Huu Usajili Wa FABINHO sio siri umenipa Ukakasi Kwani Katika Wachezaji Ambao Kwa Upande Wangu Ni Most Untrusted Basi Ni Wa Amerika Ya Kusini (Walatini).
Hawa Hupita UENGEREZA na ITALY Kwa Ajili Ya Kuivizia BARCELONA na REAL MADRID tu.
Tena Walivyowajanja Mtazame NEYMAR, alipojiona Mbele Ya MESSI hawezi Kuwa MAIN MAN Wa Timu! Basi Kakubali Kuhama Kwenda Shit Team ya PSG. Wengi Kwa Kutokujua Ubabaishaji Wa WaAmerika Ya Kusini Wakadhani NEYMAR amejitupa Msituni.
Kumbe Mchizi Kashacalculate Zamani (Sijui Kama Hakuwa PCM huyu) Kuwa Umri Wa Ronaldo Next Season Ni 34years Kwahiyo Anaelekea CHINA au AMERICA na Hata Akibaki hatakuwa MAIN MAN Wa Timu.
Hapo Ndiyo Kaamua Kuivizia Real Kwa Daraja la PSG kwani alijua Ni Vigumu Kutoka BARCELONA kwenda REAL moja Kwa moja Kwahiyo Kaamua Kupitia PSG.
Kwahiyo Hawa Jamaa Wana Kila Mbinu Ya Kufanya ili Kuelekea Kwa REAL au BARCELONA.
Hata Mimi Siwapi umuhimu sana Wa Kuwasajili.
Wewe Watazame DE GEA, HAZARD, GRIEZMAN na Hata Alivyokuwa ROONEY wanavyowaniwa/Walivyowaniwa Kwa Muda Mrefu na BARCA & REAL unadhani Hao Wangelikuwa Wabrazili au Wana asili tu Ya KIBRAZIL kama alivyikuwa CR7 unadhani Wangelikuwa Wamo Katika Timu Zao?
Hapa Kwa FABINHO tuendelee KUBETI tu Asije akawa WORLD CLASS abaki Hivyo Hivyo Underrated Kwani Busquet umri unamuacha Mkono, Ikifika Muda Wa Kutafutiwa Replacement Basi itakuja umia Timu yoyote Ya Kiiengereza au Kitaliano iliyo na DM ambaye Ni Muamerika Ya Kusini aliye na Kiwango Bora.