keita na iwapo OX atarudi Kuwa Fiti uone Hendo atakapoishia! Mkuu tusubiri Muda tu Time will tell.
Nadhani jinga hapa ni ww kumponda mchezaji anayepewa nafasi na makocha wakubwa duniani calibre ya Klopp LKN ww ambaye hujui lolote kuhusu soccer management eti unamponda!Kwa hiyo unataka kutuambia wakina rashford walicheza dakika 120? ndugu punguza ujinga na ushabiki uchwara.
Hendo au Adam Salamba kama unavyo muita anacheza robo final Jumamosi na Swedeen na LIKELY wanavuka kwenda semis!Midfielders Za England Zinazoanza Ni:
Hendo
Alli
Sterling
Lingard
Hao Wote Ni Wakawaida tu lakini Waingereza Wanasali asijeumia Hata mmoja.
Wachezaji (Midfielders) Wa Hakiba Wa Timu ya Taifa Ya ENGLAND Ni:
Loftus-Cheek
Rashford
TAA
Jimy Vardy
Eric Dier
Danny Welbeck
Sasa Kwa Mido Hizo Unazani Hapo Henderson anacheza Kwasababu Ni Bora au Anacheza Kwasababu England hawana Mwengine kutokana na Kuwa Wachezaji Wakuokotea?
Kwa Mido Hizo Za Kuungaunga Hapo Hendo Ni Sawa Na Messi.. Lakini Kwenye Uhalisia Hendo Ni Sawa na Adam Salamba.
Usichukue Mchezaji Anaepata Dakika 90 katika Kikosi cha Average Players ukafanya Ni Kipimo Cha Ubora.
Klopp Kama Anamuamini Henderson asingelihangaika na Fekir.
Subiri Season Hii Ujio Wa Fabinho, Keita na iwapo OX atarudi Kuwa Fiti uone Hendo atakapoishia! Mkuu tusubiri Muda tu Time will tell.
Nataman tusibishane na huyo mtu asee ila ndo kila mtu aonavyo.Midfielders Za England Zinazoanza Ni: