everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
Eeehhh tuwape pole ni wenzetu hawa!! Sioni pole yako au umeshaandika kwenye daftari??Niko poa aisee, naona umekuja kutoa pole kwa niaba ya chama lako
Eeehhh tuwape pole ni wenzetu hawa!! Sioni pole yako au umeshaandika kwenye daftari??Niko poa aisee, naona umekuja kutoa pole kwa niaba ya chama lako
Kwa mpira wa leo, Liver hawastaili pole Hata mojaHahahaaaaaaaaaaaaaaa !
Nacheka kwa dharaaaaaaaaauuuuuuuuu!!
Hakuna cha karius kocha asajili tu hamna namna salah kama hayupo mnageuka kuwa sunderlandTunashukuru sana Karius
Mungu akubariki Karius
Simba 10 kanaume kamoja kajinga!
Duh bora angebaki Isco, uyo aloingia ni nyoookooo..Nipe maoni yako kutoka kwa Isco kuingia kwa Bale
.. Kwa niaba ya ze bluuz, naomba nitoe pole na hongera kwa Majogoo.. Mlipambana kwa kweliEeehhh tuwape pole ni wenzetu hawa!! Sioni pole yako au umeshaandika kwenye daftari??
ugwe ulinamatingo.......liverpool tufwile mweNkamu gwangu ndaga Malafyale.... pole sana kapumzike tu.
Hahaa sasa uchambuzi wa nini wakati kisu cha kuchinja jogoo unanoa kidogo tuUchambuzi kesho leo kutoa pole tu...... habari yako kijana nimekumiss!!!
Nilishakwambiaga ndugu angu ..Kilopu hana bahati na fainali, tangu akiwa Burrusia.Season Ya 2017/18 imeshamalizika:
× NO TROPHY
√ ONLY IMPROVEMENT
× NDANI YA MISIMU 3 YA LIVERPOOL, KLOPP AMESHAPOTEZA FAINALI 3 MFULULIZO.
LEO NAJIRIDHISHA KUWA KLOPP KWENYE FAINALI HATA ACHEZE NA NJOMBE MJI BASI ATAPOTEZA.
Kwa kweli majogoo yametisha yamejitahidi sana ....... Kwa niaba ya ze bluuz, naomba nitoe pole na hongera kwa Majogoo.. Mlipambana kwa kweli
Sema mngechambwa kule jukwaani kwenu na hawa Majogoo.. Acha wapumzike kidogoEeehhh tuwape pole ni wenzetu hawa!! Sioni pole yako au umeshaandika kwenye daftari??
Relax brother pole sana!!! Try again later !! Ndo soka hiloKwa Mwendo Huu itabidi World Cup Nibakie Neutral tu Nisishabikie Timu Yoyote
Huna nyota ya football. Kashabikie rede au mdako.Kwa Mwendo Huu itabidi World Cup Nibakie Neutral tu Nisishabikie Timu Yoyote


