Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nabil Fekir has refused to give up on a dream deal to Liverpool and had therefore handed in a transfer request.
[@James Pearce]
 
Dogo jiheshimu sana,hii ni JF utajikuta unatukana baba zako oooohhhh mama zenu wenyewe hawaeleweki .....shubamitt..mtu mwenyewe jina lako UNABANDULIWA sasa tafuta wakukubandua huko mtaani kwenu....
Hahaha
 
Yap....hata mi nililiona hilo...eti alipogongana na Ramos alipata tatizo lililopelekea wrong vision..huyu kipa bao la Bale la mwisho pamoja na lile la Xhaka Arsenal vs Liverpool 3-3 halitofautiani hata kdogo...bao ni kama lile lile tu na inaonekana ndio udhaifu wake..sasa kama ni hivyo je alipata wrong vision pia ktk mchezo dhidi ya arsenal???...jibu ni kuwa hafai kuchezea timu kubwa..

Habari zako ni za kuokoteza tu!
3-3 na Arsenal golini alicheza kipa Mignolet!
Baoa la 3 la Bale linafanana na jinsi alivyo okoa kizembe mchomo kama huo wa Kolorov dhidi ya Roma!
Get your stats right before to write
 
Fakir atakuwa mchezaji wa Liverpool before ya msimu haujaanza!
Wasi wasi wenu ni bure kabisa
 
Yani Sipati Picha Namuona tena Captain Mjinga Hendo Huyo anakuja Kutawala Tena Kwenye Midfield...

Mwaka Mwengine unakuja Wa 2018/19 Wa Kuondoka Patupu bila ya Hata Carabao...


Hao wasio wajinga ndiyo akina nani?Kosa la Hendo ni nn ?
Alipokuwa anaumwa akakaa nje Captain Hendo tulishinda games ngapi?
Klopp anampa games,team ya Taifa anapewa games lkn nyie mnampinga!
Nani hapa anajua soka managament hata 1/100 kwa Klopp anayempa games Hendo?
 
This fekir crap has made me sick to my stomach

Merseyside craps would buy an English Muppet for 50m, but wouldn't go for a French Muslim easily

Losing fekir will signal the end of klopp era... He will leave

Kichekesho hiki!Klopp haendi popote na anaongezewa mkataba mpya!
Fakir ndiyo mchezaji pekee ana sifa ya kuchezea Liverpool ya Klopp?
Kama yy hajaja basi atakuja mwingine!
 
Habari zako ni za kuokoteza tu!
3-3 na Arsenal golini alicheza kipa Mignolet!
Baoa la 3 la Bale linafanana na jinsi alivyo okoa kizembe mchomo kama huo wa Kolorov dhidi ya Roma!
Get your stats right before to write
leta lineup nihakikishe..
 
Kichekesho hiki!Klopp haendi popote na anaongezewa mkataba mpya!
Fakir ndiyo mchezaji pekee ana sifa ya kuchezea Liverpool ya Klopp?
Kama yy hajaja basi atakuja mwingine!
Kwikwikwikwiiii

Wewe ni zaidi ya mahoka
 
Kwikwikwikwiiii

Wewe ni zaidi ya mahoka

Kwa hiyo hata aki fail medical bado achukuliwe?
Klopp anajua haya mambo kuliko sisi wote hapa!
Nani alijua kama Salah ata hit?
Nani alijua kuwa front 3 wetu watafunga mabao mengi hivi?
Klopp akimkosa Fekir atamleta mwingine!
 
ww ndo mchekeshaji....

Mkuu kwenye soka hasa kuhusu Liverpool ww ni mweupe sana!
Hata mambo ya juzi tu unasahau kweli utakumbuka ya zamani?
Aliye achia mkwaju wa Xaka ni kipa Mignolet na kuanzia pale mechi ijayo ndipo akawa benched akaanza Karius
Karius nae mbovu kwenye mipira ya mbali rejea mkwaju wa Kolorov dhidi yetu
 
Kwa hiyo hata aki fail medical bado achukuliwe?
Klopp anajua haya mambo kuliko sisi wote hapa!
Nani alijua kama Salah ata hit?
Nani alijua kuwa front 3 wetu watafunga mabao mengi hivi?
Klopp akimkosa Fekir atamleta mwingine!
Fekir didn't fail medical

Btw... Hili povu kafulie nguo mkuu

Losing fekir signature will not leave a good mark kwenye hii tw
 
asajiliwe malaika au shetani, the bottom line is.... next season lazima tubebe ndoo (yoyote!). vinginevyo, itakuwa ngumu sana kuendelea kumtetea Klopp.

+++++++++++++++++++++++++++++++++


The importance of Jurgen Klopp winning a trophy for Liverpool next season revealed


After a season of undoubted progress, ECHO readers think now is the time for Klopp to deliver silverware to Anfield

By Paul Gorst
05:00, 10 JUN 2018

After a season of undoubted progress at Anfield last term, Liverpool supporters think it's time for Jurgen Klopp to deliver success this coming season.

We conducted an end-of-season survey to give supporters the opportunity to tell us exactly what they thought of the 2017/18 campaign and in particular, whether trophies were needed next
And over 68 per cent of voters thinks the new season is the time to end what will be Liverpool's seven-year wait for silverware in 2019.

ECHO reads voted in their thousands, with the majority placing a 5/5 on the importance of lifting a trophy next term.


TROPHY1.png

Jurgen Klopp, the Liverpool transfer targets who didn't come to Anfield and what happened next

Nearly 23 per cent rated it at 4/4 with just 6.5 regarding a trophy as 3/5 in its importance to Liverpool's long-term progress.

With Liverpool set to compete on four fronts next term, Klopp will have ample opportunity to win his piece of silverware with the Reds.

The German has been involved in three finals in his three years at Anfield, but has finished as a runner-up in each of them.

Real-Madrid-v-Liverpool-UEFA-Champions-League-Final-NSK-Olimpiyskiy-Stadium.jpg

Liverpool manager Jurgen Klopp walks past the trophy after the Champions League final

Liverpool were beaten on penalties by Manchester City in the 2016 League Cup final before they suffered a 3-1 defeat to Sevilla in the Europa League final three months later.

Klopp's Reds again missed out on silverware as they slipped to a 3-1 reverse at the hands of Real Madrid in the Champions League final last month.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom