Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,897
- 11,292
Hendo kacheza final ya CL mwaka huu,mnao waona bora walikaa nyumbani wanamuangalia Hendo anacheza final!Nataman tusibishane na huyo mtu asee ila ndo kila mtu aonavyo.
Hendo anacheza robo final Jumamosi,mnao waona bora wanamuangalia Hendo kwenye TV zao Jumamosi
Hendo ana anza team ya Taifa na kwenye ngazi ya club,huwezi bahatisha kote kuwili!
Hendo anawatia sana aibu!
Hamna point yyt zaidi ya porojo!!