Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Fabinho also made 46 interceptions in Ligue 1 this season - at least 11 more than any player at Liverpool. Quite clearly an upgrade in the middle.
...huo upepo ukiendelea utabadilisha matokeo !? Wewe matak@ kweli !naona upepo wa fainali unabadilishwa kwa nguvu zote na usajili wa fabinho...hahahaha liva bhana..
...huo upepo ukiendelea utabadilisha matokeo !? Wewe matak@ kweli !
Karius na liva yake ndo habari ya mjini.......huo upepo ukiendelea utabadilisha matokeo !? Wewe matak@ kweli !
sawa mtu wa tatu tatu fainali...Usipoteze Muda na Nguvu Nyingi Kubishana Na Huyu!
Huenda Ameshasahau Kuwa Timu Yake Ya Arsenal imeshindwa Kufurukuta Mbele Ya Atlantico De Madrid Katika Kale Kakombe Kambuzi Cha Europa.
....kwani huna kwenu !? Au chokoraa wewe !sawa mtu wa tatu tatu fainali...
@Sevilla
@@Madrid
jukwaa la mkeo hili....usinipangie cha kufanya fala ww....kwani huna kwenu !? Au chokoraa wewe !
BakayokoKey Players Waliohama Monaco Kwa Kipindi Cha Karibuni.
√ Benjamin Mendy → Man City
√ Bernardo Silver → Man City
√ Kylian Mbape → PSG
√ Antony Martial → Man U
√ Fabinho → Liverpool
√ Thomas Lemar → Loading......
Ama Kweli Mnyonge mnyongeni
....baada ya wewe kushikishwa koki ukalowa na Atletico de Madrid.timu yangu ilikuwa ikishuhudia jinsi mtu anavyoshikishwa kidevu..
Premier league ni league ya kiushindani kama Uefa...ndio maana now days hakuna team inayocjukua mara mbiliTambieni ubingwa wa ligi, We club tajiri kuliko zote Duniani unaenda mwaka wa saba huu hamjachukua Ubingwa wa EPL. Matajiri wanaokufatia (barca&Los Blancos) wanapokezana ubingwa wakialternate mwaka mmoja au miwili ila nyie mmekalia kurusha tu maneno. Club tajiri kuliko zote italy inachukua Ubingwa wa ligi almost kila mwaka, Club tajiri kuliko zote Germany inachukua ubingwa wa bundesliga almost kila mwaka, Club tajiri kuliko zote ufaransa inachukua ubingwa wa france almost kila mwaka and the same goes for many many!
halafu livafool akabeba uefa....baada ya wewe kushikishwa koki ukalowa na Atletico de Madrid.
....hamna kwenu nyinyi !?Msimu uliopita kabeba ueropa na carabao unachobisha ni nini?
....hamna kwenu nyinyi !?Msimu uliopita kabeba ueropa na carabao unachobisha ni nini?
....hamna kwenu !?Aaaah wapi, Kwa hiyo Mourinho ndani ya miaka miwili ijayo atachukua Ubingwa sio? Kwa lipi?
Ulivyo mchanga utajir wa club vina uhusiano gani na makombe? Spurs yupo kumi bora ktk vilabu tajir unataka kusema ni timu kubwa na yenye mafanikio barani ulaya kwa matàji kuishinda Ac milan?
Hayo ni mambo kibiashara na namna brand ya timu inavyokubalika kuuzika na wingi wa mashabik kwa nini sio madrid au barcelona?
Unafikir brand ya manchester united imeanza kujengwa miaka 2000???
Mdogo wangu kuna watu wa masoko wanahangaika kivyao na kuitangaza brand ya timu mambo ya uwanjani kuna watu wake na hata pia sioni timu ikifanya vibaya hasa ktk kipind hiki cha mpito ila sisi mashabik tunataka kuona effect mapema
Barcelona mpango wa la masia ni wa mwaka 1991 walikaa muda gani wakisulubiwa na madrid hadi ktk soka la ulaya? Saivi wanakula matunda tu baada ya kupigika
Manchester united iliundwa na kizazi cha mwaka 1992 kimeishia 2011.
Madrid wamepita zaid ya makocha 18 kwa sasa ndo wanapumua mkiingia ktk mpira muwe nondo msivamie watu hovyo.
Unataja bingwa wa france,german na italy wewe zimo kweli?
wewe bana tutolee mapicha picha yako humu,kapambane na hali zenu huko na mourinyo wenu
sevila aliwashikisha nini kwani oldtraford?mwambieni mourinyo aendelee kua na staili ya kupaki basi tutimu yangu ilikuwa ikishuhudia jinsi mtu anavyoshikishwa kidevu..
Premier league ni league ya kiushindani kama Uefa...ndio maana now days hakuna team inayocjukua mara mbili
Hivi unajua kuwa crystal palace kikosi chao kinazidi gharama kikosi cha Atletico madrid ..sunderland kipindi inashuka daraja ilikuwa inalingana na Atletico madrid kwa gharama ya kikosi na networth ya club
PREMIER lg sio lelema kama league zingine..ndio maana ni gharama hata kuiona kwenye tv unlike Bundasliga..SeriaA,La liga ambazo haki za kimatangazo hata startimea/azam tv wanaonesha kama ilivyo ndondo cup
The fighters never frighten !