Very soon itabidi uEDIT, FVCK UCL. Tarehe 27 nitakukumbusha!!
Liver walistahili kupita ila kama ulivyosema tatizo letu tuna kikosi kidogo sana na tatizo kubwa sana ni katikati, najuwa Keita nakuja ila bado tunahitaji mmoja zaidi, defender mmoja na striker mmoja wachezaji kama wa nne. tukipata midfielder mmoja anayeweza kukaa na mpira itakuwa tumemaliza maana tulio nao sio wabaya ila ni wazuri katika kukaba na kujituma. Hatuwezi kuwa Milner ndio tegemeo ila ni mzuri akiwa back up na hata captain wetu sio wa kuanza game kila mara. Naomba Liver wafanyie kazi sehemu hizo tutafika mbali.Actually, ni fainali niliyoitaka. Itapendeza, ili mzizi wa fitna ukatwe!!
Kwa mechi hizi za Roma, raundi hizi 2, liver wajirekebishe! Huu ni ukweli tu.
Ni kweli jana hakucheza vizuri lakini tukumbuke huyu bado mtoto mdogo miaka 19 tu na jana ilikuwa experiance nzuri kwake kucheza game ya ukubwa kiasi kile na zaid away. Ana future nzuri sababu sio mara nyingi kuwa na defender 19yrs kutegemewe kikosini.Hongera yetu ila bado tuna mapungufu kwenye safu ya Ulinzi hasa upande wa Trent alexander-anord, nimechek game zote za Liverpool mipira Mingi inapitia kwa TAA, tusipo chukua taharadhari Madrid watapitia Sana kwa upande wa TAA
Hongera yetu ila bado tuna mapungufu kwenye safu ya Ulinzi hasa upande wa Trent alexander-anord, nimechek game zote za Liverpool mipira Mingi inapitia kwa TAA, tusipo chukua taharadhari Madrid watapitia Sana kwa upande wa TAA
We jamaa inaonekana liva inakuumiza sana moyo sisi wenye timu yetu matatzo yetu tunayajua au umeona kuna mtu analaumu beki zetu..embu tuache kdgo tupumue!!
Hongera zetu Liverpool lkn sub inatuumiza sana make naona kila match sub ikifanyika tunafungwa goli!
Mungu tusaidie hili kombe tulibebe tuwafunge midomo mavuvuzela wanaotubeza kila match
Actually, ni fainali niliyoitaka. Itapendeza, ili mzizi wa fitna ukatwe!!
Kwa mechi hizi za Roma, raundi hizi 2, liver wajirekebishe! Huu ni ukweli tu.
Wanasema GOOD OFFENSE WINS YOU MATCHES, but GOOD DEFENCE WINS YOU TITLES. There is a title on the line here buddy!!
1958....madrid winner
1968 miaka 10 baadae Man u bingwa
1978.miaka 10 baadae Liver bingwa
THEN
1998 madrid bingwa
2008 miaka 10 baadae Man u bingwa
2018 miaka 10 baadae.......(jaza mwenyewe)